Kwanini China na India huwa hawashiriki kombe la dunia?

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,402
15,982
Hbr za mchna

Naomba sababu ni zipi haswa zilizopelekea nchi tajwa hapo juu kutokukushirki kwake kombe la dunia

Wachina Ni wakandarasi wazuri Sana pia wao ndio waliojenga viwanja vya Qatar na pia uwanja wetu wa Mkapa

Taifa Lina watu 2 bilion Kweli imeshindwa kutoa first elven Bora kabisa ili kuweza kupambana na mataifa mengine Kama USA , UK ,nk

Je tuseme hao wenzetu wao wako busy Sana kupambana na Hali ya uchumi na utafutaji tu

Safi Japan naona kila awamu mpo na mnaupiga mwingi sana
 
Sio kifaumbele Chao hiyo ndio sababu kuu, ni sawa na India na Pakistan kifaumbele Chao cricket, mfano tv za Pakistan kuhamasisha mpira ptv sport tv ya taifa ya michezo inaonyesha epl for free au a sport inaonyesha hili Kombe la dunia Kila mechi for free kabisa ila waangaliaji hawapo hatimae tunaofaidi ni sisi slopers tunatega madishi tunaona bure hata geodavie tv ilikuwa inajiunga huko Kwa wapakistani
 
Hbr za mchna

Naomba sababu Ni zipi haswa zilizopelekea nchi tajwa hapo juu kutokukushirki kwake kombe la dunia

Wachina Ni wakandarasi wazuri Sana pia wao ndio waliojenga viwanja vya Qatar na pia uwanja wetu wa mkapa

Taifa Lina watu 2 bilion Kweli imeshindwa kutoa first elven Bora kabsa ili kuweza kupamban na mataifa mengine Kama USA , UK ,nk

Kanjibai alijua lini kukimbia, ni jamii ya watu waoga sana, mtishie tu kuwa wewe ni polisi ...atafungasha kwenye suruali kama kanywa wanzuki
 
Sio kifaumbele Chao hiyo ndio sababu kuu, ni sawa na India na Pakistan kifaumbele Chao cricket, mfano tv za Pakistan kuhamasisha mpira ptv sport tv ya taifa ya michezo inaonyesha epl for free au a sport inaonyesha hili Kombe la dunia Kila mechi for free kabisa ila waangaliaji hawapo hatimae tunaofaidi ni sisi slopers tunatega madishi tunaona bure hata geodavie tv ilikuwa inajiunga huko Kwa wapakistani
Oya madem wa kipashtuni wanajua kukata viuno!?..
 
Hbr za mchna

Naomba sababu Ni zipi haswa zilizopelekea nchi tajwa hapo juu kutokukushirki kwake kombe la dunia

Wachina Ni wakandarasi wazuri Sana pia wao ndio waliojenga viwanja vya Qatar na pia uwanja wetu wa mkapa

Taifa Lina watu 2 bilion Kweli imeshindwa kutoa first elven Bora kabsa ili kuweza kupamban na mataifa mengine Kama USA , UK ,nk

Je tuseme hao wenzetu wao wako busy Sana kupambana na Hali ya uchumi na utafutaji tu

Safi Japan naona kila awamu mpo na mnaupiga mwingi sana

Lini Huhaa!!!, Khungfu na cricket zikawa sawa na football??!🤣
 
Back
Top Bottom