Kwa wenye wapenzi na wasiokuwa nao

sungura1980

JF-Expert Member
May 20, 2013
1,909
1,210
Kutafuta mpenzi, ni kazi, na kumpata mpenzi, kuna kazi, kua na mpenzi, nako kazi, lakini kaa ucwe na mpenzi uone kazi. Sasa kua makini na wako mpenzi, nje kuna wadokozi na wezi, Jitahidi mtunze, muenzi na umuhifadhi. ujumbe huu unawahusu wasiokuwa na wapenzi na wale walio na wapenzi lakini hawawatunzi!
 
^^
Beba anaebebeka
^^

Unaweza kumbeba anayebebeka,lakini akishabebwa,haioni thamani ya kubebwa na anaona mgongo uliombeba kama ni mwembamba basi yeye atataka mnene na kama ni mnene basi atataka mgongo mwembamba,ilimradi tu uone kazi kuwa na mpenzi!
 
Unatupa chini..unaangalia mengine,, maisha yenyewe yako wapi haya!
^^
 
Unaweza kumbeba anayebebeka,lakini akishabebwa,haioni thamani ya kubebwa na anaona mgongo uliombeba kama ni mwembamba basi yeye atataka mnene na kama ni mnene basi atataka mgongo mwembamba,ilimradi tu uone kazi kuwa na mpenzi!
Na wengine huwa wanamtekenya waliowabeba au wakati mwingine hutaka kunyosha miguu wakati wamebebwa
 
...hahaaa umenikumbusha jamaa kamdanganya mke wake mpenzi anaenda kwenye semina morogoro kwa wiki nzima,akaingia mtaa kwa nyumba ndogo,baada ya siku mbili anakatiza mtaa anamuona wife kabanwa na jamaa la ajabu,akafanya ujanja na kumtuma mtu ampeleleze ni nani yuko na mkewe,jamaa akamjibu mjinga mmoja kaenda semina morogoro so nachukua nafasi. Jamaa alipopewa habari hizo aliumia sana na kwakuwa muda wa semina feki ulikuwa haujaisha akaishia kusema,we ngoja nitoke semina atanikoma huyu mama...
 
Kutafuta mpenzi, ni kazi, na kumpata mpenzi, kuna kazi, kua na mpenzi, nako kazi, lakini kaa ucwe na mpenzi uone kazi. Sasa kua makini na wako mpenzi, nje kuna wadokozi na wezi, Jitahidi mtunze, muenzi na umuhifadhi. ujumbe huu unawahusu wasiokuwa na wapenzi na wale walio na wapenzi lakini hawawatunzi!
Duuu!!, mimi nina wazo tofauti kidogo;
"ni kazi kupata kazi, ukipata kazi usione kazi kuifanya kazi, ukiona kazi kuifanya kazi, acha kazi uone kazi kuipata kazi" na wala sio mpenzi.
 
Asante.
Ila wengine hata tuwabebe na mbeleko za ngozi hawabebeki.

Heshima kwako!!

.......Ukiona hivyo inabidi ujitathmini dada angu maana unaweza kuwalaumu hao unaowabeba na hiyo mbeleko (iwe ya ngozi au kawaida) kube tatizo/kasoro ikawa ipo kwako mbebaji au inawezekana pia hiyo mbeleko ya ngozi inamkwaruza kwaruza. Naweza nika-volunteer kukusaidia kufanya tathmini.
 
Hahaaa,nimeipenda hii,''Mbereko nyingine labda zinakwaruza!
 
Heshima kwako!!

.......Ukiona hivyo inabidi ujitathmini dada angu maana unaweza kuwalaumu hao unaowabeba na hiyo mbeleko (iwe ya ngozi au kawaida) kube tatizo/kasoro ikawa ipo kwako mbebaji au inawezekana pia hiyo mbeleko ya ngozi inamkwaruza kwaruza. Naweza nika-volunteer kukusaidia kufanya tathmini.

Asante.

Mdogo wangu, wanaume nyie basi tu.
Hata, hata, hata tufanyaje...hamna mana.
Mie nimejitathmini na niko safi kbs, ila sijui maana akili nyingi huondoa maarifa.
Pengine mie ndo nakosea.
Hahahaha...volunteer, utashindiliwa bisu la kifua mdogo wangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom