Kwa wapenzi wa filamu za animations/cartoons (animated films)

Wanamuita mama nani vile? Walioiona hii muvi washaelewa.

maxresdefault.jpg
 
Rango
Zootopia
Spark
Ice Age
Kubo
Son of Big Foot
Despicable Me
Peter The Rabit
Coco
Lorax
Madagascar
 
Natumai hamjambo, poleni kwa mnaopambana na changamoto mbali mbali.

Wale wapenzi wa animation movie (movie za kutengenezwa studio). Tujuzane ipi umeicheki, si mbaya ukishea nasi pia. Ukiweka na link ya kuishusha itakuwa vyema.

Japo huwa ni vikatuni lakini story zake kuna muda husisimua na kufanya mtu upoteze mawazo.
 
Uzi hauja updetiwa mkuu ni wa siku nyingi mno tangu 2014.
Best animations movies

 
Kamweneeee!

Awali niwape Pole kwa mihangaiko ya kila siku katika harakati za kujitafutia mkate wetu wa kila siku. Pili, kama uzi huu umewahi kuwepo hapa basi nitaomba Mods muufunge huu wangu haraka sana, Vinginevyo twende kwenye Mada mezani.

Uangaliaji wa Filamu za Katuni umekua ni kitu kinachotupotezea mawazo na muda na kuleta burudani kwa sisi watazamaji. Binafsi nimekua na mapenzi na Katuni tangu zama za ITV na Chanel 10 kidogo kwa maana katuni zao hazikua nzuri sana kama ITV DAIMA katika kipindi cha watoto na mtangazaji Eddy ambacho kilikua kikionesha katuni mbalimbali zenye kufurahisha na kuleta burudani si kwa watoto tu bali hata kwa watu wazima baadhi. Katuni hizo kwa uchache ni kama zifuatazo;
  • Popeye and Son (Spinach sandwich)
  • Double Dragons (the twins Jimmy and Billy against Shadow and his warriors)
  • Sonet/Sonic
  • Scooby Doo
  • Flintstones (Yabba dabba dooo)
  • Tom&Jerry
  • The Simpsons
  • Looney Tunes
  • Batman
Tukija katika Filamu( movies) mpaka kufikia sasa nimebahatika kuzitazama zifuatazo;
  • Rango Hii Ilikua ya kwanza kuitazama
  • Zambezi
  • Smurfs The lost village
  • Sing
  • Hotel Transvenia
  • Peter Rabbit
  • Ferdinand
  • Moana
  • The Legend of Sarila
  • Smallfoot
  • Zootopia
  • Coco HII NAIRUDIA MARA KWA MARA
  • The nut Job
  • Beauty and the Beast
Nataraji kuzitazama hizi siku za baadae
- THE LION KING
- FROZEN
- ALLADIN
- MULAN NK...

Ongeza za kwako uzipendazo na zilizokukamata haswa

Flintstones.jpg
Moana.jpg
Flint.jpg
pope.jpg
Popeye.jpg

Rango.jpg
Scooby.jpg
simps.jpg
 

Attachments

  • Coco.mp3
    1.7 MB · Views: 4

Similar Discussions

Back
Top Bottom