Kwani haitoshi kutamka tu mheshimiwa Rais?

El Roi

JF-Expert Member
May 29, 2020
263
502
Sijui kama ni shida ninayoiona Mimi tu au na wenzangu mnaiona pia shida hii.

Mara kadhaa Sasa utawasikia watu na hasa viongozi, Kila wanapomtaja Rais lazima wamalizie na jina lake lote, Dr. Samia suluhu Hassan.

Utamsikia kwa mfano waziri anaeleza jambo " mheshimiwa Rais, Dkt. Samia suluhu Hassan alinituma hivi majuzi kwenda New York.

Kwangu Mimi ingependeza kama angesema" Mheshimiwa Rais alinituma kwenda New York.

Ukishasema Mheshiwa Rais, definitely inajulikana ni Dkt. Samia suluhu Hassan.

Kwingine inazidi kabisa" Namuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia suluhu Hassan anaingia hapa"

Hivi ukishasema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anaingia hapa, haitoshi mpaka utaje jina lake? Kwani Kuna Rais mwingine wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania asiye Dkt. Samia Suluhu Hassan?

Kwangu Mimi dhana hii ya utajaji jina la Rais Kila mahali, hata ambapo cheo chake kimeshatajwa Ina dhana mbili kuu,

1) Hivi si kujipendekeza kwa watamkaji wa jina la Rais Kila mara kana kwamba huwa Kuna Rais mwingine tena wakati huohuo?

Maana nijuavyo, neno Rais linamhusu hasa aliyeko madarakani. Tukitaka kusema Rais mwingine aliye wahi kuwa, tutatumia maneno kama" Rais mstaafu" wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

2) Dhana nyingine ninayoipata, ni taswira ya hofu "( inferiority complex")

Kutaja jina la Rais Kila wakati hata pale ambapo cheo chake kimeshatajwa, kwangu Mimi naona ni hofu( ya kupandiwa ?) yenye lengo la kuonyesha kwamba huyu ndiye.

Sasa jambo la kujiuliza ni, kwani Kuna mshindani Tena ndani ya urais? Kuna anayempinga Rais mpaka atambulishwe kwa jina Kila wakati kama kwamba asipotajwa jina atapoteza cheo chake?

Je kutajataja jina la Rais hata baada ya kumtambulisha kwa cheo chake, ni njia ya wakereketwa kuwaonyesha wale walioutaka urais wakati Fulani kwamba Sasa huyu ndiye?

Nakubali kweli kwamba Kuna wakati wa kumtambulisha Rais na jina lake lifuate katika nyakati kadhaa lakini haiwezi kuwa Kila wakati kama ninavyoona siku hizi.

Lakini ninaloliona hapa kwetu ni ajabu kiasi. Mtu hawezi tu kusema Rais, Tena Rais wetu tunayemfahamu wote kwa jina, ajabu lazima ataje jina lake kana kwamba anamtambukisha Rais wa Jamhuri nyingine.

Mantiki ya andiko langu ni kufanya mambo sahihi kwa njia sahihi.

Doing the right things, the right way!
 
Marais wapo wengi ndg yangu. Wengine hadi wa mitaa!
Ni vema tu kumtaja jina kwa ajili ya kuondoa utata!
 
Sijui kama ni shida ninayoiona Mimi tu au na wenzangu mnaiona pia shida hii.

Mara kadhaa Sasa utawasikia watu na hasa viongozi, Kila wanapomtaja Rais lazima wamalizie na jina lake lote, Dr. Samia suluhu Hassan.

Utamsikia kwa mfano waziri anaeleza jambo " mheshimiwa Rais, Dkt. Samia suluhu Hassan alinituma hivi majuzi kwenda New York.
Ukiona hivyo kuna kutojiamini ndani yake na hayo ndiyo maisha ya nguoni na kwenye nywele
 
Kujipendekeza
Kutojiamini
Kukwezana
Unafiki
Uzandiki
Ujinga
Kutojielewa
Sifa za kijinga.

Kifupi.. HOVYOO.
 
Waafrica wengi tunapopata za daktari tunaacha kutumia majina yetu.
Na unapomwakilsha Rais,,Utakiwa kuanza na jina lake mfano ,Mheshimiwa Dr Samia Hassan Suluhu,rais waJMT au Rais wa JMT Dr Samia Suluhu Hassan.
Ukitumia kinyume cha uje wewe ni juha tuu.
 
Ni sisi tu wabongo na wafrika ndio udaktari wa heshima tuna uweka kabla ya majina yetu ...mnafikiri mabara mengine hawapewi udaktari wa heshima!?? Mbona hawayatumii official kwenye majina Yao.... Ulimbukeni tu.
 
Sijui kama ni shida ninayoiona Mimi tu au na wenzangu mnaiona pia shida hii.

Mara kadhaa Sasa utawasikia watu na hasa viongozi, Kila wanapomtaja Rais lazima wamalizie na jina lake lote, Dr. Samia suluhu Hassan.

Utamsikia kwa mfano waziri anaeleza jambo " mheshimiwa Rais, Dkt. Samia suluhu Hassan alinituma hivi majuzi kwenda New York.

Kwangu Mimi ingependeza kama angesema" Mheshimiwa Rais alinituma kwenda New York.

Ukishasema Mheshiwa Rais, definitely inajulikana ni Dkt. Samia suluhu Hassan.

Kwingine inazidi kabisa" Namuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia suluhu Hassan anaingia hapa"

Hivi ukishasema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anaingia hapa, haitoshi mpaka utaje jina lake? Kwani Kuna Rais mwingine wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania asiye Dkt. Samia Suluhu Hassan?

Kwangu Mimi dhana hii ya utajaji jina la Rais Kila mahali, hata ambapo cheo chake kimeshatajwa Ina dhana mbili kuu,

1) Hivi si kujipendekeza kwa watamkaji wa jina la Rais Kila mara kana kwamba huwa Kuna Rais mwingine tena wakati huohuo?

Maana nijuavyo, neno Rais linamhusu hasa aliyeko madarakani. Tukitaka kusema Rais mwingine aliye wahi kuwa, tutatumia maneno kama" Rais mstaafu" wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

2) Dhana nyingine ninayoipata, ni taswira ya hofu "( inferiority complex")

Kutaja jina la Rais Kila wakati hata pale ambapo cheo chake kimeshatajwa, kwangu Mimi naona ni hofu( ya kupandiwa ?) yenye lengo la kuonyesha kwamba huyu ndiye.

Sasa jambo la kujiuliza ni, kwani Kuna mshindani Tena ndani ya urais? Kuna anayempinga Rais mpaka atambulishwe kwa jina Kila wakati kama kwamba asipotajwa jina atapoteza cheo chake?

Je kutajataja jina la Rais hata baada ya kumtambulisha kwa cheo chake, ni njia ya wakereketwa kuwaonyesha wale walioutaka urais wakati Fulani kwamba Sasa huyu ndiye?

Nakubali kweli kwamba Kuna wakati wa kumtambulisha Rais na jina lake lifuate katika nyakati kadhaa lakini haiwezi kuwa Kila wakati kama ninavyoona siku hizi.

Lakini ninaloliona hapa kwetu ni ajabu kiasi. Mtu hawezi tu kusema Rais, Tena Rais wetu tunayemfahamu wote kwa jina, ajabu lazima ataje jina lake kana kwamba anamtambukisha Rais wa Jamhuri nyingine.

Mantiki ya andiko langu ni kufanya mambo sahihi kwa njia sahihi.

Doing the right things, the right way!
washamjua bibi ushungi ni mtu wa sifa,samia ni zingwi zingwi mpe nguo umuone.
 
kuna raisi wa manzese mkuu
 
NJAA BABU, NJAA...
 
Uko sahihi,ngoja chawa,viroboto,kupe na kunguni wake watakavyokupopoa.
 
Wasipomtaja, kwenye boksi la kura mtakwenda kujichanganya.
global_tanzania_voter.jpg
 
Tatizo hapa Tanzania ni kuwa na wanasiasa wanafiki na wasakatonge kupindukia!

Ni kama huwa wanafanya mashindano ya unafiki kwa mteuzi!
 
Uchawa ulianza awamu ya mwendazake. Lazima kila kitu useme Rais kaagiza na lazima utaje jina na cheo chake kila muda. Kuiwekea title ya Rais mbwembwe ni kuichafua.

Kila kitu ni maagizo ya Rais hakuna mtu mwenye dira yake mwenyewe yamekaa kama maroboti tu hayawezi kujiamulia.
 
Ushindani kwenye kujikomba?
 
Jambo lolote likiwa na chembe chembe za ghilba (uongo/ujanja ujanja) mara nyingi hutumika nguvu kubwa sana kuliaminisha liwe kweli. Na ili hilo litimie ni lazima lirudiwe kila mara ili kujenga mazoea na kulifanya liwe kweli.

Pia siku zote mbwa unaemjua jina hakupi tabu.

Kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza. Rejea mabango yaliyotandazwa nchi nzima ya sifa za kuwa mama anaweza, rejea vipindi vya maredioni na televisheni vya kuimba mapambio ya mama, rejea matamasha ya kutangaza mafanikio ya mama. Hayo yote ni majaribio ya kuhalalisha yale yasiyokuwepo.

Uongo ukirudiwa mara nyingi hubadilika na kuwa kweli, hii ikiwemo na matumizi ya 'fancy titles'. Mwisho wa siku itasahaulika kuwa hata huo udaktari ni wa kunjunga.

Waswahili husema mjinga mtukuze. Katika maisha sio kila anaekupamba ni kwa upendo, wengine ni dhihaka ili yao yatimie tu.

Ukiona unaitwa sana mkuu, tajiri, Boss ilhali huna hali/hadhi ya kuitwa hivyo basi elewa unadhihakiwa ili ya wanaokuita yaende.
Halkadhalika ukiona rejea inafanywa sana kwa wadhifa wako, basi hapo ujue kinachothamiwa ni nguvu ya madaraka yako na si jitihada zako binafsi.
 
Uchawa ulianza awamu ya mwendazake. Lazima kila kitu useme Rais kaagiza na lazima utaje jina na cheo chake kila muda. Kuiwekea title ya Rais mbwembwe ni kuichafua.

Kila kitu ni maagizo ya Rais hakuna mtu mwenye dira yake mwenyewe yamekaa kama maroboti tu hayawezi kujiamulia.
Na ukiona jambo linafanyika kila mara ujue lina baraka ya muhusika.

Mtu maisha yote umekaa ndani na vi certificate vya kuunga unga halafu ghafla unapata title ya udaktari wa kupewa, hapo lazima utake uitwe Dr. kila mara ili kujiona na wewe wamo.
Ni kama vile umetembea kwa miguu miaka kibao halafu unakuja kumiliki gari, siku za kwanza lazima uwe na mchecheto wa kuzua hata safari isiyoluwepo ili tu uendeshe gari yako.
 
Back
Top Bottom