Nilikua nawaza hivi wakati wakristo wanaoishi zanzibar wanafunga huwa hakuna waislamu wanaokula hadharani!? Huwa wanakamatwa na kuwekwa Jela pia?
Wacha porojo hizo sheria zipo znz kabla wewe hujazaliwa tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
 
Hii video ni ya muda na umeiweka sasa ili ilete kashfa na kukosa maelewano humu JF. Moderator hii sio sawa. Mi Mkristo na nipo Bara, video hii ni ya uchochezi.
Je tukio lilifanyika au halikufanyika?.Hakuna mkristo mwenye akili timamu atasapoti huo ujinga wa hivyo.Kemea ujinga wowote ule unaofanywa kwa mgongo aidha wa dini au siasa.hivyo vitu vinaweza kugeuza nchi kichwa chini miguu juu.sasa wewe unaona video ni uchochezi ila hauoni kumponda mwingine kisa chakula sio uchochezi.
 
Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani.

Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara? Ni watu baki au ni watu wasio na haki ya kukaa Zanzibar? Maana hapo ni ubaguzi wa wazi, kupanda mbegu ya chuki ambayo ni hatari kwa Taifa.

Kwani mtu ukifunga, ukaendelea na mfungo wako inakuathiri nini kwa asiyefunga kula?

Siyo sawa Kitendo cha kuwachapa au kuwafanyiwa vitendo mbalimbali vibaya watu wasiofunga mwezi wa Ramadhani.

View attachment 2947747

Soma pia:

1) Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya wahanga na kuzaa Gharika

2) Zanzibar: Akutana na kipigo baada ya kuonekana akila mchana!

3) PEMBA: Achapwa Mikwaju Kula Mchana Mwezi mtukufu wa Ramadhan
Makafiri wanamkakati maalum Zanzibar kutaka kuifanya danguro. Wanataka kufanya kama siasa za chadema vs CCM. Mikwaju tu ukila mchana mpaka uheshimu mwezi mtukufu wa Ramadhani
Enzi za Karume ukila mchana Ramadhani ya kwanza unakaa ndani mpaka iishe skukuu
 
Mkristo wa wapi ambaye happening muislam na muislam wa wapi asiyempenda Mkristo?

Mi nimeona katika familia ya Kiislam na mke wangu anaitwa Aziza na sasa amebadikisha Jina anaitwa Eliza huku akiwa a.etoka familia ya kishehe.

Tumezaliwa na kukulia katika maisha ya Ukristo, Baba yangu akiwa mzee wa Kanisa la Lutheran ila Dada yangu kabisa ameolewa na muislam na amebadilisha Dino sasa ni muislam. Watoto wake ambao ni wajomba zangu ni Waislam. Watoto wangu ni Wakristo huku Wajomba, Mama zao wakubwa na wadogo, mababu na mabibi ni Waislam. Sasa hapo chuki ipo wapi? Tunapendana, tunaheshimiana na kuvumiliana huku tukichukuliana ila nyie vijana wa hovyo humu JF kwa kutumia fake ID ndio mnatoa comments za kuchukiana ila kiuhalisia humu mitaani tu Binadamu na tu watanzania.
🤝🤝🤝
 
Hawa watu ni wabaguzi sana. Mioyo yao imejaa na kusheheni chuki za wazi dhidi ya watu wa bara.

Na jinsi walivyojazana huku bara siku muungano ukivunjika sijui watajificha wapi
Bara Wapo Tele, Mpaka Mwisho Huko
 
Polisi wamesema ni kinyume cha sheria za Zanzibar ,sasa wewe unapinga nn?😅😅
Ibara ya 13 (2) "Ni marufuku kwa sheria yoyote iliyotungwa na mamlaka yoyote katika Jamhuri ya Muungano kuweka sharti lolote ambalo ni la ubaguzi ama wa dhahiri au kwa taathira yake" Hii ni extract kutoka kwenye katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania
na pia katiba ikaenda mbali ikasema hivi ibara ya 19(2) "Bila ya kuathiri sheria zinazohusika za Jamhuri ya Muungano, kazi ya kutangaza dini, kufanya ibada na kueneza dini itakuwa ni huru na jambo la hiari ya mtu ya binafsi, na shughuli na uendeshaji wa jumuiya za dini zitakuwa nje ya shughuli za mamlaka ya nchi"
Serikali hairuhusiwi kueneza dini, wala kuatangaza kwa njia yoyote
 
Na Quran imeandika tumefaradhishiwa kufunga mwezi wa Ramadhani.
Qurani imefaradhisha jambo hilo kwa waumini yaani waisilamu walioiamini dini,na wala Qurani haijamtenza nguvu mtu mwingine kwamba ni lazima asile na hata hadharani.
Issue ni kutokula hadharani.
Qurani iliyokuamrisha kufunga wewe muisilamu wapi Qurani hiyo imemkataza asiye muisilamu kula hadharani,aya ipi ?

Ndio Maana Qurani imeamrisha watu tumuabudu Mungu ila amri hiyo haitufanyi sisi tuwazuie wengine wasifanye ibada zao tofauti na za uisilamu.

Huwezi kusema kwamba kwa kuwa sisi waisilamu tumeamrishwa kusali basi tunawakataza wasiokuwa waisilamu wasisali kwa sababu sisi tunatekeleza ibada yetu.

Basi ndio katika funga iko hivyo hivyo,sisi tunaofunga ramadhani isitufanyd tukawakataza wasiokuwa waisilamu kula mchana tena hadharani,uisilamu hauko hivyo kama ndio tunaoufuata,ila kama tumeamua kwa utashi wetu ni vizuri tukawaeleza watu ili jambo hili lisilo na logic lisinasibishwe na uisilamu
 
Soma nilichoandika Kabla ya kucomment Popoma wewe ..Sa kwanini Nile hadharani Wakati tamaduni na Desturi zao haziruhusu?....Huwa watumia akili kuwaza ama kinyesi cha nguruwe?
Huku mboni wanakula km ni tamaduni acha uzuzu kengewee wapemba tunakula nao ugali Samaki muda huu hapa nilipo hakuna aliewashikia bakora
 
Aisee hata hapo upanga dsm karibu na Campus ya MUDCC ,kipindi cha ramadhani migahawa mingi hufungwa.

Hawa ndugu zetu waislamu kiukweli huu si uungwana kabsaa. Huku Bara tukiamua kuwafanyia hivyo itakuwaje? Hata kwenye huduma tu kata,ardhi,elimu n.k?
Swala la kufunga mighahawa hilo ni maamuzi huwezi kuwalazimisha kwa kuwa hiyo biashara ni yao
 
Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani.

Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara? Ni watu baki au ni watu wasio na haki ya kukaa Zanzibar? Maana hapo ni ubaguzi wa wazi, kupanda mbegu ya chuki ambayo ni hatari kwa Taifa.

Kwani mtu ukifunga, ukaendelea na mfungo wako inakuathiri nini kwa asiyefunga kula?

Siyo sawa Kitendo cha kuwachapa au kuwafanyiwa vitendo mbalimbali vibaya watu wasiofunga mwezi wa Ramadhani.

View attachment 2947747

Soma pia:

1) Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya wahanga na kuzaa Gharika

2) Zanzibar: Akutana na kipigo baada ya kuonekana akila mchana!

3) PEMBA: Achapwa Mikwaju Kula Mchana Mwezi mtukufu wa Ramadhan
Wanajifanya wanampenda mungu wakati kwao ndo kuna mashoga wa kutosha tu
 
Waislam wasiojua dini na Wakiristo wamekatazwa kula mchana Zanzibar
Ubishani wa CCM vs chadema unaokafanywa bara usiingizwe ktk dini
Zanzibar ukila mchana hadharani kosa sasa kama unataka kushindana kama kupigania maandamano hio sawa

Chadema wanataka maandamano CCM wanasema noo.
Hii eti kila mtu ale mchana na njee zanzibar hilo gumu.
 
Serikali ya Nchi ya Zanzibar kwani haipo kwenye muungano? Kwanini waseme huku sio bara?
Wana nchi Yao wana serikali yao wana katiba yao wana sheria zao wewe mtanganyika inakuuma kitu gani tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
 
Swala la kufunga mighahawa hilo ni maamuzi huwezi kuwalazimisha kwa kuwa hiyo biashara ni yao
Huku mboni fremu za Misikiti zina Migahawa Waislamu na wasio Waislamu wanakula hapo na hawapigwi bakora, uislamu gani unaowaambia wafanye huo ujinga? Kuna zuzu litakwambia tamaduni kengemaji kabisa kuna tamaduni za Allah? Km ingekua hivyo Si Dunia nzima watu wangekua wanavishwa mikwaju
 
Back
Top Bottom