kwa wanawake wa kichaga na kirangi, mnatamani sana usafiri huu.

Inaelekea ulitamani sana uwe shemeji/wifi yetu lakini nafasi ikawa finyu.Pole ila bado nduguzo wana nafasi wanakaribishwa wasije na wao baadae wakajuta ka wewe.
 
Wachagga mmecharuka ile mbaya kwenye hii thread!

Wajue population yenu ni kubwa wasiwachezee na utani wa rejareja.

Wewe unayeanzisha thread una uhakika na ukamilifu wako idara zote??
 
Wachaga wa siku hizi, wee acha tu. Wanamiguuu
31.jpg
 
labda hao warangi, ila kw cc wachaga una2cngzia ndg yng! Km co hof ya kkpagawsha nngekuwekea ya kwng uone km hujatngaza ndoa faster!
 
Dah hii sasa ni too much na hawa dada zetu...lakini sio mbaya wanafunika sana ndo maana wanatajwa tajwa sana. Big up at all chaggaz wanawake...
 
Ahhh wapi cku izi wana usafiri acha utani wewe! We hujui tu

We km ni wa huko na ukaona dada yako ana usafiri mzuri,na kifua cha wasitani jua huyo si nduguyo...mother ametembelea kanda ya ziwa au whatever..
 
Back
Top Bottom