Kwa Wanaume Tu - Naomba Uzoefu Wenu katika Hili

ram

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
9,252
8,341
Kwenu wanaume, mlio jamvini na nje ya jamvi!
Naomba kupata uzoefu wenu katika hili, unaweza kukuta wakaka wanapiga story, aah yule demu hama kitu pale, kwanza K yenyewe yabariidi haina mvuto kabisa au imejaa maji , yaani unaogelea kabisa n.k

Swali langu kwenu, ni kweli zipo K za baridi na hazina mvuto? Vipi kuhusu kujaa maji

Sio kusudio langu kumkwaza mtu nahitaji tu kujua na kama hujui kama mimi please pita uende usikashfu
 
kujaa maji kwani limekuwa dimbwi au bwawa? na huo ubaridi unaupimaje? unaingiza thermometer au dudu ndiyo kipimajoto chenyewe?
 
Ni story ambazo nasikia wanaume wakiongea ndo nataka waniambie ni kweli zipo za baridi? na ni kweli zipo zinazokuwa zimejaa maji?

kujaa maji kwani limekuwa dimbwi au bwawa? na huo ubaridi unaupimaje? unaingiza thermometer au dudu ndiyo kipimajoto chenyewe?
 
Mmmmmhh!

Huku si kwangu!

Ngoja wakina Mr & Mrs watatua sasa hivi.
Na bila shaka na majibu ya kutosha!
 
Kipimo kizuri ni wewe mwenyewe...unapokuwa na huyo mkunaji muulize moto au baridi..akikwambia ni moto ujue zipo za baridi,akikwambia ni baridi jua zipo za moto.....akikosa jibu jua majira yake huwa yanabadilika kama mvua za Dar
 
Mimi kwa upande wangu na uzoefu wangu,si kweli kwamba kuna aina hizo.Ni mtazamo tu wa vijana wa kileo.Kuna msemo wa kiingereza usemao kuwa Experience is a mother of sweet.Sasa kama maandalizi yako ni kama ya taifa stars unategemea kusicore nini?kwanza kitendo cha wewe kusababisha maji kutoka ni ushindi tosha,wengine utaalamu huu hawana.
 
Swali langu kwenu, ni kweli zipo K za baridi na hazina mvuto? Vipi kuhusu kujaa maji

Kweli zipo zinakuwa hazina hata mvuto kabisaaa mi nikiona hivyo naamua kuzama kwenye maji **** huko kunakuwa mnato
 
Kwenu wanaume, mlio jamvini na nje ya jamvi!
Naomba kupata uzoefu wenu katika hili, unaweza kukuta wakaka wanapiga story, aah yule demu hama kitu pale, kwanza K yenyewe yabariidi haina mvuto kabisa au imejaa maji , yaani unaogelea kabisa n.k

Swali langu kwenu, ni kweli zipo K za baridi na hazina mvuto? Vipi kuhusu kujaa maji

Sio kusudio langu kumkwaza mtu nahitaji tu kujua na kama hujui kama mimi please pita uende usikashfu

iNGEKUWA VYEMA KAMA UNGETUAMBIA K YAKO IKOJE ILI TUTOE USHAURI SAHIHI
 
Kazi kweli kweli !!
Mi acha nchangie kiduchuu juu ya hiyo unayoiita K.Kwanza si kweli kwamba wanaume tukikaa tunakua tunazungumzia story kama hizo labda hao uliowasikia wewe watakuwa ni vijana flani wa under 20, maana ndo story zao.
Nikija kwenye mada nzima kuhusu swala la jotoridi ni kweli joto linatofautiana kati mtu na mtu.
Kuhusu hilo la chemi chemi itakosekana vipi na kitu kinapigwa deile tena na sampo tofauti tofauti ??
 
Smile wewe ni mdada, na mimi nataka uzoefu kutoka kwa wanaume

mbona hata mdada anaweza pima ya kwake na ku-conclude? wakati mko kwenye game, sikilizia kama kuna mlio kama vile jamaa anatwanga maji....
 
Kwenu wanaume, mlio jamvini na nje ya jamvi!
Naomba kupata uzoefu wenu katika hili, unaweza kukuta wakaka wanapiga story, aah yule demu hama kitu pale, kwanza K yenyewe yabariidi haina mvuto kabisa au imejaa maji , yaani unaogelea kabisa n.k

Swali langu kwenu, ni kweli zipo K za baridi na hazina mvuto? Vipi kuhusu kujaa maji

Sio kusudio langu kumkwaza mtu nahitaji tu kujua na kama hujui kama mimi please pita uende usikashfu

Hii inatokea pindi mwanaume uume wake unakuwa mdogo alafu uke unakuwa mkuuuubwa size ya chupa ya biya lazima mwanaume aseme K haina mvuto kwa sisi watalaamu tukiona hivyo tunahamia Plan B tu
 
Back
Top Bottom