Kweli linatuuma sana hasa sisi wahanga tunaosubiri ajira tukiwa majumbani na tukiona wazi ndoto zetu kutokutimia, Tunaumia sana kuona serikal yetu haituweki wazi na maisha yanatuzidia kuwa magumu kila leo tunapewa matumaini yasiyo na mafanikio, Naomba wahshimiwa wajaribu kulitizama hili ni mbaya sana hata ktk psychology yetu tunaosubiri ajira, tunavunjika mioyo kwakweliDarcity,
Mimi pia ni muhanga wa hii tukio, ila wakati tunarudishwa nyumbani mwajiri wetu alituambia kua hakutakuepo na arrears kwani serikali iliwaambia hawatalipa pesa watu waliorudishwa nyumbani na hawakjfanya kazi.
Kwakweli serikali yetu inatuonea na kutuaribia ndoto zetu, kazini niliingia March na private niliachana nao hiyo March then narudishwa nyumbani May bila kujua tutaishije.
Mungu anajua Machozi yetu atayafutaje kwa uonevu huu