Kwanini chama cha CHADEMA hakipendwi na watu wengi siku hizi?

Mugabe one

JF-Expert Member
Nov 15, 2016
2,327
1,681
WanaJF napenda niwaletee huu Uzi ili tuelimishana vizuri maana Mimi Hilo swali lilinishinda kujibu.

Jana wakati natoka KAHAMA nikielekea Dodoma kwenye basi ilijitokeza hii maada, watu wengi walisema haipendi tena chadema kuliko kipindi kabla ya uchaguzi wa 2015.

Wengi walisema chadema ni chama cha kikabila , wengine wakasema ni chama cha ukazikazini, wengine wakasema ni chama cha ukoo wa Mtei na Mbowe, wengine wakazidisha wakasema ni SACCOS ya watu kupitishia ruzuku, mara wengine wakanena ni chama cha kifisadi kabisa, mwingine akasema hakina demokrasia ya kweli.

SASA, mimi ninaomba mnisaidie nijue ukweli, japo kuna watu wanafanya utafiti kupitia shirika moja nao watatuambia kama kweli chadema hakipendwi na watu wengi hasa wa umri kuanzia miaka 35 hadi 100.
 
Wanauwezo mkumbwa wa kutambua siasa na uhuni
 
OKAY ... haya.
 
Mkuu jitahidi walau ulete bandiko fikirishi,hili ulilolileta unaweza kujikuta unalala njaa kwa kukosa posho ya buku 2.Fanya haraka kabla jua halijachwa.
 
Screenshot_2017-04-08-17-51-52.png
Numbers dont lie
 
WanaJF napenda niwaletee huu Uzi ili tuelimishana vizuri maana Mimi Hilo swali lilinishinda kujibu.

Jana wakati natoka KAHAMA nikielekea Dodoma kwenye basi ilijitokeza hii maada, watu wengi walisema haipendi tena chadema kuliko kipindi kabla ya uchaguzi wa 2015.

Wengi walisema chadema ni chama cha kikabila , wengine wakasema ni chama cha ukazikazini, wengine wakasema ni chama cha ukoo wa Mtei na Mbowe, wengine wakazidisha wakasema ni SACCOS ya watu kupitishia ruzuku, mara wengine wakanena ni chama cha kifisadi kabisa, mwingine akasema hakina demokrasia ya kweli.

SASA, mimi ninaomba mnisaidie nijue ukweli, japo kuna watu wanafanya utafiti kupitia shirika moja nao watatuambia kama kweli chadema hakipendwi na watu wengi hasa wa umri kuanzia miaka 35 hadi 100.

Naona unausemea moyo wako kaka,pole kati ya watu kumi 9 hampendi hata kumsikia Mwenyekiti wako unasemaje hapo??
 
WanaJF napenda niwaletee huu Uzi ili tuelimishana vizuri maana Mimi Hilo swali lilinishinda kujibu.

Jana wakati natoka KAHAMA nikielekea Dodoma kwenye basi ilijitokeza hii maada, watu wengi walisema haipendi tena chadema kuliko kipindi kabla ya uchaguzi wa 2015.

Wengi walisema chadema ni chama cha kikabila , wengine wakasema ni chama cha ukazikazini, wengine wakasema ni chama cha ukoo wa Mtei na Mbowe, wengine wakazidisha wakasema ni SACCOS ya watu kupitishia ruzuku, mara wengine wakanena ni chama cha kifisadi kabisa, mwingine akasema hakina demokrasia ya kweli.

SASA, mimi ninaomba mnisaidie nijue ukweli, japo kuna watu wanafanya utafiti kupitia shirika moja nao watatuambia kama kweli chadema hakipendwi na watu wengi hasa wa umri kuanzia miaka 35 hadi 100.
Kujifariji nako ni kazi
 
Sema hivi mabashite hawaipendi Chadema
 
Ni kweli unachosema au ni propaganda?Kwa mtazamo wangu siamini kama kwenye gari kunaweza kutoa tathimini sahihi.Inawezekana unaishi dunia ya miaka 15 iliyopita.Nikukumbushe maeneo ambayo si huko kwa akina Mbowe lkn wabunge wake ni Chadema Tunduma,Ndanda ,Kilombero,Mikumi,Bunda,Bukoba kwa uchache.No vyema nyakati Fulani tuwe wakweli ili kulipa hadhi jukwaa.
 
Back
Top Bottom