Kwa wazoefu na hili katika mozila firefox msaada plz,,,

Jitihada

Senior Member
Feb 6, 2011
155
10
Natumai mpo poa wote! Nnatatizo 1 ambalo huwa nnapotumia mozila firefox kuingia ktk account yangu ya facebook inafunguka vizuri bila shida, sasa tatizo linatokea nnapokuwa nnachat na marafiki walio online kupitia hiyo facebook nikichat kama mara tatu au nne mozila inagoma kuendele na inajifunga hapohapo, mpaka nifungue upya tena na tatizo linaendelea kujirudia tena na tena inakuwa kama loop vile, kwa ajuae msaada plz.
 
angalia unatumia version gani ya ff na make update ya new version
 
natumia ff version 5, it works veeeery good
japo cjajua ni version gani ya ff maana mda huu pc yangu ipo home na me npo job so ntajaribu kuichek jion nkiwa home, afu ntakujuza! bt asante kwa mawazo yako.
 
jaribu kureinstall. kama vipi try 6 beta. ff inakawaida ya kucrush. hata yangu inasame problem inacrush, sasa imepungua baada ya kueka 5beta. kwahio jaribu hvyo. isipokubali, kuna opera,chrome nk.
 
jaribu kureinstall. kama vipi try 6 beta. ff inakawaida ya kucrush. hata yangu inasame problem inacrush, sasa imepungua baada ya kueka 5beta. kwahio jaribu hvyo. isipokubali, kuna opera,chrome nk.
so ipi ndo bomba zaidi kati ya v5 na v6 ? na kabla ya kusolve tatizo kwa upande wako ulikuwa unatumia ff ya version gani? Nijuze redSilva ili niweze kulifananisha na tatizo lililo kwangu.
 
jaribu kureinstall. kama vipi try 6 beta. ff inakawaida ya kucrush. hata yangu inasame problem inacrush, sasa imepungua baada ya kueka 5beta. kwahio jaribu hvyo. isipokubali, kuna opera,chrome nk.
Mkuu bado unatumia FF 5 Beta?.

Jitihada check unatumia version gani, hakikisha unatumia FF 5 au 6, Pia jaribu comodo dragon ni nzuri mnoo kama chrome
 
Mkuu bado unatumia FF 5 Beta?.Jitihada check unatumia version gani, hakikisha unatumia FF 5 au 6, Pia jaribu comodo dragon ni nzuri mnoo kama chrome
Nimesharudi home tayari wadau ndo naichek version ktk pc yangu, ni version 3.6.13.
 
Back
Top Bottom