Kwanini hakuna mtangazaji wa kiume?

KIM KARDASH

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
5,139
1,139
Wadau mimi niko na swali kwa muda mrefu limenikaa kichwani na kinywani pia!hivi kwanini hakunaga mtangazaji wa kipindi cha taarab wa kiume?hii ni kote kote kwenye tv na redio stations zote bongo?au ajira hizo zinztolewa kwa upendeleo kwa kina mama tu au kuna shida gani hapa tujue kama shida ni kwa kina baba tuwasaidie kama kwa kina mama tufunguke ....kwanini ni kina gea,mishi,dida,miriam migomba,vai mzindakaya n.k.
 
mbona kuimba wanaimba huyo alowawezesha kuimba ambayo ndio kazi nguiu iweje ashindwe kuwatangazisha?
 
Wadau mimi niko na swali kwa muda mrefu limenikaa kichwani na kinywani pia!hivi kwanini hakunaga mtangazaji wa kipindi cha taarab wa kiume?hii ni kote kote kwenye tv na redio stations zote bongo?au ajira hizo zinztolewa kwa upendeleo kwa kina mama tu au kuna shida gani hapa tujue kama shida ni kwa kina baba tuwasaidie kama kwa kina mama tufunguke ....kwanini ni kina gea,mishi,dida,miriam migomba,vai mzindakaya n.k.

unamfahamu isa kibajaji..
 
Ukishapewa kuwa mtangazaji wa kidolejuu umbea hata kama ni bbc ungeona kama ni usawa wa beijing? unaonaje km wakipata wao tu, unapungukiwa na nn? Migodi yetu ya dhahabu na wanyama wetu wanaibiwa cc tunashindania kutangaza taarab je, ni sawa na cc tuamue kutolewa mahali na kuolewa basi ili usawa wa bin Adamu uwepo? Kijana shindania mabo ya msingi kama kusiwepo na viti vya upendeleo bungeni kupunguza gharama ta matumizi yasiyo ya lazima na kama mwanamke anataka viti apiganie kama wote tukiwa shule tunasoma kwann kuwepo upendeleo, je wasipokuwepo unadhani mambo hataenda sw?
tubuni ya maana na cyo rusha roho, au uliomba kazi hiyo ukanyimwa?
 
weeeee!
Mbona kenya wapo kibao...redio citezen kuna 1 anaitwa Hassan Mwana wa Ally anatazangaza mara nying sana,anatoka pande ya mombasa,kw wanafutilia matangazo ya mpira ya citzen radio pia anatangaza mara nying akiwa na Mwemedi Juma Njuguna,Torome Tirike 'double T' na Vicent Atea..
 
kwa sababu wasikilizaji wengi wa vipindi hivyo ni wanawake

lugha yao wanaelewana
 
Ukishapewa kuwa mtangazaji wa kidolejuu umbea hata kama ni bbc ungeona kama ni usawa wa beijing? unaonaje km wakipata wao tu, unapungukiwa na nn? Migodi yetu ya dhahabu na wanyama wetu wanaibiwa cc tunashindania kutangaza taarab je, ni sawa na cc tuamue kutolewa mahali na kuolewa basi ili usawa wa bin Adamu uwepo? Kijana shindania mabo ya msingi kama kusiwepo na viti vya upendeleo bungeni kupunguza gharama ta matumizi yasiyo ya lazima na kama mwanamke anataka viti apiganie kama wote tukiwa shule tunasoma kwann kuwepo upendeleo, je wasipokuwepo unadhani mambo hataenda sw?
tubuni ya maana na cyo rusha roho, au uliomba kazi hiyo ukanyimwa?

ndioa mana nauliza nishatuma sana cv lakini hazirudi wala siitwi kusailiwa,haki sawa kwa wote bana aaah!
 
weeeee!
Mbona kenya wapo kibao...redio citezen kuna 1 anaitwa Hassan Mwana wa Ally anatazangaza mara nying sana,anatoka pande ya mombasa,kw wanafutilia matangazo ya mpira ya citzen radio pia anatangaza mara nying akiwa na Mwemedi Juma Njuguna,Torome Tirike 'double T' na Vicent Atea..

umeelewa swali lakini mzee?bongo ni Tanzania.
 
Ili uweze kuonekana unatangaza kipindi cha Taarab lazima uwe na Taarabu. Na wanaume waipate wapi?
 
Ukishapewa kuwa mtangazaji wa kidolejuu umbea hata kama ni bbc ungeona kama ni usawa wa beijing? unaonaje km wakipata wao tu, unapungukiwa na nn? Migodi yetu ya dhahabu na wanyama wetu wanaibiwa cc tunashindania kutangaza taarab je, ni sawa na cc tuamue kutolewa mahali na kuolewa basi ili usawa wa bin Adamu uwepo? Kijana shindania mabo ya msingi kama kusiwepo na viti vya upendeleo bungeni kupunguza gharama ta matumizi yasiyo ya lazima na kama mwanamke anataka viti apiganie kama wote tukiwa shule tunasoma kwann kuwepo upendeleo, je wasipokuwepo unadhani mambo hataenda sw?
tubuni ya maana na cyo rusha roho, au uliomba kazi hiyo ukanyimwa?
kwa hiyo kwa vile tunaibiwa dhahabu haya mengine tuyakalie kimya..?
 
weeeee!
Mbona kenya wapo kibao...redio citezen kuna 1 anaitwa Hassan Mwana wa Ally anatazangaza mara nying sana,anatoka pande ya mombasa,kw wanafutilia matangazo ya mpira ya citzen radio pia anatangaza mara nying akiwa na Mwemedi Juma Njuguna,Torome Tirike 'double T' na Vicent Atea..

Vincent Atea alishahama, yupo Radio Jambo.
Kuna mdada anajiita 'Super DJ' Jun De Zi Na Vel... Nae huwa anatangaza mpira siku moja moja.
Yule Hassan namjua, mtaarab mwenzie anaitwa Kakakazema Yusuph,
wote wa Likoni.
 
Back
Top Bottom