Kwanini fedha zetu Tanzania shillings zinashuka thamani kwa kasi sana toka 2300 kwa sasa ni 2572 kwa $1

Sababu: mama anasafiri sana nje ya nchi na anakuwa na wasindikizaji wengi...wote hao wanatumia $
Tunaagiza sana vitu kutoka nje kuliko kuvituma..mfano.. Magari yanayoingia kila wiki bandarini yamelipiwa $
Viongozi kuwa na akaunti nchi za nje.
Matajiri kuzificha $
 
Jamani hivi kwanini fedha zetu Tanzania shillings zinashuka thamani kwa kasi sana toka 2300 kwa sasa ni 2572 kwa $1 hivi shida nini huu mwaka au ni mambo gani hasa yamesababisha hii hali
Buku iwekwe kwenye Coin labda Pesa yetu itapaa alafu tuwe na Noti ya Laki 1 maana Buku 10 ukishaichenji tu mzigo umekata inayeyuka km barafu hizo Buku 2 zinavyopukutika km maskhala vile
 
sual
Sababu: mama anasafiri sana nje ya nchi na anakuwa na wasindikizaji wengi...wote hao wanatumia $
Tunaagiza sana vitu kutoka nje kuliko kuvituma..mfano.. Magari yanayoingia kila wiki bandarini yamelipiwa $
Viongozi kuwa na akaunti nchi za nje.
Matajiri kuzificha $
Hapa umeongea mkuu kwenye suala la kuagiza tu tupo vizuri sana
 
Buku iwekwe kwenye Coin labda Pesa yetu itapaa alafu tuwe na Noti ya Laki 1 maana Buku 10 ukishaichenji tu mzigo umekata inayeyuka km barafu hizo Buku 2 zinavyopukutika km maskhala vile
Yaan mfumuko wa bei nao ni changamoto sana kwa nchi kwasasa mia moja haina kazi hata miambili soon tu itakuwa haina thaman tutafika hadi hiyo buku
 
Yaan mfumuko wa bei nao ni changamoto sana kwa nchi kwasasa mia moja haina kazi hata miambili soon tu itakuwa haina thaman tutafika hadi hiyo buku
Hizo coin kuanzia 50 ndio wameiua rasmi haupati chochote cha 50 na hio 100 na 200 zinaelekea kupotezwa sasa hivi ni kuanzia 500 na 1000 hio 1000 iwekwe kwenye Coin na 100,000 itengenezewe Noti basi 10,000 haina kazi tena kuishika asubuhi mchana imekwisha
 
Back
Top Bottom