Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,358
Vigezo na masharti kuzingatiwa..........duh! ila sijui nije lini? utanipa namba kwenye timu? ama ndo utasema wachezaji wametosha?
Hebu ntajie babu mwingine humu ndani zaidi yangu na babu mwenzangu Dark City. FYI wakati Kaizer anazaliwa binti yangu wa kujifunzia alikuwa darasa la nne enzi za TANU. Unakumbuka enzi za Amon Nsekela wewe? We si umezaliwa enzi za kina Horace Kolimba? Narudia tena ntake radhi kabla sijachakachua swaumu yako....ohooooo!Radhi ya nini sasa? wewe toka uliskia kua vibabu vya JF vinapendwa umekua mstari wa mbele kujifanya mmoja wao. Kubali miaka yako, hakuna aibu kua kizazi cha dot.com, bora hata ungenambia Kaizer, labda aliona hizi kadi...
Last edited by a moderator: