Kwa wanaume watu wazima tu!!!


kama inawezekana omba likizo
ya siku kadhaa au hata wiki
mfwate mkeo,ila sikushauri utoke nje!!
mi ni mama mtu mzima nimecoment kwa
niaba ya huby wangu!!

Asante mama ila napenda zaidi kupata comment za wababa maana wao wanaelewa hali yangu
 
Mkituona tuna watoto wengi mnatumaindi, ni kwamba mimi naacha mbegu tu nasepa
hata watoto wanavozaliwaga sijuwi full time niko nje ya familia yangu.
kweli humu JF mnatuchanganya, yaani hujawahi kukaa nje ya familia yako hata ezi sita?
Kama umebanwa saaaaaaaana kula hausi geli!

Mmmmmh!!!!!!!!!!!!??????
 
Kawaida miezi mitatu ya mwanzo ndio huwa migumu sana, baada ya hapo unastabilize ila inabidi usiguse kabisa maana ukijaribu tu ni kama umetibua. Pia baada ya miezi kama sita au saba hivi uneweza kuwa unapatwa na hasira hasira zisizo za msingi sana. Hapo inabidi uwe makini kidogo maana unaweza tofautiana na mtu kwa kitu kidogo sana hata hakina maana. hii hali huwa inafluctuate kuna wakati inaisha na kurudi. unaweza kukaa hata mwaka bila kufanya hivyo ila kuna kipindi utapita katika wakati mgumu sana lkn kama umeamua utaweza.

Nakutia moyo na maamuzi yako mazuri. huu ni ujasiri mkubwa sana maana kuna wakati watajileta mwenyewe na unanjaa kweli hapo huwa panakuwa patamu. Kama umenuia kweli usiruhusi mahusiano ya karibu sana na mwanamke yeyote, maana hiyo hali ya kuwa close na mwanamke au rafiki yeyote wa kike utakulainisha taratibu nautaishia kula mzigo.

Pia kutokana na msimamo huu baadhi ya wanawake watagundua kuwa huna tabia chafu na baadhi watakuwa interested kujua kama kweli kuna mtu anaweza kuwa na msimamo wa namna hiyo. Hivyo utapitia hali ya kupendwa na wanawake sana isivyokawaida kiasi ambacho usipokuwa makini unaweza kubadili msimamo wako.

Asante kwa haya maziwa ya fikra!!!!
 
Mvaa Tai, pole sana! Endelea kufanya mazoezi kwa nguvu na punguza mawazo juu yake. Wahi kurudi nyumbani ili uweze kuwa karibu na watoto kama mnao na pia ili uepukane na vishawishi vya nje. Kama nyumbani hakuna watoto, chelewa kutoka ofisini na ukifika nyumbani chelewa kidogo kulala kwa kupendelea kusoma magazeti,vitabu au kumalizia kazi za ofisini ambazo hukuzimaliza.

Mwisho ukiwa kama mdau wa JamiiForums, tumia muda wako wote ukiwa nyumbani baada ya kutoka kazini kusoma, kuchangia na kuanzisha mada mbali mbali mtandaoni. Njia hii imenifanya nigombane na mke wangu kwani muda mwingi niwapo kwenye kompyuta husahau kula au kuchelewa kulala na hivyo kumnyima mchezo wa baba na mama!

Asante sana mkuu, hii itanisaidia
 
Hongera sana kaka kwa kukaa miezi miwili bila kuzini, unaweza kukaa miezi minne iliyo baki bila kuzini. mimi nimewahi kukaa miezi 12 bila kufanya ngono. fanya mambo yafuatayo,amini kuwa unaweza kukaa miezi sita bila kuzini,ukishaamini kuwa unaweza ubongo wako utatafuta njia za kuweza, amini kuwa unaweza kushinda zinaa , usikae chumba kimoja na mwanamke mmoja au usikae na mwanamke mmoja ofisini kwa mda mrefu, usibusiane na wanawake, wanawake wasikushikikeshike,fanya kazi kwa bidii na marifa kila siku , fanya mazoezi kila siku jioni na mwisho mwombe mungu akusaidie.Hongera sana karibu katika chama cha wanaume waaminifu kunaraha na baraka tele
 
Mimi siyo mwanaume ila nakushauri kama mazoezi yameshindwa kukuondolea tamaa basi nenda kwenye maombi. Ukiona una muda uko idle tafuta sehemu penye mahubiri au mafundisho ya Neno la MUNGU ukajumuike hapo. Utarudi na mafunzo yakushinda tamaa. Chonde usijempokea mkeo na zawadi ya virusi arudipo toka safari. Inamaana hata hamskype na mkeo?
 
Wadau wa JF mwenzenu nipo katika wakati mgumu sana nataka tubadirishane uzoefu. Mke wangu kasafiri kikazi nje ya nchi atakuwa huko kwa miezi Sita na tokea ameondoka ni miezi miwili tu imepita, mwenzenu sijafanya mapenzi mda wote huo wa miezi miwili na kichupa nahisi kimejaa.

Napata taabu sana nimejaribu kufanya mazoezi na kushiriki michezo mbali mbali kusahau maswala ya ngono, achilia mbali nikiwa ofisini naji keep busy sana lakini ikifika usiku nikiwa Kitandani napata taabu sana maana 'mzee' anasimama wima kwa mda mrefu sana hata usingizi inakuwa ishu kupata,

Mimi sitaki lakini mwili unahitaji kufanya mapenzi kwakweli, Hebu nipeni uzoefu nifanye nini ili katika hiki kipindi cha miezi sita nisitoke nje ya ndoa kwani ni miezi miwili tu hali imeshakuwa hivi, je kuna mtu amewahi kukaa mda mrefu kiasi hiki bila kufanya mapenzi? kama yupo anipe uzoefu alikuwa anafanya nini kuikabiri hii hali maana kuna kila dalili kwamba nitashindwa.

Masikini NYANGUMI umekamatika. Yani wewe tunaita una KISADO hahaha.Tafuta yoyote UGEGEDE ndio maana tulipewa chance ya kutubu. Huku nje kaka wake za watu waliwa mbaya. Uenda mwenzake nae wanamgegeda. Wewe malaika bwana? Unaweza kubaka ikawa scandal kubwa zaidi ya hicho KISADO. Tumia kinga tu ndio cha muhimu.
 
Hakuna mrembo zaidi ya mke wangu!!!

Mkuu nakushukuru sana kwa comment hii, huu ndio strategy ya kwanza ya kukabilina na janga hili!

Ukiendekeza kufanya mwili unachokitamani utaleta balaa nyumbani kwako na huyo mke unayesema hakuna mzuri kuliko yeye ukamharibia, tena saana tu!

Miili hii Mkuu haitosheki, fikiria umefanya na mke wako mara ngapi, jee umewahi kutosheka? umekula mara ngapi, jee umewahi kutosheka? umetamani vitu vingapi vizuri hapa duniani, umepata vingapi, jee umewahi kutosheka!?

Jibu ni rahisi tuu hujawahi kutosheka, na hutakaa utosheke, MIILI hii haina shukrani Mkuu!

LAZIMA uwe na uwezo wa kuucontrol mwili wako, na sio kila k2 mwili unataka unaupatia, u will be killed unnoticed na ukaaviacha hivyo vizuri unavyofikiri unavipenda sana!

Imagine umeliona dude, HAMMER vehicle! ukalitamani sana na hata kutaka uliendesha siku hiyo hiyo, je utaenda kuvunja kiyoo na kuliendesha kwa sababu unalipenda sana!? jibu sio hata wewe unajua kuna taratibu za kulipata ambazo hazitakufanya ujutie maishani mwako! na utafurahiya milele

Mkuu simama, mpende sana mke wako na fanya chochote kwa ajili yake na kulinda ndoa yenu kwa gharama yoyote ikiwemo kutokutaka kumtendea dhambi kubwa namna hii (kutoka nje ya ndoa) na HICHO ndicho kipimo cha juu cha upendo kwa familia yako!

Watakushauri sana, kama walivyo anza kukushauri uende sijui wapi..... Mkuu hawajui nini maana ya familia, hwajui thamani ya mke, na Kubwa hawajui wanasema nini, Nawasamehe wote! nawe pia wasamehe

Moyo wako unajua ni kipi sahihi cha kufanya kuondolea majuto!

Usiku mwema sana.
 
mimi siyo mwanaume ila nakushauri kama mazoezi yameshindwa kukuondolea tamaa basi nenda kwenye maombi. Ukiona una muda uko idle tafuta sehemu penye mahubiri au mafundisho ya neno la mungu ukajumuike hapo. Utarudi na mafunzo yakushinda tamaa. Chonde usijempokea mkeo na zawadi ya virusi arudipo toka safari. Inamaana hata hamskype na mkeo?
ukinyegeka maombi hakuna, huyo anaweza kubaka. Miezi miwili tu analialia na maukame. Mwezi watatu, wanne, watano, wa sita yani atakuwa akitembea zinamwaka. Nyangumi kakamatika. Dawa ya njaa ni kula tu. Umekula nini ndio cha muhimu.
 
Ama kweli!

ukinyegeka maombi hakuna, huyo anaweza kubaka. Miezi miwili tu analialia na maukame. Mwezi watatu, wanne, watano, wa sita yani atakuwa akitembea zinamwaka. Nyangumi kakamatika. Dawa ya njaa ni kula tu. Umekula nini ndio cha muhimu.
 
Mkuu pole sana dhambi inakunyemelea mlangon kwako nakushauri usithubutu kusalit ndoa yako ukianza huo mchezo hutaacha na utajiletea mikosi, achana kabisa na hiyo habar vipi mkeo nae huko alipo kichupa kikijaa? Mtunzie heshima yake hatakufa kwa kutokufanya ngono vumilia.
 
Wewe asije mtu yeyote akakudanganya, akakujaza ujinga hapa kwenye forum. Uaminifu unakuja katika mazingira ya kawaida. Sasa mwenzio miezi sita kweli na wewe unatuuliza hapa ufanyeje, utapata ushauri wa kukufaa kweli? Ubongo huwa una determine mtu afanyeje. Ili usiwe mwendawazimu acha brain yako ifanye kazi yake. Hilo swala halina jibu sahihi, tutakuchanganya tu. Just a hint; hakuna engine inayokaa 24 weeks bila kufanyiwa warm up hata kama yote imeundwa kwa umeme. Na mwenzio akirudi 24 weeks later utaanza kumtumia kukufanyia physical training? Asiporidhika kutokana na udhaifu wako kutokana na ukosefu wa practice unajua atakachokifanya? A man has got to do what he's got to do.
 
Back
Top Bottom