Sam mirror
JF-Expert Member
- Sep 29, 2018
- 1,462
- 2,219
sisi tunataka tuwarisishe watoto wetu ARDHI tuliotunukiwa na MUUMBA WETU KAMA NYINYI MLIVYOPEWA PIA NA MUUMBA WENU
Duh umenikumbushs maneno ya mar. Dr. Omar Juma kuwa Wazanzibar kuja Tanganyika si tishio bali kinyume. Fikira potofu .Nilijua mtakuja na mifano hii ya wapemba wa Ilala lkn ikumbukwe kwamba hata WAZANZIBAR wote wahamie huko hakuna tishio la nyinyi kimezwa ila sisi kwa.mnavyotufanyia utambulisho wetu utapotea mkuu
Mliyataka wenyeweHali ya Watanganyika kuhamia visiwani imekua ya kutisha sana tulitegemea kwa vile wenzetu wana eneo kubwa sisi ilikua ndio tunufaike na ardhi yao lakini sasa mambo ni kinyume mamia wa Watanganyika kila leo wanahamia ZANZIBAR kwa kasi ya ajabu sana wauzakaranga,sigara,mifuko,omba omba bodaboda,washona nguo,fundi viatu vibaka,wauza miili nk makundi yote haya yametapakaa kila kona wingi wa watu sasa hivi ni wakutisha hatuna sehemu za kuishi hatuna sehemu za kupumzika kila pahala WASUKUMA WANYAMWEZ sijui nani wamejazana mpka basi ukitakakujua tunavyovamiwa kaangalie SENSA YA WATU NA MAKAAZI utaona jinsi tunavyoongezeka ktk hali ya hatari sana nikweli nyinyi ni NDUGU ZETU WA DAMU lkn na sisi tunataka tuwarisishe watoto wetu ARDHI tuliotunukiwa na MUUMBA WETU KAMA NYINYI MLIVYOPEWA PIA NA MUUMBA WENU
wamezidi wazanzibar kuhamia bara. wengi sana wanafanya kazi kwenye serikali kuu na serikali za mitaa, mapolisi n.k. ni ujinga wao kuja lakini hawataki sisi twende kwao. hata hivyo, niende kufanya nini kule wanachapana wao kwa wao wakiwakilishwa na yule polisi?Hali ya Watanganyika kuhamia visiwani imekua ya kutisha sana tulitegemea kwa vile wenzetu wana eneo kubwa sisi ilikua ndio tunufaike na ardhi yao lakini sasa mambo ni kinyume mamia wa Watanganyika kila leo wanahamia ZANZIBAR kwa kasi ya ajabu sana wauzakaranga,sigara,mifuko,omba omba bodaboda,washona nguo,fundi viatu vibaka,wauza miili nk makundi yote haya yametapakaa kila kona wingi wa watu sasa hivi ni wakutisha hatuna sehemu za kuishi hatuna sehemu za kupumzika kila pahala WASUKUMA WANYAMWEZ sijui nani wamejazana mpka basi ukitakakujua tunavyovamiwa kaangalie SENSA YA WATU NA MAKAAZI utaona jinsi tunavyoongezeka ktk hali ya hatari sana nikweli nyinyi ni NDUGU ZETU WA DAMU lkn na sisi tunataka tuwarisishe watoto wetu ARDHI tuliotunukiwa na MUUMBA WETU KAMA NYINYI MLIVYOPEWA PIA NA MUUMBA WENU
Kweli wewe ni dega!Hali ya Watanganyika kuhamia visiwani imekua ya kutisha sana tulitegemea kwa vile wenzetu wana eneo kubwa sisi ilikua ndio tunufaike na ardhi yao lakini sasa mambo ni kinyume mamia wa Watanganyika kila leo wanahamia ZANZIBAR kwa kasi ya ajabu sana wauzakaranga,sigara,mifuko,omba omba bodaboda,washona nguo,fundi viatu vibaka,wauza miili nk makundi yote haya yametapakaa kila kona wingi wa watu sasa hivi ni wakutisha hatuna sehemu za kuishi hatuna sehemu za kupumzika kila pahala WASUKUMA WANYAMWEZ sijui nani wamejazana mpka basi ukitakakujua tunavyovamiwa kaangalie SENSA YA WATU NA MAKAAZI utaona jinsi tunavyoongezeka ktk hali ya hatari sana nikweli nyinyi ni NDUGU ZETU WA DAMU lkn na sisi tunataka tuwarisishe watoto wetu ARDHI tuliotunukiwa na MUUMBA WETU KAMA NYINYI MLIVYOPEWA PIA NA MUUMBA WENU
unataka kwenu pawe kwenu ila kwetu pawe kwa kwetu sote huo ukichaa tafuta mchungaj akutoeHali ya Watanganyika kuhamia visiwani imekua ya kutisha sana tulitegemea kwa vile wenzetu wana eneo kubwa sisi ilikua ndio tunufaike na ardhi yao lakini sasa mambo ni kinyume mamia wa Watanganyika kila leo wanahamia ZANZIBAR kwa kasi ya ajabu sana wauzakaranga,sigara,mifuko,omba omba bodaboda,washona nguo,fundi viatu vibaka,wauza miili nk makundi yote haya yametapakaa kila kona wingi wa watu sasa hivi ni wakutisha hatuna sehemu za kuishi hatuna sehemu za kupumzika kila pahala WASUKUMA WANYAMWEZ sijui nani wamejazana mpka basi ukitakakujua tunavyovamiwa kaangalie SENSA YA WATU NA MAKAAZI utaona jinsi tunavyoongezeka ktk hali ya hatari sana nikweli nyinyi ni NDUGU ZETU WA DAMU lkn na sisi tunataka tuwarisishe watoto wetu ARDHI tuliotunukiwa na MUUMBA WETU KAMA NYINYI MLIVYOPEWA PIA NA MUUMBA WENU
Hivi tukirudisha Wapemba wote kwao watakaa wapi huko? Kwanza wakiondoka meneo mengi ya biashara yatabaki wazi kwaajili ya Wabara walioko huko na Haki ya mama wakisikia wapemba wamerudi kwao, fasta watrudi bara kufanya biashara zao. Ukifanya biashara na Mpemba ni ushirikikina, kwenda mbele sema sasa Wakinga wamewazidi kete wakakimbilia pembezoni mwa mji.Kweli wewe ni dega!