Kwa watumishi waliositishiwa ajira kupisha zoezi la watumishi hewa

Darcity,

Mimi pia ni muhanga wa hii tukio, ila wakati tunarudishwa nyumbani mwajiri wetu alituambia kua hakutakuepo na arrears kwani serikali iliwaambia hawatalipa pesa watu waliorudishwa nyumbani na hawakjfanya kazi.

Kwakweli serikali yetu inatuonea na kutuaribia ndoto zetu, kazini niliingia March na private niliachana nao hiyo March then narudishwa nyumbani May bila kujua tutaishije.

Mungu anajua Machozi yetu atayafutaje kwa uonevu huu
Kweli linatuuma sana hasa sisi wahanga tunaosubiri ajira tukiwa majumbani na tukiona wazi ndoto zetu kutokutimia, Tunaumia sana kuona serikal yetu haituweki wazi na maisha yanatuzidia kuwa magumu kila leo tunapewa matumaini yasiyo na mafanikio, Naomba wahshimiwa wajaribu kulitizama hili ni mbaya sana hata ktk psychology yetu tunaosubiri ajira, tunavunjika mioyo kwakweli
 
Ukaguzi umeanza tena leo.unahusisha taarifa kuanzia msingi mpaka elimu ulofikia na vitambulisho vyote unacyo miliki mtumishi. Waliopitiwa na ukaguz ni kweli?
 
Kweli linatuuma sana hasa sisi wahanga tunaosubiri ajira tukiwa majumbani na tukiona wazi ndoto zetu kutokutimia, Tunaumia sana kuona serikal yetu haituweki wazi na maisha yanatuzidia kuwa magumu kila leo tunapewa matumaini yasiyo na mafanikio, Naomba wahshimiwa wajaribu kulitizama hili ni mbaya sana hata ktk psychology yetu tunaosubiri ajira, tunavunjika mioyo kwakweli
kuna utaratibu tunautumia mpendwa, hautakuwa na madhara..

ila pia sidhani mashushu hao unaowasema, watakuwa nashida yeyte ile kama tutafuatilia haki yetu kwa mujibu wa kanuni,taratibu na sheria bila kuvunja sheria za nchi, na group litakuwa full disciplined
 
Nimesikia waajiriwa wapya kwa wilaya ya kibiti wameruhusiwa kurudi vituon na wamepewa siku 30 kwa asiyefika watahesabiwa hawapo kazin tena..asa sielew mbona mambo yenyewe wanaenda nusu nusu why wilaya ya kibiti tuu..kingine makazi yao lazima yawe ndani ya wilaya yani hakuna muajiriwa mpya kufanya kazi wilay ya kibiti na kuishi nje ya wilaya yake ya kazi..
 
WAMERUHUSIWA LINI MKUU? NA WAO WALIRUDISHWA NYUMBANI KUPISHA ZOEZI LA UHAKIKI?
 
Kaisome Public Notice ya PsRS ina ufafanuzi mzuri mi pia ni mhanga toka DUCE tuliokuwa tumefikia kwenye check number na kusaini mikataba na kuripoti kazini tunatakiwa tuwasiliane na mahr wetu nimefanya ivyo nakupa nyepesi kuna maelekezo wamepewa wanaingiza majina na kuhakiki upya so stay calm soon kutakuwa sawa haizidi DeC 5
 
Huu uhakiki ndg hauishi mpaka imekuwa kero yani! Utashangaa Dec inapita hvhv na hatmae Jan 2017! Haya mambo ni siasa sana ukweli imekua ni gumzo!
 
Fuatilia wengi wa sampuli yako tayari kibali kimetoka ila agizo ni kuwa barua ya awali ya ajira imefutwa ajira inaanzia 01 /11/16
 
Waliorudshwa nilisikia ni wale waliokuwa na check no. Wengine ambao walikua hawajapata hzo check No bado wapo mtaan na hawajui hata hatma yao, nahao ni mahakama, afya nk!
 
Fuatilia wengi wa sampuli yako tayari kibali kimetoka ila agizo ni kuwa barua ya awali ya ajira imefutwa ajira inaanzia 01 /11/16
kibali n kwa ajiri ya wenye check no tu serikali inawatenga vijana walisitishiwa pamoja lakini wanarudishwa kwa mafungu
 
Back
Top Bottom