John_Anthony
Senior Member
- Mar 27, 2024
- 166
- 262
Jamani hivi kwanini fedha zetu Tanzania shillings zinashuka thamani kwa kasi sana toka 2300 kwa sasa ni 2572 kwa $1 hivi shida nini huu mwaka au ni mambo gani hasa yamesababisha hii hali
Mimi binafsi inanikera sana hii haliJamani hivi kwanini fedha zetu Tanzania shillings zina shuka thamani kwa kasi sana toka 2300 kwa sasa ni 2572 kwa $1 hivi shida nini huu mwaka au ni mambo gani hasa yamesababisha hii hali
Tena Yao ilishuka sana, kwa karibu asilimia 50. Imerudi mwezi uliopita.Kenya njooni msaidie jirani, mnafanyaje kuimarisha pesa yenu? Ninajua mna viwanda vingi tena vya kisasa, hamna mbinu nyingine?
Usd kwa sasa ni 2600Jamani hivi kwanini fedha zetu Tanzania shillings zinashuka thamani kwa kasi sana toka 2300 kwa sasa ni 2572 kwa $1 hivi shida nini huu mwaka au ni mambo gani hasa yamesababisha hii hali
Buku iwekwe kwenye Coin labda Pesa yetu itapaa alafu tuwe na Noti ya Laki 1 maana Buku 10 ukishaichenji tu mzigo umekata inayeyuka km barafu hizo Buku 2 zinavyopukutika km maskhala vileJamani hivi kwanini fedha zetu Tanzania shillings zinashuka thamani kwa kasi sana toka 2300 kwa sasa ni 2572 kwa $1 hivi shida nini huu mwaka au ni mambo gani hasa yamesababisha hii hali
Hapana ni 2800 kafanye transaction mtandaoniUsd kwa sasa ni 2600
Ukifanya transaction kutoka kwenye acc ya tzs au kutoka mitandao ya simu ndio utapata hizo rates. Kwa manguli hatutumii hiyo njia. Fungua acc ya dola tena tumia ya stanbic personal current acc. Ndio uitumie kufanya malipo ya usd.Hapana ni 2800 kafanye transaction mtandaoni
😂😂Bi kidawa ana lakujibu!
Mmh 2800/= haya mabadiliko yametokea muda gani tena 😕Utakuwa unaota wewe..ngoma ishafika 2800..
Tunaolipia vitu mitandaoni moto tunauona!
Hapa umeongea mkuu kwenye suala la kuagiza tu tupo vizuri sanaSababu: mama anasafiri sana nje ya nchi na anakuwa na wasindikizaji wengi...wote hao wanatumia $
Tunaagiza sana vitu kutoka nje kuliko kuvituma..mfano.. Magari yanayoingia kila wiki bandarini yamelipiwa $
Viongozi kuwa na akaunti nchi za nje.
Matajiri kuzificha $
Yaan mfumuko wa bei nao ni changamoto sana kwa nchi kwasasa mia moja haina kazi hata miambili soon tu itakuwa haina thaman tutafika hadi hiyo bukuBuku iwekwe kwenye Coin labda Pesa yetu itapaa alafu tuwe na Noti ya Laki 1 maana Buku 10 ukishaichenji tu mzigo umekata inayeyuka km barafu hizo Buku 2 zinavyopukutika km maskhala vile
Hizo coin kuanzia 50 ndio wameiua rasmi haupati chochote cha 50 na hio 100 na 200 zinaelekea kupotezwa sasa hivi ni kuanzia 500 na 1000 hio 1000 iwekwe kwenye Coin na 100,000 itengenezewe Noti basi 10,000 haina kazi tena kuishika asubuhi mchana imekwishaYaan mfumuko wa bei nao ni changamoto sana kwa nchi kwasasa mia moja haina kazi hata miambili soon tu itakuwa haina thaman tutafika hadi hiyo buku