Kwanini bei za umeme zinapanda Tanzannia wakati Kenya zinashuka?

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na shirika la umeme la Kenya KenGen ni kwamba bei za umeme nchini humo zitaashuka kutokana na kuwa na maji ya kutosha. Je inakuwaje hali ni tofauti Tanzania ambayo ina vyanzo vingi kuliko Kenya?
Kwa uhakika zaidi GONGA HAPA.
 
Tz tunawalipa dowans, aggeco, iptl nk. kwa hiyo operation cost za tanesco zinakuwa juu. Gharama hizo kenya wanazo? gharama zilizoongezeka zilipwe na serikali kwasababu ndiyo imesababisha yote hayo.
 
hii ni awamu ya tatu wanapandisha bei bila kuwa na mabadiriko yoyote katika kutoa huduma kwa wanachi. Hivi hawana njia nyingine mbadala zaidi ya kuwaongezea mzigo wananchi!
 
Mpaka wafaidike wao kwanza; haiwezekani umeme wenyewe haupatikani/haupo kabisa halafu bado beiinapanda. Hivi sijui wanafikiria nini, sijawahi kuona viongoziambao wanapenda kuona wananchi wao wanateseka. Kwanihayo ni mateso...
 
Bei ya unit hamsini za mwanzo Kenya ni ksh 2 sawa na Tsh 36 tu. Siku zote tunatukana Kenya oh manyangau,oh man eat man society kumbe,manyangau tunao hapa hapa.
 
duu. yaan zamani ka buku ten napata unit 52 na vi points, sasa hivi ntapata kama 36 points du (tofauti almost 17pts) ndo zinalipa dowans? ama? nijuzeni jamani....! ChiChieMu oyeeeeeeeeeeeeeee.....!!!
 
jiulize kwa nini wengine wanatibiwa muhimbili na wengine wanafia APPOLO
Ukipata jibu oanisha na swali
 
Alafu hawajui ilo ongezeko lina Chain impact kwenye bidhaa ultimately kwenye maisha ie cost of living itapanda.
 
Back
Top Bottom