Kwako...!??

Mentor

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
20,328
23,879
Basihii imetokea juzi juzi mitaa ya kati... dereva Lorry na utingo wake waendesha Lorry usiku...
Na ili kupoteza usingi wakaanza kupiga story:
dereva lorry akaanza kuelezea jinsi gani kwake ana makochi, sofa sets, round tables..etc!
Wakati wanaendelea kupiga stori wakakaribia kona (to the right of the driver)...basi ikabidi apige pause story amuulize utingo wake upande wake huo kama kuna gari linakuja..
Dereva: "Kwako?"
Utingo(Akidhani anaulizwa kuhusu nyumbani kwake): "Hakuna (akimaanisha nyumbani kwake hana hata kiti)"
Basi dereva spidi 120 kwenye kona huyo kaingia rodini...kumbe kuna Lorry laja nalo kwa kasi ya ajabu...!!!
pata picha iliendeleaje...lol!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom