Kwa wapenda demokrasia. Hamasisha demokrasia

Jacob Joachim

Member
Nov 24, 2011
27
4
Ni jukumu la kila mtanzania mwenye uelewa kuhamasisha watanzania wenzake kujiandikisha ama 'ku-update' taarifa zao pindi tume itakapotangaza marekebisho ya daftari la wapiga kura. Naamini kwamba hakuna udumishaji wa misingi ya demokrasia iwapo kundi kubwa la wananchi wenye haki ya kupiga kura watapoteza haki hiyo eti kwa kutojiandikisha. Iwapo sehemu kubwa ya wananchi wenye sifa watashiriki uchaguzi basi atakayechaguliwa atakuwa chaguo la wengi na hivyo kujijengea heshima kwa jamii ya kimataifa na vizazi vijavyo.
 
Back
Top Bottom