Nawapongeza sana CDM kwa kujitahidi kufuata sheria za uchaguzi ila CCM mnavunja sheria kupita kiasu.
Mkutano mlio ufanya eneo la makumia siku ya Alhamisi mlifunga mkutano saa 12:38 wakati kisheria mwisho ni saa 12:00
Leo siku ya Ijumaa eneo la king'ori nimeshuhudia gari likipita mtaani na kupiga kampeni saa 1:38
Kwanini mnatufanya wana Arumeru ni mambumbumbu hatujui sheria?,kweli mnashangaza sana.
Nawasilisha...