tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,855
- 1,117
wakuu najua ugumu wa kupata kazi ulivyo. Hata huko kununua kazi si lelemama, hiki kiasi kidogo tulichonacho tunaweza kuunganisha na kupata mtaji. Tuna project tunaifanya, mpaka sasa tupo watatu....tumekwama kwenye mtaji....ni kazi inayohitaji committment na kujituma, for more details nipm. NB: tunahitaji watu watatu zaidi, ili tuwe 6.