Kwaheri Rais Kikwete, tutakukumbuka Watanzania

Yani wewe ni ngifi kweli "nukuu" Tumefika hapa kwa sababu ya udhaifu wa Rais Jakaya Kikwete, kwa uzembe wa Bunge na kwa sababu ya upuuzi wa CCM,Taifa linaangamia we unaongea upuuzi hii nchi sio ya kifalme wewe kijana!!
Jibu hoja wewe taahira uliyefanywa msukule wa Dr Slaa na Mbowe. Bado unaendelea kutoa uharo tu
 
Wewe kweli ni zuzu"HOJA?ipi?umebaki hoja mpaka umegeuka kihoja!!leta hoja ya msingi ujibiwe acha mbwembwe za kinyese!
 
Katika mahojiano maalum na gazeti moja litolewalo kila siku nchini hivi karibuni Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , WILBROAD SLAA aliliambia kuwa hana chochote anachoweza kumkumbuka Rais Jakaya Kikwete akishatoka madarakani mwaka 2015.

Ni ukweli usiopingika kuwa maneno haya ya SLAA yanatokana na JAKAYA KIWKETE kumsambaratisha vibaya katika uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani uliofanyika mwaka 2010, uchaguzi uliomchanganya kabisa akili na kumfanya aje na maneno mabayo ni zaidi ya hili analolisema leo na kwa maana hiyo hapana shaka kuwa hakuna mtanzania atakayemshangaa SLAA kutomkumbuka JK hata kwa jambo moja.

Maneno kama "NCHI HAITATAWALIKA" lakini mapaka leo nchi inatawalika ni ushuhuda tu wa kutosha kuwa huko mbeleni nako SLAA atakuja kumkumbuka JK, ni ROHO tu ya kuukosa urais ndiyo bado imemtawala SLAA.

Lakini nimtoe wasiwasi Rais wetu mpendwa kuwa haihitaji kukumbukwa na mtanzania mmoja tu tena ambaye siyo tu kwamba ni adui yake wa kisiasa bali ni mtu asiyejua nini maana ya siasa. Watanzania zaidi ya mil.40 wanajua nini Rais JAKAYA KIKWETE amelifanyia Taifa hili, licha ya kufanyakazi katika mazingira yenye IBILISI wakubwa kama akina SLAA.

Watanzania tutamkumbuka kwa mafanikio mengi tu, ila kwa leo nitaje machache tu, SLAA yeye aendelee kujipigia CHAPUO kwa maneno matamu mbele ya chama chake ili kiendelee kumwamini ili mkono wake uendelee kwenda kinywani.

  1. Idadi ya Madarasa ya shule za awali iliongezeka kutoka 18,455 yaliyokuwepo mwaka 2006 hadi kufikia 28,048 mwaka 2009
  2. Shule za Msingi ziliongezeka kutoka 13,679 zilizokuwepo mwaka 2006 hadi kufikia 15,675 mwaka 2009
  3. shule za sekondari za serikali ziliongezeka kutoka 1,202 2006 hadi kufikia 3, 383 mwaka 2009 huku pia akijenga madarasa 11, 266 na nyumba za walimu 986 na hosteli 52
  4. udahili wa wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juuuliongezeka kutoka 40,059 mwaka wa masomo 2005/2006 na kufikia 118,000 mwaka wa masomo 2008/2009 huku serikali yake ikiongeza fedha za mikopo kwa wanafunzi kutoka shlingi bil.56.1 hadi kufikia shilingi bil.243 kwa kipindi hicho kifupi.
  5. Katika kipindi cha mwaka 2006 hadi 2009 serikali ilijenga zahanati 743, vituo vya afya 137pamoja na nyumba za waganga 394, zahanati 1, 037 , vituo vya afya 285 na hospitali 112 vilikarabatiwa.
  6. Madaktari waliongezeka kutoka 3,528 waliokuwepo kazini wakati anaingia madarakani na kufikia 4,502
  7. Jk amezipandisha hadhi zilizokuwa Hospitali kuu za Mikoa zote nchini na na kuwa Hospitali za rufaa.
  8. JK amejenga barabara mbalimbali katika kiwango cha Lami nchini kote zikiwemo zifuatazo:
  9. Dodoma-Manyoni, Singida Shelui, Nzega-Ilula,Tinde Isaka, Nangurukuru-Mbwemkuru-Minyoyo, Mkuranga-Kibiti, Kyamyorwa-Buzirayombo-Geita, Kigoma-Biharamulo-Kusahunga, Sumbawanga-Matai-Kasanga, Minjingu-Babati-Singida, Mwandika-Manyovu, Njombe-Makete, Msimba-Ikokoto-Mafinga.
  10. JK ameanzisha ujenzi mpya wa barabara za Tunduma-Sumbawanga, Babati-Dodoma-Iringa, Sumbawanga-Kanyani-Nyakanazi, Nata-FortIkoma, Nzega-Tabora, Manyoni-Itigi-Tabora, Ipole-Koga-Mpanda, Makuruge-Saadani-Pangani-Tanga, Mto wa Mbu-Loliondo-Mugumu-Nata-Makutano, Tunduru-Namtumbo, uyovu-Bwaga-Biharamulo, Mtwara-Masasi.
  11. upembuzi na usanifu wa barabara zingine nchini unafanyika
  12. Serikali ya JK imejenga Madaraja kama Malagarasi, Mbutu, Kigamboni, n.k
  13. Ni JK huyu huyu ambaye ameruhusu uhuru wa watanzania kutoa maoni yao kadri wanavyojisikia, mimi nitamkumbuka sana kwa hili pia na naweza kumpachika jina la "BABA WA UHURU WA KUTOA MAWAZO"

Mimi nasema JAKAYA MRISHO KIKWETE, GO GO GO GO, usihofu kukosa kukumbukwa na WILBROAD SLAA

Hata aibu huna kupost Uzi hovyo kama huu wenye uongo mwingi!au unadhani sisi watanzania Wa sasa tunadanganyika kama ulivyokwisha danganyika kwa ccm?una uhakika kikwete alishinda?una uhakika maisha ya watanzania yameboreka?kikwete ameboresha maisha yake na familia take tu labda pamoja na nyie wachumia tumbo.watanzania Wa sasa hatudanganyiki!
 
mtoa mada unajua kwa usahihi ulichokiandika? kwanza unaandika kwamba katika barabara zilizokamilika ujenzi wa lami mojawapo ni ya kigoma-biharamulo-lusahunga. Jambo hili ni uongo kabisa. Kipande chenye lami ni biharamulo na lusahunga. Pili unadai umeanza ujenzi sumbawanga - nyakanazi. Hivi unajua nyakanazi iko njiani barabara uliyoitaja mwanzo? Soma ramani na tafiti vizuri kabla kupost uongo.
 
Kuna baadhi ya maendeleo hata rais asingekuwepo tungekuwa mbali tu
 
Watanzania tutamkumbuka kwa mafanikio mengi tu, ila kwa leo nitaje machache tu, SLAA yeye aendelee kujipigia CHAPUO kwa maneno matamu mbele ya chama chake ili kiendelee kumwamini ili mkono wake uendelee kwenda kinywani.

  1. Idadi ya Madarasa ya shule za awali iliongezeka kutoka 18,455 yaliyokuwepo mwaka 2006 hadi kufikia 28,048 mwaka 2009
  2. Shule za Msingi ziliongezeka kutoka 13,679 zilizokuwepo mwaka 2006 hadi kufikia 15,675 mwaka 2009
  3. shule za sekondari za serikali ziliongezeka kutoka 1,202 2006 hadi kufikia 3, 383 mwaka 2009 huku pia akijenga madarasa 11, 266 na nyumba za walimu 986 na hosteli 52
  4. udahili wa wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juuuliongezeka kutoka 40,059 mwaka wa masomo 2005/2006 na kufikia 118,000 mwaka wa masomo 2008/2009 huku serikali yake ikiongeza fedha za mikopo kwa wanafunzi kutoka shlingi bil.56.1 hadi kufikia shilingi bil.243 kwa kipindi hicho kifupi.
  5. Katika kipindi cha mwaka 2006 hadi 2009 serikali ilijenga zahanati 743, vituo vya afya 137pamoja na nyumba za waganga 394, zahanati 1, 037 , vituo vya afya 285 na hospitali 112 vilikarabatiwa.
  6. Madaktari waliongezeka kutoka 3,528 waliokuwepo kazini wakati anaingia madarakani na kufikia 4,502
  7. Jk amezipandisha hadhi zilizokuwa Hospitali kuu za Mikoa zote nchini na na kuwa Hospitali za rufaa.
  8. JK amejenga barabara mbalimbali katika kiwango cha Lami nchini kote zikiwemo zifuatazo:
  9. Dodoma-Manyoni, Singida Shelui, Nzega-Ilula,Tinde Isaka, Nangurukuru-Mbwemkuru-Minyoyo, Mkuranga-Kibiti, Kyamyorwa-Buzirayombo-Geita, Kigoma-Biharamulo-Kusahunga, Sumbawanga-Matai-Kasanga, Minjingu-Babati-Singida, Mwandika-Manyovu, Njombe-Makete, Msimba-Ikokoto-Mafinga.
  10. JK ameanzisha ujenzi mpya wa barabara za Tunduma-Sumbawanga, Babati-Dodoma-Iringa, Sumbawanga-Kanyani-Nyakanazi, Nata-FortIkoma, Nzega-Tabora, Manyoni-Itigi-Tabora, Ipole-Koga-Mpanda, Makuruge-Saadani-Pangani-Tanga, Mto wa Mbu-Loliondo-Mugumu-Nata-Makutano, Tunduru-Namtumbo, uyovu-Bwaga-Biharamulo, Mtwara-Masasi.
  11. upembuzi na usanifu wa barabara zingine nchini unafanyika
  12. Serikali ya JK imejenga Madaraja kama Malagarasi, Mbutu, Kigamboni, n.k
  13. Ni JK huyu huyu ambaye ameruhusu uhuru wa watanzania kutoa maoni yao kadri wanavyojisikia, mimi nitamkumbuka sana kwa hili pia na naweza kumpachika jina la "BABA WA UHURU WA KUTOA MAWAZO"

Mimi nasema JAKAYA MRISHO KIKWETE, GO GO GO GO, usihofu kukosa kukumbukwa na WILBROAD SLAA

Sasa naamini tulifanya makosa sana kumfanya Kikwete kuwa Raisi wa Tanzania. Tulipaswa kumfanya kuwa Waziri wa Ujenzi na Miundo Mbinu, tungekuwa na mafanikio zaidi ya uliyotaja hapo juu.
 
Amejitahihidi kwa kadri ya uwezo wake lakini kashindwa vita vya madawa ya kulevya (Mwakyembe angalau alijaribu kidogo).

Kashindwa mapambano dhidi ya rushwa..niambieni ni wapi utaenda upate huduma bila kutoa rushwa kuanzia polisi, mahakama, hospitalini hasa kwa wamama waja wazito ardhi n.k.

Kaleta maendeleo lakini kwa mwananchi wa kawaida yale maisha bora kwa kila mtu aliyoahidi amefanikisha kwa kiasi gani?
badala yake tunaambiwa kila mwananchi hata aliyezaliwa leo anadaiwa shilingi laki sita kulipia deni la taifa nje!

Maendeleo ambayo tungemsifia nayo ni sisi kujiletea maendeleo wenyewe na hilo deni tusikie limepungu hadi shilingi moja ndani ya kipindi chake cha miaka 10 ya kutawala.

cc Lizaboni TataMadiba thatha.
 
Last edited by a moderator:
Kikwete atakumbukwa kwa mambo kadhaa, 1. Kuanzisha mchakato wa katiba mpya na kuuvuruga mwenyewe kwa mikono yake kwa kuingiza maslahi ya chama chake kwanza! 2. Kwa kujaza ndugu/marafiki zake kwenye vyeo mbalimbali kama ukuu wa wilaya, mikoa nk. 3. Kuruhusu uhuru wa watu kutoa maoni na kuikosoa serikali yake bila kuchukua hatua yeyote! 4. Kusamehe wezi wa Epa na kuwaambia warudishe kile walichoiba bila ya kupelekwa mahakamani! 5. Kuifanya taasisi ya urais iwe rahis!
 
Ni kweli Rais Kikwete atakumbukwa kwa mambo mengi, ya aina mbalimbali; inategemea tu unataka kumkumbuka kwa lipi.

Mathalan, barabara nzuri zipo karibu mikoa yote, umeme unazidi kuenea vijijini, nk. Shule za sekondari zipo karibu kila kata ila hazina waalimu,madawati, vitabu, maabara, nk.

Kiwango cha ufisadi, uporaji rasilimali za umma, ukandamizaji na mauaji ya raia wasio na hatia nacho kimepanda kwa kasi. Pia kupanda kwa hali ya maisha km gharama za umeme, bei ya mafuta ya petroli na gesi, bei za bidhaa mbalimbali, nk, kunaongeza tishio la uhakika kwa maisha ya mtu wa kawaida.

Mambo ni mengi, ila mimi naona kila mmoja atamkumbuka kwa lile lililogusa maisha yake zaidi. Tusilazimishe kwa vitisho na matusi watu wote kuwa na mtazamo mmoja. Tukubaliane kuhitilafiana ktk baadhi ya mambo kwani uoni wetu pia unahitilafiana.

Mh. Kikwete ni Rais wetu, na aliyofanya ndio upeo wa uwezo na mikakati yake. Hakuna tija kulaumu kwa sasa ila tuangalie mbele; tunamchagua nani kuwa Rais wa kutimiza matarajio yetu, na tuchague tunaitaka Tanzania ya aina gani.
 
Utamkumbuka wewe na familia yako. Kwetu bora aondoke maana kafa taasisi ya uraisi kuwa rahisi
 
Watanzania tutamkumbuka Kikwete mauaji mengi aliyoyatekeleza, milipuko ya mabomu, usafirishaji wa meno ya tembo, wizi wa mabilioni ya watanzani, na kwa elimu tutamkumbuka kwa wasiojua kusoma na kuandika kufaulu na kujiunga form one, division 0 kwenda form 5, division 5 kwenda chuo kikuu.

Tutakukumbuka kikwete.
 
Mi huwa napata shida sana kuzielewa siasa za bongo sijui ni kwann?
Kwani mtu ukiwa ktk nafasi ya kipekee, je huwezi Fanya ya kipekee na yayolingana na nafasi hiyo, tena yanayokupambanua wewe na wengine?
Mfano: Mimi kanyero naenda kuwadakuwa mayatima eti msalani nae anaenda kuwafutulisha!!!!

Nadhani nimeeleweka jamani
 
Katika mahojiano maalum na gazeti moja litolewalo kila siku nchini hivi karibuni Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , WILBROAD SLAA aliliambia kuwa hana chochote anachoweza kumkumbuka Rais Jakaya Kikwete akishatoka madarakani mwaka 2015.

Ni ukweli usiopingika kuwa maneno haya ya SLAA yanatokana na JAKAYA KIWKETE kumsambaratisha vibaya katika uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani uliofanyika mwaka 2010, uchaguzi uliomchanganya kabisa akili na kumfanya aje na maneno mabayo ni zaidi ya hili analolisema leo na kwa maana hiyo hapana shaka kuwa hakuna mtanzania atakayemshangaa SLAA kutomkumbuka JK hata kwa jambo moja.

Maneno kama "NCHI HAITATAWALIKA" lakini mapaka leo nchi inatawalika ni ushuhuda tu wa kutosha kuwa huko mbeleni nako SLAA atakuja kumkumbuka JK, ni ROHO tu ya kuukosa urais ndiyo bado imemtawala SLAA.

Lakini nimtoe wasiwasi Rais wetu mpendwa kuwa haihitaji kukumbukwa na mtanzania mmoja tu tena ambaye siyo tu kwamba ni adui yake wa kisiasa bali ni mtu asiyejua nini maana ya siasa. Watanzania zaidi ya mil.40 wanajua nini Rais JAKAYA KIKWETE amelifanyia Taifa hili, licha ya kufanyakazi katika mazingira yenye IBILISI wakubwa kama akina SLAA.

Watanzania tutamkumbuka kwa mafanikio mengi tu, ila kwa leo nitaje machache tu, SLAA yeye aendelee kujipigia CHAPUO kwa maneno matamu mbele ya chama chake ili kiendelee kumwamini ili mkono wake uendelee kwenda kinywani.

  1. Idadi ya Madarasa ya shule za awali iliongezeka kutoka 18,455 yaliyokuwepo mwaka 2006 hadi kufikia 28,048 mwaka 2009
  2. Shule za Msingi ziliongezeka kutoka 13,679 zilizokuwepo mwaka 2006 hadi kufikia 15,675 mwaka 2009
  3. shule za sekondari za serikali ziliongezeka kutoka 1,202 2006 hadi kufikia 3, 383 mwaka 2009 huku pia akijenga madarasa 11, 266 na nyumba za walimu 986 na hosteli 52
  4. udahili wa wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juuuliongezeka kutoka 40,059 mwaka wa masomo 2005/2006 na kufikia 118,000 mwaka wa masomo 2008/2009 huku serikali yake ikiongeza fedha za mikopo kwa wanafunzi kutoka shlingi bil.56.1 hadi kufikia shilingi bil.243 kwa kipindi hicho kifupi.
  5. Katika kipindi cha mwaka 2006 hadi 2009 serikali ilijenga zahanati 743, vituo vya afya 137pamoja na nyumba za waganga 394, zahanati 1, 037 , vituo vya afya 285 na hospitali 112 vilikarabatiwa.
  6. Madaktari waliongezeka kutoka 3,528 waliokuwepo kazini wakati anaingia madarakani na kufikia 4,502
  7. Jk amezipandisha hadhi zilizokuwa Hospitali kuu za Mikoa zote nchini na na kuwa Hospitali za rufaa.
  8. JK amejenga barabara mbalimbali katika kiwango cha Lami nchini kote zikiwemo zifuatazo:
  9. Dodoma-Manyoni, Singida Shelui, Nzega-Ilula,Tinde Isaka, Nangurukuru-Mbwemkuru-Minyoyo, Mkuranga-Kibiti, Kyamyorwa-Buzirayombo-Geita, Kigoma-Biharamulo-Kusahunga, Sumbawanga-Matai-Kasanga, Minjingu-Babati-Singida, Mwandika-Manyovu, Njombe-Makete, Msimba-Ikokoto-Mafinga.
  10. JK ameanzisha ujenzi mpya wa barabara za Tunduma-Sumbawanga, Babati-Dodoma-Iringa, Sumbawanga-Kanyani-Nyakanazi, Nata-FortIkoma, Nzega-Tabora, Manyoni-Itigi-Tabora, Ipole-Koga-Mpanda, Makuruge-Saadani-Pangani-Tanga, Mto wa Mbu-Loliondo-Mugumu-Nata-Makutano, Tunduru-Namtumbo, uyovu-Bwaga-Biharamulo, Mtwara-Masasi.
  11. upembuzi na usanifu wa barabara zingine nchini unafanyika
  12. Serikali ya JK imejenga Madaraja kama Malagarasi, Mbutu, Kigamboni, n.k
  13. Ni JK huyu huyu ambaye ameruhusu uhuru wa watanzania kutoa maoni yao kadri wanavyojisikia, mimi nitamkumbuka sana kwa hili pia na naweza kumpachika jina la "BABA WA UHURU WA KUTOA MAWAZO"

Mimi nasema JAKAYA MRISHO KIKWETE, GO GO GO GO, usihofu kukosa kukumbukwa na WILBROAD SLAA

Ndugu yangu thatha takununulia hazitolewagi zi kuwa ghazi
Televisual mkuu
 
Mi huwa napata shida sana kuzielewa siasa za bongo sijui ni kwann?
Kwani mtu ukiwa ktk nafasi ya kipekee, je huwezi Fanya ya kipekee na yayolingana na nafasi hiyo, tena yanayokupambanua wewe na wengine?
Mfano: Mimi kanyero naenda kuwadakuwa mayatima eti msalani nae anaenda kuwafutulisha!!!!

Nadhani nimeeleweka jamani

Mkuu, mambo ya kipekee yanahitaji akili ya kipekee; lakini kama nafasi ni ya kipekee na akili si ya kipekee, nini matunda yake?
 
Back
Top Bottom