Kwanini Ibenge Anampenda Sana Mukoko Kuliko Clatous Chama?

Basi tufanye hivi..

Kwa kuwa ameifundisha Getafe FC kwa miezi 4 na Real Madrid kwa Miezia 6.

Tuhitimishe kwa kusema Pablo Escober ni Kocha bora kwa sasa hapa barani afrika kuliko Pitso Mosimane.

Pia tuhitimishe kwa kusema Pablo Escobar ni kocha mwenye mafanikio makubwa kuliko Pitso Mosimane.

Nmetafta Google nzima sijamuona real Madrid hata picha haipo
 
Fulaha kama hiyo inapatikana Avic Town tu.

Kule Bunju sasa hivi wanatafutana Pablo Kaingia na Unga mazoezini..

Wachezaji wanapataje furaha...
Yule mwarabu mla kitimoto anawafumua Malinda kina fei
 
Yule mwarabu mla kitimoto anawafumua Malinda kina fei
Kama kufumuliwa Malinda ndìo kunamfanya fei toto awe na ubora wa namna ile....

Basi Acha tu aendelee kuliwa Malinda.....

Maana hata tundu ni lake, sio langu au lako.

😂
 
Kama kufumuliwa Malinda ndìo kunamfanya fei toto awe na ubora wa namna ile....

Basi Acha tu aendelee kuliwa Malinda.....

Maana hata tundu ni lake, sio langu au lako.

dah uko negative
 
Umeuona Mkataba wake?

Kama ndio utupie hapa..!

Je labda umesikia popote kuhusu unachokisema...Hebu tuambie chanzo chako cha Habari.
Ndivyo ilivyo. Ila km hutaki kwasabab nyie ni kamati ya mapokezi , andaeni mapokezi mkitokea jangwani lkn mwali ataelekea msimbazi.
 
someni na muelewe hajazuiwa kurudi bali akirudi lazima arudi ktk timu iliyomuuza. Kumbuka pia kipengele alichowekewa Kalinyos wakati anaondoka yanga
Hivyo vipengele mmeviona wapi?

Au kwenye Magazeti ya UDAKU?

Isije ikawa mmeambiwa na wachambuzi wenu Uchwara...?

Hebu tuwekee mkataba wake bayana hapa ili nasisi tusome hiko kipengele.

😁😁
 
Ndivyo ilivyo. Ila km hutaki kwasabab nyie ni kamati ya mapokezi , andaeni mapokezi mkitokea jangwani lkn mwali ataelekea msimbazi.
Kipengele Kipengele Kipengele...

Narudia tena..

Leta kipengele tukione basi.
 
Basi tufanye hivi..

Kwa kuwa ameifundisha Getafe FC kwa miezi 4 na Real Madrid kwa Miezia 6.

Tuhitimishe kwa kusema Pablo Escober ni Kocha bora kwa sasa hapa barani afrika kuliko Pitso Mosimane.

Pia tuhitimishe kwa kusema Pablo Escobar ni kocha mwenye mafanikio makubwa kuliko Pitso Mosimane.

😂😂😂😂😂
Nabi hajamfikia hata kibadeni
 
Mkataba wa chama ni sawa na wa kalinyoz na konde boy hakuna kurudi kucheza bongo in 5 years labda urudi kwenye klabu iliyokuuza
Una akili timamu kweli?

Kama kweli una akili timamu ebu uweke huo mkataba kwenye hii thread!
 
Mimi ni shabiki wa Yanga ila najua hili la chama ni gumu maana mkataba haurusu kurudi tena au kucheza Yanga
Mimi ni Shabiki wa Simba SC ila ninachojua Mchezaji pekee ambaye ana Kipengele cha kutokuja kucheza Yanga SC ni Jose Luis Miquissone tu na siyo kwa Clatous Chota Chama.
 
Back
Top Bottom