Kwa yeyote anayesoma Bsc. Education kupitia Open University, tujuane

denijo

Member
Jun 30, 2016
8
19
Kama kichwa kinavyojieleze, ikiwa unasoma, au umewahi kusomea Open University kwa Bsc. Education, naomba tujuane tupeane uzoefu wa namna ya kutoboa kozi hii.

Asanteni
 
Mkuu kama unasoma Bsc in computer science let's link up

Back
Top Bottom