DAMAS DAMIAN
Senior Member
- Apr 8, 2011
- 115
- 54
hahahahaha chama cha chobisi corner hicho,hakijulikani hata kilizaliwa lini?maana kilianzia sebuleni kwa mtei
Una matatizo ya akili wewe sio bure
hahahahaha chama cha chobisi corner hicho,hakijulikani hata kilizaliwa lini?maana kilianzia sebuleni kwa mtei
Wanabodi salamu, hivi CHADEMA iliundwa tarehe ngapi? Na mbona tarehe husika huwa haienziwi kama siku ya kuzaliwa kwa chama cha kiukombozi katika nchi yetu?
Huo ndo ukweli wa CCM, siyo kama wale wanaowaita viongozi wao waandamizi kubwa 'Abiria wa treni'.Group 46 naona baada ya JK kuhimiza chama kiwakumbuke mmechangamka ghafla
Kama tumekosa ushindi katika chaguzi mbili tofauti tena tukiwa na wagombea makini, lazima tuhoji siku chama kilizaliwa huenda ikiwa ni sababu ya mkosi huu.Mtoa mada you think from behind. Unadhani siku ya kuzaliwa ya chama ina manufaa gani kwa wananchi na Taifa? CCM mlivyokuwa na ukosefu wa busara na akili mnashindwa kutetea masirahi ya umma unatetea siku ya chama cha mafisadi kuasisiwa.
Serikali ya CCM ilikandamiza demokrasia kwa kuzuia matangazo ya bunge yasiwe Live hii leo Magufuri ametoka Dar kwa msafara, mkutani wa CCM umerushwa Live na viongozi wa CCM kutumia muda mwingi kueleza umma uongo na upuzzi tu.
Nyote mnaotetea CCM hamjitambui, ninyi ni sawa na MAZUZU aliyosema Mwl. Nyerere. Hii leo ndiyo yamejaa CCM.
Huo ndiyo ukwelTeh teh teh!!! Umenivunja mbavu kamanda
Uzuri umemuelewa mtoa madaKuzaliwa maanake nini? We ungeuliza CDM kilianzishwa lini! Hanjui wanaozaaa?
Sasa hiyo officially registered si ndo siku kilipozaliwa au? Ndo tunaitaka iyo siku..!!!!Fikra za mageuzi nchini zilianza mapema kabla mfumo wa vyama vingi haujaidhinishwa kisheria. Hivyo Chadema ilizaliwa katika fikra za watu kabla ya kuwa officially registered
pole,ukiona hivyo ujue umeguswaUna matatizo ya akili wewe sio bure
Kwani tatizo nini Mkuu? Birthday ni namba tuuWanabodi salamu, hivi CHADEMA iliundwa tarehe ngapi? Na mbona tarehe husika huwa haienziwi kama siku ya kuzaliwa kwa chama cha kiukombozi katika nchi yetu?
Wanaotaka ski waende kwa msajili? Chadema haioni umuhimu wa siku hiyo kwani ilichelewa sana kutokea ukizingatia kuna watu waliteseka siku nyingi kupigania mageuzi kabla ya hapo. Nisawa na kujifungua baada ya kukaa na mimba miezi 15 hata hiyo birthday haina raha kuikumbukaSasa hiyo officially registered si ndo siku kilipozaliwa au? Ndo tunaitaka iyo siku..!!!!
Kubana matumizi na kuifahamu tarehe na kuienzi ni vitu viwili tofautiTulianza kwa kubana matumizi tangu kuanzishwa kwake hivyo sherehe za chama ni kupunguza mtumizi yasiyo lazima na wenzetu wakathubutu hata za kuzaliwa Taifa zikazimwa
Kumbukumbu nzuri ni ya kifo hizo nyingine mbwe mbwe hivi na wewe ni mwasisi wa ccm au njaa zinakufanya uwe mateka wa ccmAnayeweza kujibu hili ni Edwin Mtei. Hawa wafuasi wa leo wamedandia tu hawajui wanakotoka na lini walianza safari. Pia na wasiwasi hata wanakopelekwa hawapajui.