Kwa wataalamu tu, kuhusu mwendo kasi wa magari

Shedangio

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
448
170
Salaam.
Ndugu wanajf miaka kadhaa iliyopita nilikutana na uzi hapa kuhusu speed za gari ndogo na gari kubwa laini hakuna muafaka juu ya suala hilo.

Hivi kitaalamu na kielimu.ist ikiwa 80km/h
Ni sawa na scania ikiwa 80km/h

Take time and distance as the factor.

Karibuni sana
 
Shedangio, Ni sawa kabisa ukizingatia time to distance ratio....kwa sababu gear ratio za gari hutengenezwa kutoa mwendokasi unaofanana kwa gari kubwa na dogo..
 
mkuu si unit ya mwendo kasi ni km/h au mph kwa maana ukiandika 80km/p maana yake ni kwamba itakukuchukua lisaa limoja kutembea kilomita 80. sasa hakuna umbali wa gari kubwa au ndogo umbali uko ardhini . na hii imekaa ki theory lakini practicaly ni ngumu ule mshale ukawa uko kwenye 80km/h lisaa lizima ili kupima, kwamba utakuwa unashuka na kupanda kwa sababu mbalimbali hapo sasa kuna kitu kingine kinakuja kinaitwa velocity ....nimekumbuka tu vihesabu vya form two
 
Unanikumbusha enzi za kilo moja ya pamba na ya mchanga ipi nzito
 
Mkuu ilikupata jibu lakuridhisha na lakushibisha hapa yatupasa kufanya mauchunguzi kwa kina na uhakika zaidi..

Mfano speed ya gari inapimwaje?? Vitu vipi vinahusishwa??.

Ishu kama ya 80KM/H. Kwa gari ndogo na kubwa hapo kimahesabu na uhalisia kunatofauti kubwa sana hapo..
 
Kwa nini waandike km/h?

Na kwa nini pia scania nyingi speed ni 120 lakini zinakimbia sana?
 
Ni kama ivi,
- itaichukua IST saa moja kutembea kilomita 80
- Itaichukua Scania saa moja kutembea kiliomita 80

Wewe unahisi kwanini zote zitakuwa sawa au si sawa?
 
Kiuhalisia zatakiwa ziwe sawa.kwa nini sasa wengine wanapinga kuwa scania itafika haraka?
 
Kiuhalisia zatakiwa ziwe sawa.kwa nini sasa wengine wanapinga kuwa scania itafika haraka?
Scania lazima ifike haraka ndio..
Ukitaka kujua hilo kaa ubavuni au kama gari kubwa ipo mbele yako ipo na speed 80 ww unakuja nyuma ukitembea na ww speed 80 kamwe huwezi kuipita ni lazima ww ukamue kweli kweli ikiwezekana mpaka 100 naa ndio utafanikiwa kuipita..mfano rahisi mshike mkono mtoto mdogo harafu uwe unatembea naye kawaida wewe utakuwa unapiga hatua za kawaida lkn yeye lazima achanganyie sana ikiwezekana na kukimbia pia.ndio atakwenda sawa na ww.
 
Hata wewe mwenye gari ndogo ukiwa mbele tayari na unatembea speed ya 80 na mwenye scania yupo nyuma anatembea speed ya 80 pia nae hawezi kukupita mana wote mnatembea speed sawa, ili akupite anapaswa atembee speed kubwa zaidi kuliko wewe, and the vise-versa is true!
 
Back
Top Bottom