Kwanini hivi lakini?

Habari! Walimwengu.

Kama kusoma nimesoma lakini maisha yamekuwa tofauti na mategemeo yangu! Kiukweli, kazi imekua ngumu kupata, sina hela sina connections yoyote!. Yani nadharaulika! Mpaka nimechoka, niliomaliza nao std 7, form 4&6 ndo nawanyenyekea kuwaomba msaada wa pesa, connections mpaka kazi wananiahidi then wananpotezea!

Sitaki kumkufuru mungu au kuamini kuwa nina mkosi au familia yetu sio ya kufanikiwa! Lakin hata kaz yoyote ya kupata cha kujikimu tu! imeshindikana kuomba nimeomba mpaka kwa sauti ya huruma lkn bado! Mim ndio wakwanza na pekee kufika chuo kwenye ukoo wetu lakini sioneshi ahueni ili ndg wengine waige kwangu! Bali nimekuategemezi kwao kwasababu wao washauzoea mtaa!.

Nimechoka! Nimechoka! Nimechoka!, nitajiajirije wakati hata buku ya vocha na usafiri shida, nitalimaje wakati ndugu wote wakulima na bado hatuna kitu. Imeniuma sana mpaka nkaamua kuleta kilio changu kwenu ni pale; kwanza cv yangu haina chochote zaidi ya wapi nilisoma kwasababu sijawah fanya kazi kokote ni shule tu!,basi jana usiku

Nilipomwambia mdogo wangu mmoja shida zangu anafanya kazi kweny kampuni moja hivi namuita mdogowangu kwasababu nlimuacha shule(o'level) na anaelimu ya form four tu! akaniambia "eti andaa cv yako vizuri' form 4 anamwambia mwenye degree"afu akaingia mitini.dunia haiko fair kabsaa!!. Namuomba mungu awazidishie muweze kunisaidia amina! Kazi njema!

Bongo kazi zipo nyingi tu tatizo madogo either vigezo hauna vya kupata ajira, GPA ndogo au hamjitumi kutafuta...ukuiwa na lower second au pass unafikiri nani atakupa ajira..so mimi nakushauri kama unavigezo vilivyojitosheleza wewe endelea kutuma maombi na muombe mungu ipo siku utapata..usikate tamaa!!!
 
nani kakwambia lower second ni GPA ambayo haifai nadhani wewe haujaenda shule kama unaijua shule vizuri uwezi kuandika ujinga huo kuhusu GPA hata kidogo
 
Mimi niliomba msaada humu masikini ID yng wakadhani me ni ke,yani mtu anaku-pm haraka na ana uwezo wa kukufanyia mpango but mkiwasiliana tu akasikia ni me ndo anapotea mazima.
Mpaka ss nipo tu nimekaa Mungu anajua

Watz ndo tulivyo mkuu,matatizo ya wenzetu tunafanyia mtaji!komaa na usikate tamaa Mungu ni mwema na ana makusudi mema kwako
 
Habari! Walimwengu.

Kama kusoma nimesoma lakini maisha yamekuwa tofauti na mategemeo yangu! Kiukweli, kazi imekua ngumu kupata, sina hela sina connections yoyote!. Yani nadharaulika! Mpaka nimechoka, niliomaliza nao std 7, form 4&6 ndo nawanyenyekea kuwaomba msaada wa pesa, connections mpaka kazi wananiahidi then wananpotezea!

Sitaki kumkufuru mungu au kuamini kuwa nina mkosi au familia yetu sio ya kufanikiwa! Lakin hata kaz yoyote ya kupata cha kujikimu tu! imeshindikana kuomba nimeomba mpaka kwa sauti ya huruma lkn bado! Mim ndio wakwanza na pekee kufika chuo kwenye ukoo wetu lakini sioneshi ahueni ili ndg wengine waige kwangu! Bali nimekuategemezi kwao kwasababu wao washauzoea mtaa!.

Nimechoka! Nimechoka! Nimechoka!, nitajiajirije wakati hata buku ya vocha na usafiri shida, nitalimaje wakati ndugu wote wakulima na bado hatuna kitu. Imeniuma sana mpaka nkaamua kuleta kilio changu kwenu ni pale; kwanza cv yangu haina chochote zaidi ya wapi nilisoma kwasababu sijawah fanya kazi kokote ni shule tu!,basi jana usiku

Nilipomwambia mdogo wangu mmoja shida zangu anafanya kazi kweny kampuni moja hivi namuita mdogowangu kwasababu nlimuacha shule(o'level) na anaelimu ya form four tu! akaniambia "eti andaa cv yako vizuri' form 4 anamwambia mwenye degree"afu akaingia mitini.dunia haiko fair kabsaa!!. Namuomba mungu awazidishie muweze kunisaidia amina! Kazi njema!

Mungu ni mwema mkuu,komaa usikate tamaa!
Una taaluma gani?
 
Bongo kazi zipo nyingi tu tatizo madogo either vigezo hauna vya kupata ajira, GPA ndogo au hamjitumi kutafuta...ukuiwa na lower second au pass unafikiri nani atakupa ajira..so mimi nakushauri kama unavigezo vilivyojitosheleza wewe endelea kutuma maombi na muombe mungu ipo siku utapata..usikate tamaa!!!

Acha uongo wewe,kuna watu wa GPA ya 2.2 wana kazi na wanalipwa mshahara $3000(zaidi ya sh 4.5mil) wakati huo huo mwenye GPA ya 4.2 tutorial assistance udsm analipwa mshahara usiozidi sh 1.5mil
 
Pole sana my dear. Usikate tamaa na usichoke kuomba kazi ipo siku one of you many applications will be your job. Usiache kumuomba Mungu pia kwa Imani yako.
Unajua nini? I believe Mungu hajakuwezesha kufika Chuo kwa bahati mbaya ana makusudi, trust me utapata kazi tena nzuri just dont give up and dont consider yourself a failure.Amini kua utapata kazi na utakuja kutupa ushuhuda hapa.
Mimi chuo nilitaka kuacha coz kuna kipindi supp ziliniandama hadi nkawa najiuliza nimefuata nini...haya nikajikazaa nikakomaa nikatoka( Mungu ni mwema) loooh kuja mtaani sasa mmmmh nilitamani nirudi chuo mambo yalikua magumu. Yani kuna wakati nilipata sijui ndo msongo wa mawazo uleee ila still kila nikifikiria kwamba nimesoma nikaamini Mungu anamakusudi na mimi na nikajipa moyo kupata kazi is a matter of time. Today here I am...I'm not where I want to be ila sipo kama mwanzo na kwa hili namshukuru Mungu sana.
So my dear fahim usiikate tamaa wala usione aibu kuomba connection kwa hata uliowatangulia huwezi jua riziki yako ilipo.
All the best, utapata tu kazi kaka.
 
Bongo kazi zipo nyingi tu tatizo madogo either vigezo hauna vya kupata ajira, GPA ndogo au hamjitumi kutafuta...ukuiwa na lower second au pass unafikiri nani atakupa ajira..so mimi nakushauri kama unavigezo vilivyojitosheleza wewe endelea kutuma maombi na muombe mungu ipo siku utapata..usikate tamaa!!!

We sijui wa wapi...watu wana pass wako office za maana na wenye first class tupo nai mtaani ...unaongea nn ww!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom