Kwa wanaume watu wazima tu!!!

Wadau wa JF mwenzenu nipo katika wakati mgumu sana nataka tubadirishane uzoefu. Mke wangu kasafiri kikazi nje ya nchi atakuwa huko kwa miezi Sita na tokea ameondoka ni miezi miwili tu imepita, mwenzenu sijafanya mapenzi mda wote huo wa miezi miwili na kichupa nahisi kimejaa.

Napata taabu sana nimejaribu kufanya mazoezi na kushiriki michezo mbali mbali kusahau maswala ya ngono, achilia mbali nikiwa ofisini naji keep busy sana lakini ikifika usiku nikiwa Kitandani napata taabu sana maana 'mzee' anasimama wima kwa mda mrefu sana hata usingizi inakuwa ishu kupata,

Mimi sitaki lakini mwili unahitaji kufanya mapenzi kwakweli, Hebu nipeni uzoefu nifanye nini ili katika hiki kipindi cha miezi sita nisitoke nje ya ndoa kwani ni miezi miwili tu hali imeshakuwa hivi, je kuna mtu amewahi kukaa mda mrefu kiasi hiki bila kufanya mapenzi? kama yupo anipe uzoefu alikuwa anafanya nini kuikabiri hii hali maana kuna kila dalili kwamba nitashindwa.

Oooh! Mr Faithful, what if kama mkeo huko alipo kuna msela anammega kumpungunza nyege!!

Woman just like a device it's pairing nearest device.
 
Oooh! Mr Faithful, what if kama mkeo huko alipo kuna msela anammega kumpungunza nyege!! Woman just like a device it's pairing nearest device.

Siwezi kusema lolote hapa, kwasababu nayeye ni binaadam, ila mimi nataka nisichiti, nini kifanyike kunipunguza haya manyege mbali na kufanya mazoezi
 
Ingawa hujasema NDOA ina umri gani! lkn nahisi bado nichanga baadhi yetu tulipokuwa na ndoa changa tulishaishi maisha ya ahadi so kwa mm cshangai sn! Kwa style hii kuuana kwenye Mapenzi hakutaisha Fikiria ww TZ wyf ughaibuni Itakuwaje cku wyf anarudi nakitumbo! au kwa vyovyote ukashtukia kuwa katafunwa naikiwa ww uliyatunza magundi hd arudi unadhani itakuwaje! Miezi miwili Umeanza kuomba ushauri mkeo anafanyaje? cdhani km atakwambia namna anavyoikabili hyo hali Ha2ko hapa kuhamacsha CHEAT Ila twapeana ukwel

Mfunga tai
Wewe ni mtu mzima na hapa utapata pressure ya bure utambiwa kila aina ya ushuri huu sio ukweli unaoambiwa hapa tumia akili na muamini shemeji huko aliko na pili naomba uchukuwe ushauri unao kuridhisha mimi naenda mwezi wa nne sasa na sina kinacho nisumbua ukifatilia sana shauri zingine humu utakosa imani na mkeo utafikia kupunguza hata mapenzi naomba uchukue uamuzi na huu mjadala ufungwe
 
Just dream of her with u on bed and spe,,s will be ejaculated :A S-fire1:
 
hapo ndo kuna umuhimu wa Roho mtakatifu kwenye maisha ya mwanadamu,.hebu usiijengee hoja dhambi ona kabs uznz ni dhamb na ukfanya unamkosea Mungu na kumsikitisha.!! tafadhal nakuomba ikaribie biblia na usome kila siku usiku au unapokuw mpweke naamn had kumaliza vtabu kumi mkeo atakuw asharud.,lakn kutoka nje ya ndoa ni kosa kubwa kwa Mungu na shetan anaweza akakuangamiza kbs kwa vvu.,plz usfanye.!!
 
Mvaa Tai nyege ni function ya kuwaza hayo makitu wala siyo how long you have stayed without sex. Kama unataka usichiti dawa yake ni kupotezea hayo mawazo na kuyadharau

Ila dawa kubwa ni hii ya kwenye signature yangu
 
Last edited by a moderator:
"Mvaa Tai; Siwezi kusema lolote hapa, kwasababu nayeye ni binaadam, ila mimi nataka nisichiti, nini kifanyike kunipunguza haya manyege mbali na kufanya mazoezi."

Kama hutaki kumsaliti mkeo we piga puli tu mambo yatakua mswano otherwise we endelea kuvaa tai tu wakati wavaa tsht na jeans wanajimegea tu mkeo huko ng'ambo.
 
mkuu hapo phone sex au Skype na mkeo na vuta hisia za kutosha utatupiamo tu ukishindwa mzee puli kwa miezi mi3 sio mbaya sana
 
"Mvaa Tai; Siwezi kusema lolote hapa, kwasababu nayeye ni binaadam, ila mimi nataka nisichiti, nini kifanyike kunipunguza haya manyege mbali na kufanya mazoezi."

Kama hutaki kumsaliti mkeo we piga puli tu mambo yatakua mswano otherwise we endelea kuvaa tai tu wakati wavaa tsht na jeans wanajimegea tu mkeo huko ng'ambo.

Nahisi kama kukwazika!!!
 
haya kazi kwako teleza jibaba usiwaze sanaa

Kumbe umemaanisha hivyo?? Siwezi kufanya ujinga huo wale nawatriti kama wanangu, unajua hapa ishu ni kwamba sitaki kuchiti, ishu ya kupata mtu wa kuteleza siyo ishu hata chembe hata nikihitaji mchana wa leo napata
 
Yani huyu mama mwenzangu kaona unapewa mawazo HEWA....
Labda nami nikwambie NOTHING IS IMPOSIBLE TO A WILLING HEART..
Ukiamua hautomgusa mwanamke mwigine mpaka MREMBO WAKO AREJEE..
Good luck ndg..
Thanks best, ila mimi nilidhani wanaume tu ndo wangekuwa wanaushauri sahihi maana hali yangu wanaielewa vizuri
 
Wadau wa JF mwenzenu nipo katika wakati mgumu sana nataka tubadirishane uzoefu. Mke wangu kasafiri kikazi nje ya nchi atakuwa huko kwa miezi Sita na tokea ameondoka ni miezi miwili tu imepita, mwenzenu sijafanya mapenzi mda wote huo wa miezi miwili na kichupa nahisi kimejaa.

Napata taabu sana nimejaribu kufanya mazoezi na kushiriki michezo mbali mbali kusahau maswala ya ngono, achilia mbali nikiwa ofisini naji keep busy sana lakini ikifika usiku nikiwa Kitandani napata taabu sana maana 'mzee' anasimama wima kwa mda mrefu sana hata usingizi inakuwa ishu kupata,

Mimi sitaki lakini mwili unahitaji kufanya mapenzi kwakweli, Hebu nipeni uzoefu nifanye nini ili katika hiki kipindi cha miezi sita nisitoke nje ya ndoa kwani ni miezi miwili tu hali imeshakuwa hivi, je kuna mtu amewahi kukaa mda mrefu kiasi hiki bila kufanya mapenzi? kama yupo anipe uzoefu alikuwa anafanya nini kuikabiri hii hali maana kuna kila dalili kwamba nitashindwa.

Piga nyeto Nnjomba sumu zitapungua
 
Back
Top Bottom