Kwanini baadhi ya Wanawake hawavai Chupi?

Jamani mbona jana nilituma sababu za Kwanini Hawa hawavai hupi? Any way sasa kwa wale vijana ambao wamo kwenye hii JF nawashauri nanyi msivae, huu ni ushauri wa kitabibu kabisa, inasaidia Dungu kuwa na nafasi na kuongozeka urefu, na kuzifanya seli zake kutokufa kwa ni chupi zina changia joto kali ambalo lina madhara, kesho na kesho kutwa labda unatoka kitambi shock imeshatoka vizuri basi unashindwa hata kujiona mwenyewe, nn sbb imedumaa, na Mama naye? anajikausha tu kumbe asikilizii chochote, so hii nadhani kwao pia ina maana fulani.
 
Kama una maumbile makubwa na ukichomekea inakuwaje Mkuu?
 
mmmh tafakali..................................................
Jamani mbona jana nilituma sababu za Kwanini Hawa hawavai hupi? Any way sasa kwa wale vijana ambao wamo kwenye hii JF nawashauri nanyi msivae, huu ni ushauri wa kitabibu kabisa, inasaidia Dungu kuwa na nafasi na kuongozeka urefu, na kuzifanya seli zake kutokufa kwa ni chupi zina changia joto kali ambalo lina madhara, kesho na kesho kutwa labda unatoka kitambi shock imeshatoka vizuri basi unashindwa hata kujiona mwenyewe, nn sbb imedumaa, na Mama naye? anajikausha tu kumbe asikilizii chochote, so hii nadhani kwao pia ina maana fulani.
 
what you are saying is true....

Acheni hoja zenu jamani! hvi kweli unakaa uchi kisa et unaogopa joto?? sio mila zetu bana, lazima tukufikirie kua unataka mtu au matabia zako ni mbofumbofu.

Suprman hapo ulikua unaoneshwa bidhaa.kazi kwako kukubali au kutosa.
 
Mkuu, kama ni mila zetu ndo unaambiwa Wamasai hawavai chupi kabisa na baadhi ya makabila mavazi ya asili ni hivyo hivyo.

Imekaaje hiyo?
 
Ukiona hajavaa chup* ujue yupo kibiashara zaidi. Hata hivyo Dar kuna joto sana na ile kitu inataka kupumua kwa nafasi.
 
Duh, hii kali....lakini kama aligundua jamaa kwamwona, akakaa vizuri yumkini mwanadada huyo si mhuni, lakini mmmmhhhh, bado nafsi yangu inasita na maadili yaliyomo kichwani mwake!
 
Wana Forum;

Mniwie radhi kwani si kawaida yangu kutembelea jukwaa hili la wapwa na mabinamu lakini leo imenilazimu . . . .

Ashakum si matusi . . . Nikiwa ofisini katika kazi zangu za kawaida kuna dada moja ambaye hupendelea sana kuvaa suruali na zinamkaa vilivyo. Hata hivyo majuzi alivaa sketi ambayo pia ilimkaa vema. Bahati mbaya wakati naingia ofisini na bila kudhamiria nilimwona amekaa mkao ambao "mambo yote yalikuwa hadharani". Naam, kwa hakika hakuwa amevaa chupi. Nilikausha na kujifanya kama vile sijamwona na yeye nadhani alijishtukia hivyo akakaa vema.

Jambo hili lilinifanya nijiulize maswali mengi na hasa ni kwa nini hakuvaa chupi lakini sikupata jibu na hivyo kuamua kulileta hapa jamvini:

Je, kuna baadhi ya Wanawake hawavai chupi? Na kama ni hivyo, ni kwa nini?

Sidhani kama mwanamke aliye ajiriwa anaweza kwenda ofisini bila kuvaa chupi,wewe umesoma magazeti ya udaku yaliyoandika juu ya wanaojiita wasanii wa filamu ambao hawavai chupi.So usitudanganye kuwa ulimwona mfanyakazi mwenzako akiwa hivyo.Shame on you!
 
Back
Top Bottom