Kwako Ndg. Pasco: Maandamano Yamefanyika Bila Idhini ya Katibu wa Chama!

Itategemeana na uamuzi nitakaochukua muda huo ukifika. kwamba nigombee tena ama la? Mimi nina fani ya kazi, nina nguvu na ujuzi wa kutosha, pia nina shughuli nyingi na halali za kunipatia kipato changu cha riziki ya kila siku. sitegemei siasa pekee kama ajira yangu, nikionekana sifai basi nitapumzika,[colour=red] hata hivyo wenye uamuzi wa mwisho ni wananchi wenyewe na wala siyo mtu mwenye lengo la kulipiza kisasi.[/color] hivyo kama nitaamua kugombea nitawaomba ridhaa wananchi wenzangu wa Nzega, wakisema natosha nitagombea wakisema hapana umechemsha na haujafanya kitu nitaacha! Huwezi kufanya kazi huku ukihofia kufukuzwa chama, ama kuacha kuteuliwa na chama uchaguzi ujao --- sasa utaishije? Zaidi ya hapo una ahadi gani na Mungu kwamba utafika hiyo 2015? Ishi kama vile utakufa leo na utakuwa huru

Mbona walikukataa kabisa na kukutupa nafasi ya mwisho lakini uamuzi wao haukuheshimiwa na wenye uamuzi wa mwisho ndani ya chama! Yaani umeshasahau kwamba ubunge wako ni matokeo mabovu ya minyukano wa kimakundi uliopo kwenye chama chako? Umesahau haraka sana mkuu!
 
Mkuu asante kwa majibu yako ya busara,
Nilikuwa naamini kuwa wewe ni mwanasiasa kijana mwenye msimamo, mpigania haki za wanyonge, Je nini kilikufanya kutokusaini wakati Zitto anatafuta watu wa kumuunga mkono ili kumuondoa waziri mkuu, hii inawezekana ni kwasababu kulikuwa na tetesi kuwa ulikuwa umepewa unaibu waziri wizara furani ndiyo maana ukawa muoga....

Ndugu zangu wanabodi,

Nimeamua kuja kujibu kama ambavyo mngependa nifanye. Siyo kwamba nimekimbia JF, la hasha. Siwezi kukimbia na wala sina sababu ya kufanya hivyo. Ni kwamba gadget yangu ninayotumia kwa mawasiliano ilipata mushkeri na nikawa nalazimika kutumia kompyuta na bahati mbaya sana kwa jinsi nilivyokuwa bize na ujenzi wa Taifa nilijikuta nakosa muda wa kukaa kuanza ku-surf. Nisamehewe kwa hilo.

Mimi sijawahi kuwa mnafiki, at least kwa alama tatu za mnafiki kama tunavyofundishwa sisi waislamu. Kwa faida ya mjadala huu, niseme alama zenyewe. Moja ni kuwa akitoa ahadi hatekelezi. Mbili, ni akiaminiwa anahalifu na tatu, akizungumza husema uongo. Namshukuru Mungu sina hata moja ya alama hizi na hivyo kushindwa mtihani wa kuwa 'mnafiki'. Ungeniita mnafiki kama nisingekuwa tayari kutoa maelezo ya maamuzi yangu, ama kama ningewasaliti CCM na kupeleka siri za huku kule, ama kama ningeahidi kuunga mkono hoja hiyo kisha nikakimbia. Leo hii mimi niko chama kimoja tu, CCM, na nitafanya mambo yanayokubalika ndani ya CCM. Siku nikihamia CHADEMA/CUF/NCCR basi nitafanya ya huko bila kusaliti kule na kurudisha CCM ama kupeleka kokote kule kinyume na utaratibu. Huo ndiyo msimamo wa ukweli na siyo unafiki.

Kuna uwezekano wa kuwa na tafsiri tofauti kutokana na pre-conceptions zetu vichwani, siwezi kulizuia hilo hata kidogo. Kwa kuwa ninakalia kiti cha uwakilishi, nina-feel ninawajibika kwenu kutoa maelezo ya msimamo wangu kwenye hili, na wala sintomumunya maneno.

Kwanza, hoja yenyewe siikubali. Kwa sababu ninaamini serikali ya Chama Changu (CCM) haijashindwa kufanya kazi ya watanzania kiasi cha kung'olewa madarakani kwa namna hiyo. Pili, naamini na ninakubali, na kwa hakika ninakerwa na baadhi ya watu waliopewa dhamana za kuongoza baadhi ya ofisi nyeti za umma wametuangusha watanzania, na hivyo naunga mkono hoja ya kutaka kuwatoa hawa. Mhe. Zitto Kabwe (MB) alipokuwa akijumuisha hoja yake, alitaka serikali iwawajibishe baadhi ya mawaziri na watendaji wakuu wa Wizara na Mashirika ya umma, na akasema kama serikali haikufanya hivyo kufikia J3 iliyofuata basi sisi (Bunge) tuna uwezo na WM na kwamba atapitisha karatasi ya kukusanyia saini 70 ili kukidhi matakwa ya kikanuni ya kuwasilisha hoja ya kutokuwa na imani na WM; kwa tafsiri yangu ni kwamba Mhe. Mbunge alilenga kuweka presha kwa serikali, kuitaka iwajibike kwa kuwawajibisha mawaziri hao (watano) kama alivyowataja yeye. Kwanza mwanzoni nilielewa hivyo. Baadaye jinsi ilivyopokelewa na wadau mbalimbali nikaona kama hoja inahama sasa na kwamba si mawaziri hao watano wenye tuhuma mbalimbali, ni PM na kwa maana hiyo ni serikali yote Bungeni! Hili mimi siliungi mkono na silikubali. Nasema wazi hivyo kwa sababu, mimi nina imani na WM, nina imani na Rais - aliyemchagua WM, na nina imani na Mawaziri wengine wengi wazuri tu kwenye serikali hii, na msimamo wangu huu uko wazi sana tu.

Mbili, sioni sababu ya kuiingiza nchi kwenye wasiwasi wa kiutawala kiasi hiki. Na kwa kuwa wabunge wa CCM kwenye party caucus tulikuwa tayari tumeishaambiwa kwamba kuna mawaziri wameamua kujiuzulu wenyewe (tena siyo wale watano, ni wanane kabisa) kutokana na tuhuma hizo na presha kutoka kwa wabunge wa CCM na wengine, sikuona sababu ya mimi kusaini hoja ya Zitto (ambayo kikanuni ilikuwa imekosewa - kitendo kilichonidhihirishia wazi kwamba hakuwa na u-seriousness wa kutaka kweli kumuondoa WM bali ni baadhi ya mawaziri, sema alichomeka tu hiyo kauli ili kutia presha zaidi!). Zaidi ya hapo, ninaamini hoja hiyo ni nzito na kimsingi, kwa sasa, imegeuka kuwa ni mchezo wa kisiasa na media na haitofika popote! Kama Mhe. Mbunge Zitto alikuwa na nia ya dhati ya kumuondoa WM asingekurupuka kiasi kile, angewashirikisha watu wengi zaidi, hususani wabunge wa CCM, na kimkakati zaidi angewapa wabunge wa CCM walioibua hoja hizo za kuwataka mawaziri wang'olewe na hapo angefanikisha malengo ya kumuondoa WM na serikali yake Bungeni. Kwa namna ilivyo hawezi kupata support ya wabunge wa CCM na kwa kuwa sisi ndiyo majority, hoja hiyo haitopita - na hii itaturudisha kule kule kwenye nilichokisema kule twitter kwamba hoja hii ni ......politically right but technically flawed!

Jamani, hoja ya kumuondoa WM madarakani siyo kitu kidogo, siyo kitu cha mchezo, ni lazima ujipange. Ukweli ni kwamba rafiki yangu Mhe. Zitto hakujipanga kuifanikisha (bila shaka yeye mwenyewe analielewa hili vizuri - he is smarter than this, I know him!)

Tatu, msisahau kitu kimoja cha muhimu kabisa. Kwamba, mimi ni Mbunge kutokea CCM na kama walivyo wengi wenzangu hatukusaini kwa sababu hatuwezi kuiangusha serikali ya CCM kwa hoja inayoletwa na Mbunge wa Kambi ya Upinzani! Mbunge wa Chama Tawala kuamua kuiangusha serikali ya chama chako ni sawa na kuamua kukata tawi la mti uliokalia, kwa vyovyote vile utaanguka nalo! Simple logic! Mfumo wa Bunge letu ni wa Westminster, na hivyo kuna kambi ya Upinzani (yenye interest ya kutaka kuiangusha serikali inayotawala) na Kambi ya Serikali (ambayo ina interest ya kutaka kuilinda serikali yake). Kwa maana hiyo sisi wabunge wa CCM tuna jukumu la kuilinda Serikali inayopatikana kutokana na sisi kuwa majority. Serikali ni lazima i-enjoy majority status ndani ya Bunge ili nchi itawalike kwa amani na utulivu, japokuwa haimaanishi kuruhusu ubadhirifu na ndiyo maana kwenye Party Caucus wabunge wana nguvu na fursa ya kusema chochote dhidi ya serikali ya Chama Chao. Kuna wengine wanataka Bunge liwe Bunge huru (ama 'An Indipendent Power House') disregarding political opinions/inclinations/affiliations na serikali iwe serikali, hii haiwezekani kwa katiba tuliyonayo leo. Tubadilishieni kwanza katiba na mfumo wa kufanya kazi ndipo mtutake tufanye hayo mnayoyatamani.

Nadhani nimejiweka wazi bila unafiki, sasa tujadili kwa hoja siyo kwa hisia na matusi kama hatukwenda shule vile.

Wakatabahu,
HK.

Mkuu umeona sababu alizozitoa..? Umeona unafiki wake kwenye red hapo.. Maana yake ikifika kwenye kuchagua maslahi ya wananchi na maslahi ya chama yeye anachagua maslahi ya chama..!

Na aeleze kwa kufanya maandamano ame-achieve nini maana CDM waliandamana wakitaka katiba mpya na iko katika mchakato sasa..
 
......soma zaidi website yangu na utaona www.hamisikigwangalla.comna utajua nafanya nini na ama nimefikia wapi na ninaelekea wapi katika kutekeleza majukumu yangu......
Mtumishi wa Wanachi Mr HKigwangalla Website yako haina hiyo Info ulizozitaja na hata kufunga haifunguki
 
Huwa najiuliza watu wa aina ya Kingwangala wanafanya nini CCM lakini sipati jibu.
Jibu lako hili hapa, usikubali kuingizwa mkenge na mtu anayeshabikia CCM. Hawa ni vinyonga.

HKigwangalla
27th April 2012 16:11
#1 JF Senior Expert Member
verified.png
Array

Join Date : 6th February 2008
Location : Dar es salaam, Tanzania
Posts : 310
Rep Power : 590
Likes Received270
Likes Given70

[h=2]
icon1.png
Majibu ya Kigwangalla: Kwa Nini Sikusaini Hoja ya Mhe. Zitto Zuberi Kabwe (MB)![/h]
Ndugu zangu wanabodi,

Nimeamua kuja kujibu kama ambavyo mngependa nifanye. Siyo kwamba nimekimbia JF, la hasha. Siwezi kukimbia na wala sina sababu ya kufanya hivyo. Ni kwamba gadget yangu ninayotumia kwa mawasiliano ilipata mushkeri na nikawa nalazimika kutumia kompyuta na bahati mbaya sana kwa jinsi nilivyokuwa bize na ujenzi wa Taifa nilijikuta nakosa muda wa kukaa kuanza ku-surf. Nisamehewe kwa hilo.

Mimi sijawahi kuwa mnafiki, at least kwa alama tatu za mnafiki kama tunavyofundishwa sisi waislamu. Kwa faida ya mjadala huu, niseme alama zenyewe. Moja ni kuwa akitoa ahadi hatekelezi. Mbili, ni akiaminiwa anahalifu na tatu, akizungumza husema uongo. Namshukuru Mungu sina hata moja ya alama hizi na hivyo kushindwa mtihani wa kuwa 'mnafiki'. Ungeniita mnafiki kama nisingekuwa tayari kutoa maelezo ya maamuzi yangu, ama kama ningewasaliti CCM na kupeleka siri za huku kule, ama kama ningeahidi kuunga mkono hoja hiyo kisha nikakimbia. Leo hii mimi niko chama kimoja tu, CCM, na nitafanya mambo yanayokubalika ndani ya CCM. Siku nikihamia CHADEMA/CUF/NCCR basi nitafanya ya huko bila kusaliti kule na kurudisha CCM ama kupeleka kokote kule kinyume na utaratibu. Huo ndiyo msimamo wa ukweli na siyo unafiki.

Kuna uwezekano wa kuwa na tafsiri tofauti kutokana na pre-conceptions zetu vichwani, siwezi kulizuia hilo hata kidogo. Kwa kuwa ninakalia kiti cha uwakilishi, nina-feel ninawajibika kwenu kutoa maelezo ya msimamo wangu kwenye hili, na wala sintomumunya maneno.

Kwanza, hoja yenyewe siikubali. Kwa sababu ninaamini serikali ya Chama Changu (CCM) haijashindwa kufanya kazi ya watanzania kiasi cha kung'olewa madarakani kwa namna hiyo. Pili, naamini na ninakubali, na kwa hakika ninakerwa na baadhi ya watu waliopewa dhamana za kuongoza baadhi ya ofisi nyeti za umma wametuangusha watanzania, na hivyo naunga mkono hoja ya kutaka kuwatoa hawa. Mhe. Zitto Kabwe (MB) alipokuwa akijumuisha hoja yake, alitaka serikali iwawajibishe baadhi ya mawaziri na watendaji wakuu wa Wizara na Mashirika ya umma, na akasema kama serikali haikufanya hivyo kufikia J3 iliyofuata basi sisi (Bunge) tuna uwezo na WM na kwamba atapitisha karatasi ya kukusanyia saini 70 ili kukidhi matakwa ya kikanuni ya kuwasilisha hoja ya kutokuwa na imani na WM; kwa tafsiri yangu ni kwamba Mhe. Mbunge alilenga kuweka presha kwa serikali, kuitaka iwajibike kwa kuwawajibisha mawaziri hao (watano) kama alivyowataja yeye. Kwanza mwanzoni nilielewa hivyo. Baadaye jinsi ilivyopokelewa na wadau mbalimbali nikaona kama hoja inahama sasa na kwamba si mawaziri hao watano wenye tuhuma mbalimbali, ni PM na kwa maana hiyo ni serikali yote Bungeni! Hili mimi siliungi mkono na silikubali. Nasema wazi hivyo kwa sababu, mimi nina imani na WM, nina imani na Rais - aliyemchagua WM, na nina imani na Mawaziri wengine wengi wazuri tu kwenye serikali hii, na msimamo wangu huu uko wazi sana tu.

Mbili, sioni sababu ya kuiingiza nchi kwenye wasiwasi wa kiutawala kiasi hiki. Na kwa kuwa wabunge wa CCM kwenye party caucus tulikuwa tayari tumeishaambiwa kwamba kuna mawaziri wameamua kujiuzulu wenyewe (tena siyo wale watano, ni wanane kabisa) kutokana na tuhuma hizo na presha kutoka kwa wabunge wa CCM na wengine, sikuona sababu ya mimi kusaini hoja ya Zitto (ambayo kikanuni ilikuwa imekosewa - kitendo kilichonidhihirishia wazi kwamba hakuwa na u-seriousness wa kutaka kweli kumuondoa WM bali ni baadhi ya mawaziri, sema alichomeka tu hiyo kauli ili kutia presha zaidi!). Zaidi ya hapo, ninaamini hoja hiyo ni nzito na kimsingi, kwa sasa, imegeuka kuwa ni mchezo wa kisiasa na media na haitofika popote! Kama Mhe. Mbunge Zitto alikuwa na nia ya dhati ya kumuondoa WM asingekurupuka kiasi kile, angewashirikisha watu wengi zaidi, hususani wabunge wa CCM, na kimkakati zaidi angewapa wabunge wa CCM walioibua hoja hizo za kuwataka mawaziri wang'olewe na hapo angefanikisha malengo ya kumuondoa WM na serikali yake Bungeni. Kwa namna ilivyo hawezi kupata support ya wabunge wa CCM na kwa kuwa sisi ndiyo majority, hoja hiyo haitopita - na hii itaturudisha kule kule kwenye nilichokisema kule twitter kwamba hoja hii ni ......politically right but technically flawed!

Jamani, hoja ya kumuondoa WM madarakani siyo kitu kidogo, siyo kitu cha mchezo, ni lazima ujipange. Ukweli ni kwamba rafiki yangu Mhe. Zitto hakujipanga kuifanikisha (bila shaka yeye mwenyewe analielewa hili vizuri - he is smarter than this, I know him!)

Tatu, msisahau kitu kimoja cha muhimu kabisa. Kwamba, mimi ni Mbunge kutokea CCM na kama walivyo wengi wenzangu hatukusaini kwa sababu hatuwezi kuiangusha serikali ya CCM kwa hoja inayoletwa na Mbunge wa Kambi ya Upinzani! Mbunge wa Chama Tawala kuamua kuiangusha serikali ya chama chako ni sawa na kuamua kukata tawi la mti uliokalia, kwa vyovyote vile utaanguka nalo! Simple logic! Mfumo wa Bunge letu ni wa Westminster, na hivyo kuna kambi ya Upinzani (yenye interest ya kutaka kuiangusha serikali inayotawala) na Kambi ya Serikali (ambayo ina interest ya kutaka kuilinda serikali yake). Kwa maana hiyo sisi wabunge wa CCM tuna jukumu la kuilinda Serikali inayopatikana kutokana na sisi kuwa majority. Serikali ni lazima i-enjoy majority status ndani ya Bunge ili nchi itawalike kwa amani na utulivu, japokuwa haimaanishi kuruhusu ubadhirifu na ndiyo maana kwenye Party Caucus wabunge wana nguvu na fursa ya kusema chochote dhidi ya serikali ya Chama Chao. Kuna wengine wanataka Bunge liwe Bunge huru (ama 'An Indipendent Power House') disregarding political opinions/inclinations/affiliations na serikali iwe serikali, hii haiwezekani kwa katiba tuliyonayo leo. Tubadilishieni kwanza katiba na mfumo wa kufanya kazi ndipo mtutake tufanye hayo mnayoyatamani.

Nadhani nimejiweka wazi bila unafiki, sasa tujadili kwa hoja siyo kwa hisia na matusi kama hatukwenda shule vile.

Wakatabahu,
HK.
 
Itategemeana na uamuzi nitakaochukua muda huo ukifika. kwamba nigombee tena ama la? Mimi nina fani ya kazi, nina nguvu na ujuzi wa kutosha, pia nina shughuli nyingi na halali za kunipatia kipato changu cha riziki ya kila siku. sitegemei siasa pekee kama ajira yangu, nikionekana sifai basi nitapumzika, hata hivyo wenye uamuzi wa mwisho ni wananchi wenyewe na wala siyo mtu mwenye lengo la kulipiza kisasi. hivyo kama nitaamua kugombea nitawaomba ridhaa wananchi wenzangu wa Nzega, wakisema natosha nitagombea wakisema hapana umechemsha na haujafanya kitu nitaacha! Huwezi kufanya kazi huku ukihofia kufukuzwa chama, ama kuacha kuteuliwa na chama uchaguzi ujao --- sasa utaishije? Zaidi ya hapo una ahadi gani na Mungu kwamba utafika hiyo 2015? Ishi kama vile utakufa leo na utakuwa huru

Kwa mtizamo huu uko tofauti sana na wabunge wenzio wa chama tawala, binafsi nskupongeza mheshimiwa kwa kuwa na msimamo wa kuto tetereka kama wale wanaosinzia bungeni inapofika wakti wa kupitisha hoja wao hutumia wingi wa kura bila kujali maslahi ya wananchi wao waliowachagua. Bigup mkuu infact sisi kama wananchi tunataka wabunge wanaowatumikia wananchi wao na si wale wanajipendekeza kwa rais.
 
sina pesa zote hizo. ningekuwa nazo nisingekuwa nahangaika na maisha kiasi hiki. mwambie aache siasa za kitoto hizo, tumeishakuwa. asubiri wakati ukifika aje agombee tu. sijawahi pewa msaada wowote ule wa kipesa na mke wa Mhe. Rais, acheni kumchafua namna hiyo kwa kumsingizia mambo yasiyokuwepo, kama mna shida ya kupambana na mimi kisiasa, njooni tupambane tu, msiniogope na wala siyo kumuingiza yule mama, kwanza hata si mwanasiasa!
Kigwangalla naona umeamua kutuongopea wana-JF.. unaposema Mke wa kikwete siyo mwanasiasa wakati wa kampeni alizunguka nchi nzima kumnadi mme na wabunge wa CCM, alikuwa anazunguka kama nani au unafikiria kuwa watanzania ni wasahaulifu kiasi hicho…
mimi naona ungejibu tuhuma ya kwamba huja wahi kupokea pesa kutoka kwake wala siyo kuongeza mara njooni tupambane mara tusikuongope wewe ni nani mbona hata hutishi kabisa wewe uko pale kwa mbeleko ya Makamba Mkubwa na kikwete na chadeama kuto kujipanga Zenga na kuhakikishia usipofanya bidii mwaka 2015 ugombee usigombee jimbo linaenda chadema.
salma.jpg
 
Mbona walikukataa kabisa na kukutupa nafasi ya mwisho lakini uamuzi wao haukuheshimiwa na wenye uamuzi wa mwisho ndani ya chama! Yaani umeshasahau kwamba ubunge wako ni matokeo mabovu ya minyukano wa kimakundi uliopo kwenye chama chako? Umesahau haraka sana mkuu!
Anadhani wana-jf tumesahau....
 
Hongera mkuu CCM wakikutoa kafara hamia huku kwa wapiganaji wenzio, uchaguzi ujao wanataka wamsimamishe mburushi
 
nitayafuatilia haya unayoyasema, nakupongeza; lakini barabara za vumbi pale nzega zinachafua kweli magari yetu, standi chafuuu pamoja na kwamba najua hili laweza kuwa si jukumu lako ni jukumu la halmashauri sijui, barabara ya nzega kahama ila ya kukatisha kati ni vumbi ajabu hadi inatufanya tuzungukie Tinde....nakupa hongera kama umesomesha watoto wote hao....kazi njema.
Mbona swala la stand ni la admn ya halimashauri, yeye akiwa mbunge ni mdau mkuu anaweza kushauri kuhamisha stand kati ya mji. Stand iwekwe at least kwenye Singida Mwanza Highway kama walivyofanya Igunga!!! Hiyo ingekuwa ni new development plan kukupa ujiko, maana pale stand ilipo pamebana saana hapafai!!!!

Kigwangalla naona umeamua kutuongopea wana-JF.. unaposema Mke wa kikwete siyo mwanasiasa wakati wa kampeni alizunguka nchi nzima kumnadi mme na wabunge wa CCM, alikuwa anazunguka kama nani au unafikiria kuwa watanzania ni wasahaulifu kiasi hicho…
mimi naona ungejibu tuhuma ya kwamba huja wahi kupokea pesa kutoka kwake wala siyo kuongeza mara njooni tupambane mara tusikuongope wewe ni nani mbona hata hutishi kabisa wewe uko pale kwa mbeleko ya Makamba Mkubwa na kikwete na chadeama kuto kujipanga Zenga na kuhakikishia usipofanya bidii mwaka 2015 ugombee usigombee jimbo linaenda chadema.
View attachment 56718
duh, kigwangala ameshikwa mkono na fisadi hapa aisee sijui ataenda kuoga maji gani hadi asafishike, la sivyo laana ya ufisadi inamfuata na yeye popote atakapoenda....au mafisadi ndio waliokuweka mkuu wangu...dah.....chengeeee,
 
fisadi limeduna hapo aisee, limekuwa stressed na mashambulizi ya wananchi wana mapinduzi hadi uso umezeeka zaidi....sijui ugonjwa wa moyo uko wapi au kisukari kimtafune huyu vijisenti?
 
Hongera mkuu CCM wakikutoa kafara hamia huku kwa wapiganaji wenzio, uchaguzi ujao wanataka wamsimamishe mburushi
Freeman Mbowe ameshatoa angalizo msimamo wa Chadema, Oil chafu zote zitakazopigwa chini kwenye kura za maoni CCM hazitopokelewa Chadema, chama kimeshajifunza vya kutosha kutoka kwa Shibuda watu wasiokuwa na damu ya mabadiliko wabaki na magamba yao. Chadema si kokoro tena la kwenda kutimiza malengo binafsi ya kisiasa.
 
Katika post fulani last week mdau maarufu wa hapa JF, ndg PASCO, alitaahadharisha kwamba MB wa CCM ndg Hamisi Kigwangalla (Nzega) hawezi kufanya maandamano akiambatana na wananchi kwa kuwa tayari chama chake wilayani hakimuungi mkono. Kilichotokea ni kwamba maandamano yamefanyika na viongozi wa chama na serikali (inayotokana na chma tawala) waliridhia maandamano hayo na tunashukuru yalifanikiwa na yalikuwa na amani tele. Anayeweza kuzuia maandamano ni polisi (kwa sababu za kiusalama) na si katibu wa chama ambaye alikurupuka kuandika barua bila kujua kanuni na taratibu za kisheria zinazohusiana na maandamano na mikutano ya hadhara. Chama cha mapinduzi hakikatai maandamano, in fact kimetufundisha kuandamana kupinga baadhi ya mambo na hata kuunga mkono baadhi ya mambo na maamuzi yanayofanyika. Mimi ni mwanafunzi mzuri wa siasa za CCM na ninaelewa misingi ya uongozi kama inavyowekwa wazi na CCM kwenye maandiko yake, labda kama mtu aniambie leo hii kwamba Katiba, Kanuni na maandiko mbalimbali ya miongozo ya CCM hayafuatwi tena hapo nitaelewa na pengine nitafikiria sasa kama nina ulazima wa kuendelea kufuata itikadi ya chama hiki ama la!

the war within.
 
Kigwangalla naona umeamua kutuongopea wana-JF.. unaposema Mke wa kikwete siyo mwanasiasa wakati wa kampeni alizunguka nchi nzima kumnadi mme na wabunge wa CCM, alikuwa anazunguka kama nani au unafikiria kuwa watanzania ni wasahaulifu kiasi hicho…
mimi naona ungejibu tuhuma ya kwamba huja wahi kupokea pesa kutoka kwake wala siyo kuongeza mara njooni tupambane mara tusikuongope wewe ni nani mbona hata hutishi kabisa wewe uko pale kwa mbeleko ya Makamba Mkubwa na kikwete na chadeama kuto kujipanga Zenga na kuhakikishia usipofanya bidii mwaka 2015 ugombee usigombee jimbo linaenda chadema.
View attachment 56718
Mkuu Crashwise kweli wewe sio msahalifu, kwa hiyo Mhe ametoa data za uongo kusema Huyo mama wa Mkulu wa kaya si mwana siasa???? Kumbe huyo mama ana serious vested interest katika politics za nchi hii hivyo anaweza kusaport kwa aina yoyote ili kujenga base ya mmewe ili kuendelea kutawala!!! Therefore the first Lady can do anything to make sure the system survives, even to influence the Land Banks to distribute funds for a certain purposes!!! Mr Kigwangwala this is equaly true, with the several NGOS under your umbrela, using this money is posible!!!!

Katika post fulani last week mdau maarufu wa hapa JF, ndg PASCO, alitaahadharisha kwamba MB wa CCM ndg Hamisi Kigwangalla (Nzega) hawezi kufanya maandamano akiambatana na wananchi kwa kuwa tayari chama chake wilayani hakimuungi mkono. Kilichotokea ni kwamba maandamano yamefanyika na viongozi wa chama na serikali (inayotokana na chma tawala) waliridhia maandamano hayo na tunashukuru yalifanikiwa na yalikuwa na amani tele. Anayeweza kuzuia maandamano ni polisi (kwa sababu za kiusalama) na si katibu wa chama ambaye alikurupuka kuandika barua bila kujua kanuni na taratibu za kisheria zinazohusiana na maandamano na mikutano ya hadhara. Chama cha mapinduzi hakikatai maandamano, in fact kimetufundisha kuandamana kupinga baadhi ya mambo na hata kuunga mkono baadhi ya mambo na maamuzi yanayofanyika. Mimi ni mwanafunzi mzuri wa siasa za CCM na ninaelewa misingi ya uongozi kama inavyowekwa wazi na CCM kwenye maandiko yake, labda kama mtu aniambie leo hii kwamba Katiba, Kanuni na maandiko mbalimbali ya miongozo ya CCM hayafuatwi tena hapo nitaelewa na pengine nitafikiria sasa kama nina ulazima wa kuendelea kufuata itikadi ya chama hiki ama la!

Huyu jamaa kwa kulamba viatu! Kumbe mpaka huko amegusa!
Pasco mpaka muda huu hujatia timu kulikona kaka? wacha uoga mtoto wa kiume njoo huku tunakupaka mavi bana!
 
sina pesa zote hizo. ningekuwa nazo nisingekuwa nahangaika na maisha kiasi hiki. mwambie aache siasa za kitoto hizo, tumeishakuwa. asubiri wakati ukifika aje agombee tu. sijawahi pewa msaada wowote ule wa kipesa na mke wa Mhe. Rais, acheni kumchafua namna hiyo kwa kumsingizia mambo yasiyokuwepo, kama mna shida ya kupambana na mimi kisiasa, njooni tupambane tu, msiniogope na wala siyo kumuingiza yule mama, kwanza hata si mwanasiasa!

Wewe na Pasco Mungu wenu ni Lowassa, imekuwaje vita vyenu mnaleta huku? Hamuoni kuwa mnamkosea Mungu wenu?
 
Last edited by a moderator:
Itategemeana na uamuzi nitakaochukua muda huo ukifika. kwamba nigombee tena ama la? Mimi nina fani ya kazi, nina nguvu na ujuzi wa kutosha, pia nina shughuli nyingi na halali za kunipatia kipato changu cha riziki ya kila siku. sitegemei siasa pekee kama ajira yangu, nikionekana sifai basi nitapumzika, hata hivyo wenye uamuzi wa mwisho ni wananchi wenyewe na wala siyo mtu mwenye lengo la kulipiza kisasi. hivyo kama nitaamua kugombea nitawaomba ridhaa wananchi wenzangu wa Nzega, wakisema natosha nitagombea wakisema hapana umechemsha na haujafanya kitu nitaacha! Huwezi kufanya kazi huku ukihofia kufukuzwa chama, ama kuacha kuteuliwa na chama uchaguzi ujao --- sasa utaishije? Zaidi ya hapo una ahadi gani na Mungu kwamba utafika hiyo 2015? Ishi kama vile utakufa leo na utakuwa huru

Wewe Kigwangala acha hizi blaah blaah zako, hapa unaongea na watu waliokwenda shule. Hizo Blaah blaah zipeleke huko kwenye NEC ya CCM.

Unajua fika kwamba wakati unasimama kugombea kwa tiketi ya CCM 2010, hukuwa chaguo la wana nzega. We don't have short memeory, tunajua fika ulikuwa wa tatu nyuma ya Bashe na Seleli hao ndio walikuwa changuo la wana Nzega. Leo nini kinakufanya uamini kwamba wana nzega ndiyo watakupa au hawakupa RIDHAA ya kugombea that is HYPOCRISY at its highest level.

Believe me CCM watakuchinjia mbali hakuna cha ridhaa ya wana Nzega!
 
Back
Top Bottom