Kwanini hivi lakini?

Mimi niliomba msaada humu masikini ID yng wakadhani me ni ke,yani mtu anaku-pm haraka na ana uwezo wa kukufanyia mpango but mkiwasiliana tu akasikia ni me ndo anapotea mazima.
Mpaka ss nipo tu nimekaa Mungu anajua
 
polen sana ndugu zang....ILA NASHAUR WADOGO ZENU MUWAONGOZE VYEMA WASIKOSEE KAMA NYINYI....DIGRII YA TZ NI TAKATAKA TU BRO COZ ZOTE ZIMEKAA KAIMAGUMASH NA NDIO MAANA WENYEW SERIKAL HUTIBIW NJE...MAINJINIA HUCHUKUA NJE....WADOG ZENU MSIWASHAUR KUKIMBILIA KOZ ZA DIGRII HIZO ILA WASOM COZ ZENYE DIRECT PRACTICAL SKILLS...KUNA COZ HAZINAG DIGRII ILA.UKISOM SERIKAL AU MAKAMPUN YANAWATAFUTA PIA WENG WANASOM HIZO KO WAKIWA WAMEISHIA FOM 4 TU ILA HUPATA KAZ KWANZ KABLA YA WEW MWENY DIGRII..... DIGRII ZA ACCORDING NA MADESA ...HATA WEW UKIWA NA CAMPUN UTAJISHAUR SAN KUAJIL WENYE DIGRI ZA HAPA BONG....... POLE SAN Mung awajalie mpate job.....
 
Mimi niliomba msaada humu masikini ID yng wakadhani me ni ke,yani mtu anaku-pm haraka na ana uwezo wa kukufanyia mpango but mkiwasiliana tu akasikia ni me ndo anapotea mazima.
Mpaka ss nipo tu nimekaa Mungu anajua[/QUOTE

Pole sana,
 
mkuu kwanza, nakupa pole, kwa maana hiyo hari hata mimi ilinikuta sana, na nkafikilia njia nyingine ilikuwa ngumu sana, nilichoamua mimi ni kurud tena kusoma, nikaomba hadi post za uwalimu wa diploma na grade A, kwani nisingekubali kuwa mtaani ndani ya mwaka mzimma tena, kwa maana hiyo haya post za kuchaguliwa chuo zitakazo toka, jina langu limo, mungu ni mkumbwa baada ya kuona juhudi zangu, mara nikapata kazi benk moja ambayo ni super brand kwa tanzania, na kwa sasa ndio napiga mzigo hapo. nini nilichotaka kusema, ni kwamba usikubali kupoteza mwaka kizembe, kasome uwalimu huku unatafuta kazi uliyosomea, kama mungu akikujaalia ndani ya kipindi hicho , basi unaacha uwalimu, na unaendelea na kazi yako, kuliko ukakaa mtaani ukisubili ajira, ndani ya miaka miwili unasota, kumbe ungesoma uwalimu, ndani ya miaka miwili, ungekuwa tayari unapata mshahara. asante ndio ulikuwa mawazo yangu, na naamini yangeweza kutimia. ila mungu hakupanga iwe hivyo.

Mkuu jamaa kasemaa hataa helaa ya vocha hana walaa naulii hyooo helaa yakusomea ualimu c ndioo majanga kabisaa mkuu
 
Sasa wewe mwanafunzi haujui hata changamoto za ajira unaweza kumsaidiaje huyo jamaa.Alafu usipende kujipima na watu ambao ni senior kwako kuna vitu utavikosa kwa kujifanya mjuaji.

Senior asiejua kuandika hata kiingereza vizuri umeng'ang'a nia professional professional sio professional wewe ni profession
Back to the point ndugu umelia lia sana aisee mpaka unatia huruma ninachoweza kukushauri ni hiki kama una Mungu sali sana ukipitia jukwaa la biashara kuna threads nyingi sana za kufanya biashara kwa mtaji hata wa shillingi 14,600 unanunua kitabu elfu 10 na elfu 4 ni mtaji halafu nachukizwa sana na nyie washamba wa elimu mnaofikiri kusoma ndo suluhisho la kila kitu maana eti umejiclassify form 4 anamwambia mwenye degree sijui nin na nin nigga pleaseee u dont have shit so learn to respect others kwani kua na degree ndo unakua unaweza kutembea angani? au ukiwa nayo ukitembea njiani inakua inaonekana umesoma lakini hujaelimika...sorry kama nimekuattack sana ila ukweli inaonesha wewe umetokea chaka sana...Over...!!
 
Wewe endelea kubwabwaja tu,wengine baba zako humu,tunatafuta watu wa kuwaajiri ili wewe uende chooni.Ngedere we!
 
Wewe endelea kubwabwaja tu,wengine baba zako humu,tunatafuta watu wa kuwaajiri ili wewe uende chooni.Ngedere we!

Hahaha kweli una matatizo senior mwenye mdomo mchafu...mimi nina kazi mzee na nina wapeleka watu chooni..kama unavyosema wewe hapo...!! kama umekosea kitu unaambiwa hata kama wewe ni mtu mzima
 
Hahaha kweli una matatizo senior mwenye mdomo mchafu...mimi nina kazi mzee na nina wapeleka watu chooni..kama unavyosema wewe hapo...!! kama umekosea kitu unaambiwa hata kama wewe ni mtu mzima

Wewe endelea kuwafuatilia wanaume usiowajua tu!
 
Hahaha kweli una matatizo senior mwenye mdomo mchafu...mimi nina kazi mzee na nina wapeleka watu chooni..kama unavyosema wewe hapo...!! kama umekosea kitu unaambiwa hata kama wewe ni mtu mzima
mama weeee! mnanivunja mbavu zangu mie.mbona mmebadilisha mada.msaidieni mdau sio kutukanana.
 
Mimi niliomba msaada humu masikini ID yng wakadhani me ni ke,yani mtu anaku-pm haraka na ana uwezo wa kukufanyia mpango but mkiwasiliana tu akasikia ni me ndo anapotea mazima.
Mpaka ss nipo tu nimekaa Mungu anajua

ila kweli tuache masihara ID yako imekaa kichokozi!!, Astaghafirllah .............

Grand PA
 
Pole sana, endelea kumuomba Mungu ipo siku atajibu maombi yakona yote yatabaki kuwa historia.
 
Dah. Huu msiba wa wengi sana. Sasa tatizo limekua kubwa, hakuna tena degrees ambazo bado ni dili kwa sasa, zote same (exception ni ualimu na uuguzi (nursing, md etc)). Mkuu, ma-engineer kibao wako mitaani, wahasibu, watu wa procurement, etc. Tufanye nini? Inatokea mara chache sana watu wa JF kutoa msaada, ila kwa ushauri ndio mahala pake. Chagua zipi pumba na zipi mchele, kwa kutumia degree yako. Yaliyosema ni haya:

1. Kuna mkuu kasema urudi shule ukasomee ualimu glade A, ukiendelea kutafuta kazi yako uliyoisomea degree. Ikitokea ukapata kazi ukiwa masomoni, una drop shule.

2. Wa kujiajiri. :what: ok, ila kwenye post umeshakataa katakata hapo juu. Utajiajiri vipi huna mtaji? wengine wanakukebehi eti kujiajiri haina haja ya mtaji. Serious??????

3.Mi naongezea usikate tamaa ku apply na sio muda wote uombe kazi, sometimes omba ata kujitolea. Wanaweza later aakakufikiria ukionesha ufanisi.

Kazana mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom