Kwaheri CDF Jenerali Mabeyo

Mr Dudumizi

JF-Expert Member
Sep 9, 2020
6,938
12,365
Kwanza kabisa napenda kukusalim kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ama baada ya salam zang, natumia haki yang ya kikatiba kama mtanzania kukupongeza kwa kazi kubwa uliyoifanya kama kiongozi wetu mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama.

Ki ukweli taifa na dunia kwa ujumla tutakukumbuka kwa utendaji wako wa kazi mzuri uliotukuka, tutakukumbuka kwa usimamiaji wako wa sheria jeshini na kutumia cheo chao kuilinda na kuisimamia katiba yetu, tutakukumbuka kwa kuondoka ukiiwacha nchi yetu ikiwa katika mikono salama, lakini pia utakumbukwa kwa kutii mamlaka ya raisi kwa mujibu wa katiba na sheria zetu za nchi.

Unakwenda kuwa miongoni mwa viongozi wa jeshi waliokuwa na walio bora muda wote. Najua nina mengi ya kuandika kuhusu sifa na weledi wako mkubwa ulioonesha katika keshi letu, ila kutokana na muda naomba niishie hapa.

Asanteni.
 
Kwanza kabisa napenda kukusalim kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ama baada ya salam zang, natumia haki yang ya kikatiba kama mtanzania kukupongeza kwa kazi kubwa uliyoifanya kama kiongozi wetu mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama...
Wasukuma ni watu makini sana hakuna mchaga atakayekuja kuwa CDF wana tamaa sana
 
Bashiru na Polepole walikuwa wakizunguka huku na kule na kutumia kila mbinu ili Katiba ivunjwe lakini Mabeyo akapiga stop.

Bila Mabeyo hii Nchi ingekuwa chini ya Wahutu waliotuvalia ngozi za Kisukuma.
Kwenye hili sakata CDF Angekuwa mchaga nchi ingetumbukia shimoni wana tamaa sana ya hela
 
1656575524395.png
 
Back
Top Bottom