Kwa wapenzi wa comedy yupi mkali kati CHARLIE CHAPLIN na MR BEAN

Hahahhaaa, nimeangalia hiyo picha ya ulingoni nikakumbuka ile boxing yake. Charlie weka mbali name watoto.
 
Kuna jamaa mmoja anaitwa Buster Keaton. Ni soo... Huyo ndio wa kumpambanisha na Charlie Chaplin coz wakati Chaplin ana hit uingereza jamaa alikua ana hit marekani miaka ya 1920's
 
Cheo cha sir kinatolewa na malkia pekee dunia nzima na ni watu wachache sana na wenye ushawishi mkubwa kwa jamii ndo hupata cheo kama hicho mfano (sir Isack Newton,sir bobby Charlton na sir Alex fugerson) hao ni baadhi
shukran kamanda
 
Charlie Chaplin Mkuu....wanamuita The Father of Comedy na ukumbuke movie zake alikuwa ana direct mwenyewe
 
Kuna jamaa mmoja anaitwa Buster Keaton. Ni soo... Huyo ndio wa kumpambanisha na Charlie Chaplin coz wakati Chaplin ana hit uingereza jamaa alikua ana hit marekani miaka ya 1920's
Kwaiyo unalingishia ujinga
 
Back
Top Bottom