nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,369
- Thread starter
- #41
Haa; du! kwa hiyo wadada wa kileo wana miss sana neno I love you.
Lakini naamini wakianza wao lazima vijana watajibu tu.
Lakini naamini wakianza wao lazima vijana watajibu tu.
Nyumba Kubwa huyo aloambiwa wakati wa kua proposed mbona ana bahati... Urafiki wa siku hizi mnajikuta mmoja ana mimba alafu mwanamke unaanza kwa gear ya "mimi mimba sitoi" wala "nyumbani hawawezi nielewa" Jamaa anatafakari anaona "Ok. basi this weekend hamia kwangu kujitambulisha nitaenda mwisho wa mwezi.....lol