Kwa wimbi hili la Watanganyika kuhamia Zanzibar, tujiandae wazanzibar kupoteza utambulisho wetu ndani ya miaka kumi ijayo

dega

JF-Expert Member
Dec 18, 2012
3,138
3,042
Hali ya Watanganyika kuhamia visiwani imekua ya kutisha sana tulitegemea kwa vile wenzetu wana eneo kubwa sisi ilikua ndio tunufaike na ardhi yao lakini sasa mambo ni kinyume mamia wa Watanganyika kila leo wanahamia ZANZIBAR kwa kasi ya ajabu sana wauzakaranga,sigara,mifuko,omba omba bodaboda,washona nguo,fundi viatu vibaka,wauza miili nk makundi yote haya yametapakaa kila kona wingi wa watu sasa hivi ni wakutisha hatuna sehemu za kuishi hatuna sehemu za kupumzika kila pahala WASUKUMA WANYAMWEZ sijui nani wamejazana mpka basi ukitakakujua tunavyovamiwa kaangalie SENSA YA WATU NA MAKAAZI utaona jinsi tunavyoongezeka ktk hali ya hatari sana nikweli nyinyi ni NDUGU ZETU WA DAMU lkn na sisi tunataka tuwarisishe watoto wetu ARDHI tuliotunukiwa na MUUMBA WETU KAMA NYINYI MLIVYOPEWA PIA NA MUUMBA WENU
 
Kuwa na adabu wewe, nenda pale ilala sehemu inaitwa sharifu shamba uone wapemba walivyojaa na kujenga majumba...Acha ubinafsi maisha popote, sisi wote watanzania. KATAA HIYO roho ya UBAGUZI, UKIMALIZA WABARA UTAANZA SISI WAUNGUJA WAO WAPEMBA...
 
Ukitaka Kula lazima Uliwe Yakhee.
 
Kuwa na adabu wewe, nenda pale ilala sehemu inaitwa sharifu shamba uone wapemba walivyojaa na kujenga majumba...Acha ubinafsi maisha popote, sisi wote watanzania. KATAA HIYO roho ya UBAGUZI, UKIMALIZA WABARA UTAANZA SISI WAUNGUJA WAO WAPEMBA...
Nilijua mtakuja na mifano hii ya wapemba wa Ilala lkn ikumbukwe kwamba hata WAZANZIBAR wote wahamie huko hakuna tishio la nyinyi kimezwa ila sisi kwa.mnavyotufanyia utambulisho wetu utapotea mkuu
 
Hali ya Watanganyika kuhamia visiwani imekua ya kutisha sana tulitegemea kwa vile wenzetu wana eneo kubwa sisi ilikua ndio tunufaike na ardhi yao lakini sasa mambo ni kinyume mamia wa Watanganyika kila leo wanahamia ZANZIBAR kwa kasi ya ajabu sana wauzakaranga,sigara,mifuko,omba omba bodaboda,washona nguo,fundi viatu vibaka,wauza miili nk makundi yote haya yametapakaa kila kona wingi wa watu sasa hivi ni wakutisha hatuna sehemu za kuishi hatuna sehemu za kupumzika kila pahala WASUKUMA WANYAMWEZ sijui nani wamejazana mpka basi ukitakakujua tunavyovamiwa kaangalie SENSA YA WATU NA MAKAAZI utaona jinsi tunavyoongezeka ktk hali ya hatari sana nikweli nyinyi ni NDUGU ZETU WA DAMU lkn na sisi tunataka tuwarisishe watoto wetu ARDHI tuliotunukiwa na MUUMBA WETU KAMA NYINYI MLIVYOPEWA PIA NA MUUMBA WENU
Nenda shule ukajifunze kuandika kwanza.
 
Acha ubaguzi kwani ww una hatimiliki ya Ardhi ya Zenj
 
Wapemba mbona wako huku Mwanza?
 
Back
Top Bottom