muuza ubuyu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 3,513
- 3,482
Baada ya kuwa mtu mzima, hata siku moja siwezi kuamini machozi ya mwanamke kwa haraka haraka!Dunia ngumu, inawezekana hapo unapangwa, achaneni na wanawake mtakuja kupata shida nyingi sana duniani.
Inawezekana :
1. Ni malaya anakupanga, pamoja na Polo yake, usije kusema hukuambiwa, utakuja ujute. .
2. Unatengenezewa fumanizi na funguo za watu za gari unajiona mjanja.
3. Inawezekana unatengenezewa mazingira ya kuibiwa, utakuja jua mwishoni.
Mimi Bwana, mwanamke wa mtu, hapana kabisa msikiliza au kukaa naye Bar, unaweza kutwa yeye ndo kafumaniwa ana stress za kufumaniwa.....
Mnasikiaga sasa Vijana?????