Kwaheri UKAWA karibu tena CHADEMA

Nimesikia tangazo kutoka kwa viongozi wa CHADEMA taifa hadi wilaya kua kutakua na maandamano na migomo isiyo na kikomo na kuwaomba wafuasi na wapenzi wa CHADEMA kuwaunga mkono viongozi hao katika maandamano ya nchi nzima.Lakini nasikitika haya maandamo ni ya kupinga bunge la katiba mpya ambayo ilikuwa ajenda ya UKAWA je,km ni hivyo mbona CHADEMA ndo wanashadidia kuliko vyama washirika? Kwa CHADEMA imewasaliti tayari washirika wao? JAMANI NAULIZA TU WAKUU ILI MNIJUZE.

ni swali au unawashwa au una EBOLA tayari
 
Mtaijua Ukawa,hadi mnaiota usingizini.
 
Nauliza tu mkuu,nilisikia pia jana baadhi ya watu waliumizwa na polisi pale walipoandamana kumsindikiza mbowe,vp Mbowe naye aliumizwa? Pia nasikia alisepa South Africa....na je alienda na hao majeruhi?
Mfalme hatakiwi kuguswa wakati makamanda wapo , hii itakuwa ni aibu!
Lazima alindwe kwa bei yeyote, anathamani kubwa kuliko POlizee na Fisiem yote!
 
Najua lazima Chadema watalalamika polisi wametumia nguvu nyingi sana kuzima maandamao ya Chadema.
 
Nimesikia tangazo kutoka kwa viongozi wa CHADEMA taifa hadi wilaya kua kutakua na maandamano na migomo isiyo na kikomo na kuwaomba wafuasi na wapenzi wa CHADEMA kuwaunga mkono viongozi hao katika maandamano ya nchi nzima.Lakini nasikitika haya maandamo ni ya kupinga bunge la katiba mpya ambayo ilikuwa ajenda ya UKAWA je,km ni hivyo mbona CHADEMA ndo wanashadidia kuliko vyama washirika? Kwa CHADEMA imewasaliti tayari washirika wao? JAMANI NAULIZA TU WAKUU ILI MNIJUZE.

wameshasambaratika. cdm wanawaza kuingia ikulu tu wakale bata.
Hizi ni dua za kuku.
 
Najua lazima Chadema watalalamika polisi wametumia nguvu nyingi sana kuzima maandamao ya Chadema.

Polisi nao waache kutumika wanaipa prom chadema kwani wakiandamana wanakwenda kupindua nchi? Si ndo utakuwa mwisho wao! Waacheni wasage Viatu vyao.
 
Na wewe akili yako ni ya kihuni huni? Nauliza tu mkuu sina ubaya na wewe....Nimesikia maandamano ya jana wamewekwa ndani watu watano,je Mbowe leo amewapelekea chakula? Nakuuliza tu mkuu,nijuze baasi japo kidogo!

Kidogo kwako ni kiasi gani mkuu........
 
Chadema akili zao ndogo sana wanaakili kama za ndege wanafanya utoto kweli watapata aibu hamtaamini.
wakuku unga mkono lazima wawe Lizabon,Msalani na jamii ya watu kama hao,ambao huota zidumu fikra za mwenyekiti,hawapewi nafasi ya kufikiri hata chembe
 
Back
Top Bottom