Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 1,323
- 4,193
Good evening,
Wanawake/wasichana hum jf ninaomba niwakumbushe kitu, umetongozwa na baba ameoa? Namaanisha baba mwenye mke na watoto wake, huyo kula hela zake kama ako nazo, usiwekeze kimoyo kako hapo,wewe enjoy the good moments anakupatua, usiseme ananipenda bla bla, huyo ana mipaka, yes, kuna muda ukifika itabidi arudi kwa mkewe akatimize kiapo cha ndoa au akakae na wanawe na wewe utabaki ukihesabu mabati.
Haijalishi atakuahidi vitu vingapi mwisho wa siku atakwenda kwa mkewe, anaweza kua amegombana na lovely wifey wake akakupea muda wewe, mamy amka kuna siku watayajenga na mkewe atarudi namahaba shatashata, nimeona niwakumbushe msijisahau sana.