Kwanini aitwe Dr. Kikwete badala ya Luteni Kikwete?

fikramakini

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
247
60
Wakuu wa JF, wasalaam,

Nasikitika sana jinsi vyombo vya habari vina mwa-dress Mh. Luteni Jakaya Kikwete kama Dr. Jakaya Kikwete.

Hivi hata ukipewa u-doctor wa heshima ndio teyari hiyo prefix itumike kwenye jina? Nyerere alipata hizo heshima mara kadhaa laiki aliendelea kuitwa Mwali Julius Kambarage Nyerere. Sasa kwa nini vyombo vya habari vinatumia prefix ya Dr. badala ya Luteni wanapo mwongelea Mh. Jakaya kikwete?

Mnaweza mkasema amestaafu jeshi siku nyingi. Sawa, lakini nae Makamba si alishastaafu lakini anaitwa Luteni Makamba?

Nadhani tatizo kubwa hapa ni vyombo vya habari kujigonga na kuanza kumwita Dr. au labda yeye ndo anaweka hilo shinikizo?
 
Wapambe ndo wanashinikiza wakidhani kwa kuitwa hivyo basi atakuwa na uwezo (Critical thinking and Bold actions) kama PhD. Slaa or anyone else.

Sioni sababu ya kushupalia title za heshima zaidi, tuuendee uhalisia zaidi.
 
Ameitwa daktari kwa sababu hii, Angalia picha kwenye kiambatanisho
 
Attachments

  • uzamivu wa uchakachuaji.docx
    64.1 KB · Views: 96
Huyu si dr na wala si luteni. Yeye ti luteni kanali wa siasa jeshini. Aliingia wakati wa kuingiza siasa jeshini akishirikiana na jamaa zake kama mwalimu makamba ,jack mwambi na chiligati.
 
Wakuu wa JF, wasalaam,

Nasikitika sana jinsi vyombo vya habari vina mwa-dress Mh. Luteni Jakaya Kikwete kama Dr. Jakaya Kikwete.

Hivi hata ukipewa u-doctor wa heshima ndio teyari hiyo prefix itumike kwenye jina? Nyerere alipata hizo heshima mara kadhaa laiki aliendelea kuitwa Mwali Julius Kambarage Nyerere. Sasa kwa nini vyombo vya habari vinatumia prefix ya Dr. badala ya Luteni wanapo mwongelea Mh. Jakaya kikwete?

Mnaweza mkasema amestaafu jeshi siku nyingi. Sawa, lakini nae Makamba si alishastaafu lakini anaitwa Luteni Makamba?

Nadhani tatizo kubwa hapa ni vyombo vya habari kujigonga na kuanza kumwita Dr. au labda yeye ndo anaweka hilo shinikizo?

mchakachuaji mzoefu huyo...inawezekana hata kuupata u-luteni alichakachua
 
Na hii JK ni sahihi badala ya JM (Jakaya Mrisho)? Nakumbuka hii ilichakachuliwa na kuenezwa na media zilizokuwa zikimkingia kifua ktk kampeni za urais 2005. Ili kujaribu kumuweka ktk nafasi sawa na JK wa ukweli Julius Kambarage. Dhambi hii si ndogo na itamtafuna mpaka kiyama.
 
Unajua jamaa waliweka vikolombwezo vingi ili awe na mvuto actually jamaa alikuwa na mvuto hata kama umeporomoka to negave
 
Kwa hili msimlaumu Mh Kikwete. TCU walishamwambia kabisa asijiite Dr. na yeye mwenyewe kamwe hawezi kujiita Dr. lakini vyomba vya habari hasa vya LOwassa, Rostam na CC ndio vinavyompigia debe. I wish hawa ma Dr. Kama Nchimbi, yule mkuu wa mkoa wa Singida, mbunge wa Segerea wangejua jinsi hiyo PhD inavyopatikana! Shame on their faces!
 
Wakuu wa JF, wasalaam,

Nasikitika sana jinsi vyombo vya habari vina mwa-dress Mh. Luteni Jakaya Kikwete kama Dr. Jakaya Kikwete.

Hivi hata ukipewa u-doctor wa heshima ndio teyari hiyo prefix itumike kwenye jina? Nyerere alipata hizo heshima mara kadhaa laiki aliendelea kuitwa Mwali Julius Kambarage Nyerere. Sasa kwa nini vyombo vya habari vinatumia prefix ya Dr. badala ya Luteni wanapo mwongelea Mh. Jakaya kikwete?

Mnaweza mkasema amestaafu jeshi siku nyingi. Sawa, lakini nae Makamba si alishastaafu lakini anaitwa Luteni Makamba?

Nadhani tatizo kubwa hapa ni vyombo vya habari kujigonga na kuanza kumwita Dr. au labda yeye ndo anaweka hilo shinikizo?

Nilipo RED, Kikwete aliishia cheo cha LUTENI KANALI na sio LUTENI. Sahihisha hapo
 
JK.Hapambiki kwa vitendo au uchapaji kazi wake hivyo wamebuni au wamiamua kutumia title zote ili kumpamba.Kwa vile JK sio siri anaweza kuongoza katika viongozi "INCOMPETENT"Waliowahi kutokea Tanzania washauri wake wanaomzunguka wanafahamu hivyo lakini hawana la kufanya na badala yake wanajaribu kutufariji kisaikolojia kwa hizo title.
 
Kuna watu wamesomea udokta na kuusotea lakini hawaoni dili kutumia hiyo title. Sasa hapa bongo, wengi wana udokta wa kuomba manake i am not sure kama kweli wanatunukiwa na vyuo husika, mtu kama JK kwa lipi hasa hadi apewe udokta wa heshima?

mfano mzuri ni mwana mama muhubiri Joyce Mayer,

Educational Background
Joyce holds an earned PhD in theology from Life Christian University in Tampa, Florida; an honorary doctorate in divinity from Oral Roberts University in Tulsa, Oklahoma; and an honorary doctorate in sacred theology from Grand Canyon University in Phoenix, Arizona.

Sioni sababu ya kujivunia title amabyo hujaisotea.Na hii staili wanaitumia watu wengi sna hapa kuitwa Dr.
 
kuna watu wanastahili kupewa hizo phd katika tasnia mbalimbali toka tuwe taifa na hawapewi to my suprise wanapewa wasio na mchango.naanza
1.saidi mabera (soloist)
 
Whether Dr, Lutenant, Command in Chief, Terrorist, Manipulator, does it make a difference?
 
Back
Top Bottom