Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 27,144
- 39,387
Jisemee siio sote. Wengi mnapenda kuhama usiku kuficha umaskini wenu. Sisi wenye vijisenti si haba kwanza hatuhami. Tulihama tulipohamia kwenye mijengo yetu. Kuhama ni pale ninapolazwa au kusafiri kwa muda mrefu. Hivyo, kuhama ni kwa ajli ya maskini, vijana na watumishi wa umma wanaohamishwa hamishwa si kwetu sote mwanangu.
Una vijisenti gani we kapurwa?