Kwanini baadhi ya Wanawake hawavai Chupi?

Inawezekana huyo dada ameisha fanya majaribio yote mawili ya kuja kazini na chupi na kuja bila chupi na akagundua akija bila chupi anajisikia raha zaidi, kazi anazifanya kwa uzuri zaidi, kila kitu ni kinaenda vyema akiwa hana chupi. Mwache mdada wa watu mradi K haitokezei nje ya nguo zake.
 
Mmmmh hapana,
inaonyesha huwa unamvua kila mara ndo ukaelewa fresh,
kwa kuona hadi ndani kama mtu hana kiziko inatakiwa
utoe mimacho sana.

ona huyu hapa


bila ya ndani.jpg
 
Nakwambia! Kidogo nivunje mguu kwa kukimbia kuja kuona umeongea nini huku kaka mkubwa!!

Haaaa haaaa MJ1 acha fujo . . . tumekuwa Vibabu wa JF siku hizi. Tunawaaachia vijana waendeleze tulipoishia . . . .

Uko wapi siku hizi na unafanya nini? Asante kwa kuendelea kubadilisha Maisha yetu.
 
Inawezekana ikawa hivyo? Sijamhisi huyu mdada hata siku moja kama ana tabia hizo. Ni dada ambaye kikazi yuko makini wala hana mwekeo kama ana tabia za kihuni


Mjomba wewe ni rahisi sana kupata maambukizi ya HIV coz unaamini kwa macho.
Mwanamke muhuni hana alama usoni.
Mwanamke Malaya hana kengele shingoni.

Shtuka
 
Haa haaa unanikumbusha Mgombea moja miaka ya nyuma wakati wa mkutano wa hadhara alitoa handkerchief ajifute jasho, kumbe ametoa chupi ya nyumba ndogo aliyo confuse kuweka mfukoni akidhani ni leso au kwa sababu nyingine.

Nina imagine jamaa ametoa akaing'uta kwanza ili ikae sawa kabla hajaanza kujifuta watu weweee huku chini.:becky:
 
Huyo dada siku hiyo lazima alikuwa na mechi sasa unajua kama msichana ana game halafu anaenda direct eneo la tukio.

Akaona akivaa itaweka jasho jasho au hali fulani ya harufu, si unajua hizi chupi za kisasa zenye urembo urembo nyingi sio cotton. Akaona bora kwenda chupiless.
 
Ni bahati mbaya 2 kwa huyo mdada aliekua hajavaa.Hawa ndo wanunuji wazuri wa chu,unakuta mdada anazo zaid ya par20.
 
Mjomba wewe ni rahisi sana kupata maambukizi ya HIV coz unaamini kwa macho.
Mwanamke muhuni hana alama usoni.
Mwanamke Malaya hana kengele shingoni.

Shtuka

Mkuu unaweza kupata maambukizi ya HIV kwa kusema au kutenda?
 
Nina imagine jamaa ametoa akaing'uta kwanza ili ikae sawa kabla hajaanza kujifuta watu weweee huku chini.:becky:


Raha zaidi kama ingekuwa Bikini ang Gstring . . . hapo hakuna chenga wala kupamba!
 
Back
Top Bottom