Kwahiyo CHADEMA hata maandamano mnalipana posho?

Bilionaire kekeman

Senior Member
Nov 26, 2022
142
823
Nimeshitushwa na kushangazwa kwamba eti maandamano watu wanallipana posho? Hii ni kali na maajabu aisee

Ona hiyo attachment hapo chini.

FB_IMG_1707064468660.jpg
 
Huu ni upuuzi kama upuuzi mwingine tu,

hivi mtu akiamua kuunda group members wakajipa hayo majina na kuanza kuchart kwamba hilo haliwezi fanyika kwa siasa hizi za kuchafuana? Hivi ccm ni ya kuamini?

Makonda akiwa mkuu wa mkoa mangapi feki alipanga na ikaonekana kweli kumbe urongo mtupu!

Mf: binti wa lowasa katelekezwa, Gwajiboy na kondoo, mwisho wa siku ikawaje? Acha hizo we mleta mada!
 
Nimeshitushwa na kushangazwa kwamba eti maandamano watu wanallipana posho? Hii ni kali na maajabu aisee

Ona hiyo attachment hapo chini
Propaganda za kitoto na kipuuzi kabisa.
Angalau mmeweza kusaidia kudhihirisha kwamba hiyo ndiyo michezoni na ndicho ambacho mlifanyia Chongolo.
Mna mbinu za kitoto sana, ndiyo mbinu za Bashite hizi, purely low thinker
 
Nimeshitushwa na kushangazwa kwamba eti maandamano watu wanallipana posho? Hii ni kali na maajabu aisee

Ona hiyo attachment hapo chini.

View attachment 2894286
Huyo aliyetengeneza hiyo chat ni punguani hasa. Yaana anaamini kuna mwenye akili timamu atadanganyika? Kweli CCM imebeba wajinga wengi. Na huyu aliyeitengeneza hii chat anajiona ametumia akili sana?
 
Propaganda za kitoto na kipuuzi kabisa.
Angalau mmeweza kusaidia kudhihirisha kwamba hiyo ndiyo michezoni na ndicho ambacho mlifanyia Chongolo.
Mna mbinu za kitoto sana, ndiyo mbinu za Bashite hizi, purely low thinker

Hapo ndipo uwezo wa mwisho wa akili ya Makonda ulipoishia. Unatengeneza chat ya kijinga ambayo mtu yetote mwenye akili timamu anatambua ni uwongo.
 
Back
Top Bottom