Kwa wanaume tu,Can you dare?

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Katika hali halisi,inapotokea ukamtongoza msichana/mwanamke,kuna mawili,kukubaliwa au kukataliwa.Lakini kwa upande wa pili,msichana/mwanamke akikutaka kimapenzi kwa kukutamkia wazi wazi,kama hutaki kuwa naye,do you have guts to tell her i don't want you?Binafsi nina huruma sana,siwezi kumpa makavu live,nitamzungusha mpaka aamue kuacha kunifuatilia yeye mwenyewe.vipi wewe unawa-handle vp?
 
Haaaaa! wewe, yaani mwanamke akutongoze ukatae? Kisa?
Mkuu,mi siko tayari kuchezea hisia za mtu,tatizo lao unaweza ukamwambia yeye ni wa reserve tu,lakini baadaye anataka kukumiliki moja kwa moja!
 
Mwanamme akimkataa mwanamke anaonekana anaringa, anajiona, n.k Wanaume wenye wake au wapenzi wao wanajikuta wanatakwa sehemu nyingine akatae kwa ajili ya heshima ya mkewe au mpenzi wake? Wengine wanasema "kwanini ukatae si unaenda unapata tu halafu unaishia zako". well, katika mazingira haya ya kutoweza kukataa mioyo mingi imeumizwa na majeruhi wengi wa mapenzi wametengenezwa; wanaotembea ni mioyo inayochuruzika damu... mwanamme anayejali atamkinga...
 
Nahisi hiyo ni sifa ya wengi wa akina dada pia, japokuwa jeuri wapo, wanaotoleaa nje kwa ugomvi utafikiri aliombwa kujitoa mhanga kwa kujifunga mabomu kama Taliban.
>>>>>Lakini Bro Jaguar, hudhani kama huruma inaletwa na kiasi fulani cha mapenzi kwa huyo Applicant?
>>>>>Binafsi imewahi kunitokea mara moja tu na huwezi kuamini siku hiyo hiyo nikapanda. Sijajutia sana urahisi wangu kwa kuwa hata mimi nilkuwa namtazama kwa tamaa. Baadaye sana tukizungumzia issue hiyo alidai aliona kama nachelewa na akaona mara naweza kughairi. Si unajua tena uamuzi unaofuatia tafakari ndefu hukwepa sana tamaa.
Katika..........vipi wewe unawa-handle vp?
 
Nahisi hiyo ni sifa ya wengi wa akina dada pia, japokuwa jeuri wapo, wanaotoleaa nje kwa ugomvi utafikiri aliombwa kujitoa mhanga kwa kujifunga mabomu kama Taliban. >>>>>Lakini Bro Jaguar, hudhani kama huruma inaletwa na kiasi fulani cha mapenzi kwa huyo Applicant? >>>>>Binafsi imewahi kunitokea mara moja tu na huwezi kuamini siku hiyo hiyo nikapanda. Sijajutia sana urahisi wangu kwa kuwa hata mimi nilkuwa namtazama kwa tamaa. Baadaye sana tukizungumzia issue hiyo alidai aliona kama nachelewa na akaona mara naweza kughairi. Si unajua tena uamuzi unaofuatia tafakari ndefu hukwepa sana tamaa.
Mkuu mi sipendi kumwona mwanadada akilia kwa uchungu kwa kutendwa na mimi ndo msababishi.
 
Kama vyumba vimejaa huyo mpangaji atakaa wapi?Kwanini usitumie hekima kumwambia?Kwanza unatakiwa usimfanye ajisikie vibaya kukuambia,mfafanulie kuwa ungekuwa free usingesita kuwa nae kwani yupo bomba!Binafsi mabint wanaosema hisia zao nawachukulia kama mashujaa!
 
Binafsi huwa naaprishieti ujasiri wa namna iyo pale she anapo jilipua, huwa nasema ukweli kwan nachukia kuumizwa/kuumiza.imewai kunitokea mara kadhaa in a polite way sikuridhia maombi yao,nilipendekeza tuwe marafiki wa kawaida jambo ambalo limeniibulia marafiki wa kwel hadi dakika hii!
 
Binafsi huwa naaprishieti ujasiri wa namna iyo pale she anapo jilipua, huwa nasema ukweli kwan nachukia kuumizwa/kuumiza.imewai kunitokea mara kadhaa in a polite way sikuridhia maombi yao,nilipendekeza tuwe marafiki wa kawaida jambo ambalo limeniibulia marafiki wa kwel hadi dakika hii!
You don't know,they are hoping one day it will happen!
 
kaka acha ufala wewe unatutia aibu wanaume wenzako usilete mada nyepesi humu...


Does this prove women's assumption that soem of the men are like dogs? How dare? There are so many ladies out there.... how many would you say YES? and so what? Uonje uache? Utaonja wangapi?
 
Back
Top Bottom