Hawa wazanzibar wanatukanyaga kichwani ,hili clip inatakiwa tuwarudishie majibu ! Kama wameuchoka muungano nao waondoke kwetu ! Hii clip ingekuwa huyo anaepigwa ni mzanzibar mambo yangekuwa si mambo lazima wangelipiza kwa kuwapiga watu wetu huko
 
Hawa watu ni wabaguzi sana. Mioyo yao imejaa na kusheheni chuki za wazi dhidi ya watu wa bara.

Na jinsi walivyojazana huku bara siku muungano ukivunjika sijui watajificha wapi
Siku yao ipo ,...................
 
Nimeona klipu Moja ya kusikitisha Leo asubuhi ! Baba mmoja mtu mzima anacharazwa bakora mbele za watu kwa kuwa tu yeye hajafunga! Hilo halijanishtua Sana kilicho nisikitisha ni maneno ya wazanzibar kwa mtu huyu Ambae kwa haraka haraka nimegundua mi mzee wa makamo! Maneno kama huku sio bara ,huku sio kwenu ,nyinyi wa bara si mna kwenu ? Hayo maneno yamenifanya nifikirie mara mbili kuhusu Ninani hasa anautaka muungano?
Hii ni kweli kabisa haya hapa chini ni baadhi ya hayo matukio na wanaoyafanya ni Polisi..

Zanzibar ni nchi ya KIISLAM Tanganyika ni Nchi ya kikristo
Screenshot_20240329_085654_X.jpg


Screenshot_20240329_085551_X.jpg

20240329_085517.jpg

Screenshot_20240329_085616_X.jpg
 
Back
Top Bottom