kwa wanawake wa kichaga na kirangi, mnatamani sana usafiri huu.

Msandawe Halisi

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
647
350
Lakini asilimia 85.99 hamna. Mshukuruni mungu kwa kila jambo.
msgh_2_20101102_1661852805.jpg

msgh_23_20101102_1539169771.jpg
 
ilete ya mamayo ulinganishe na ya mamangu,,,,mh!alafu ulete ya dadayo ulinganishe na ya dadangu,,,alafu utoe jibu,,,,,ivi kuna wanawake wazuri kuliko wa kichaga,ndio wapo tuangalie %,,,,achana na story za kwenye kahawa:A S 2152:
 
shanature mi, napita tu! mzima lakini?
 
Msandawe halisi, Hakuna kabila lenye identity ya kipekee siku hizi, Nyerere alishatufanyia mixing, ndio maana utamkuta mzaramo mrefu, mkurya mpole, msukuma mfupi, mzaramo msomi, mhaya chinga, mchaga afande, mmasai dereva, mnyakyusa housegirl nk nk. :bored:
 
makubwa haya.
kama usafiri hii sijui iko kundi la bajaji au zile baiskeli ?
ndio wifi huyu nini maana mtu akipend, spoke za baiskeli huita usafiri.
 
weeeee....tutake radhi.....usije ukasababisha tukatundiika picha zetu humu......
 
Back
Top Bottom