Kwanini hakuna mkesha wa Kitaifa wa Christmas mwaka huu?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
Hakuna tamasha Wala mkesha mkuu wa Christmas mwaka huu. Je, umezuiwa au utengamano wa waandaji umetingishwa?

Kesho ni Chrissmas, Misa kuu Kitaifa itakuwa na kiongozi wa Kitaifa au ndo tutasali kimya kimya?
 
Ibada ya Krismas kitaifa inafanyika Kanisa Katoliki St Joseph.

Mkesha wa kitaifa ulifanyika KKKT Mbezi beach.
 
Back
Top Bottom