Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 6,410
- 8,911
Tangia Rais Samia aanze Uraisi ni zaidi ya mwaka sasa, lkn mpaka leo hii hajawahi kufanya ziara maalumu ya kiserikali nchini Uingereza, najua mtakuja na majibu ya sijui Ukoloni, lkn msisahahu mlisema mnafungua nchi na ninyi siyo Kisiwa na kwamba ni sehemu ya English empire au Commonwealth wakati mmechukuwa power
Sasa kwa nini mpaka leo hii hakuna official ziara nchini Uingereza, hii siyo kawaida,je labda hatuna Uhusiano mzuri na nchi ya Uingereza au ni nini?
Sasa kwa nini mpaka leo hii hakuna official ziara nchini Uingereza, hii siyo kawaida,je labda hatuna Uhusiano mzuri na nchi ya Uingereza au ni nini?