Kwa wanaotaka kwenda jeshini kuna usaili unafanyika Morogoro

YEYE

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
437
72
Kwa wale wanaopenda kwenda jeshini walioko Morogoro na maeneo ya jirani kuna usali unaendelea kwa sasa uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro.

Hizi info nimetumiwa na jamaa yangu yupo eneo la tukio!
 
...am hapi2hear so,can U plz mail Me ur contacts in vagalrecurent@hotmail.com so zat I can conect U2smbdy hu wuld real lov2go4our military services..???,I want Him2get more detailz frm U bkoz myself currently am not hom(i.e Tz)..,thank U in advance4zis news and ol ze help U wil b wiling2giv us in JF,MAY GOD BLESS U...
 
ooh! what a style...eti usaili unafanyika Morogoro huku Makao makuu ya jeshi(NGOME-Dar) hakuna taarifa wala utaratibu wa kitu kama hicho...looh, poleni!!

Kinachofanyika sasa, ni usaili wa vijana kuajiriwa jeshini kwa wale waliopitia jkt(intake iliyomaliza majifunzo yake muda mfupi uliopita) SIO fresh recruitment ya vijana kujiunga jeshini, lkn matarajio ni kuwa baada ya tendo hili la kuajiri vijana kutoka jkt then new posts zitatangazwa hopefully this March or early April.
 
Thats true bro,ni jkt ndo wanasailiwa kuingia jwtz nauhakika 100% so msiogope nafas ztatangazwa,vp kuhusu wale wa uafsa jesh nan ana tetesi?
 
Habari nilizozipata jana jioni, walikuwa wanafanyiwa usaili kupitia watu wenye vipaji vya sanaa (kuimba, kucheza, kupiga ngoma, kinanda n.k)
 
Watu wanapenda jeshi sana sijui kwa sababu gani?? Watu wanapenda bure,dalaladala bure,vinywaji bei rahisi,electronics bei rahisi,,,ndio kinachowapeleka watu huko haaaa sijawahi waza kujiunga na jeshi.
 
Habari nilizozipata jana jioni, walikuwa wanafanyiwa usaili kupitia watu wenye vipaji vya sanaa (kuimba, kucheza, kupiga ngoma, kinanda n.k)

Mkuu asante kwa taarifa. Je zoezi hili bado linaendelea au ndo washamaliza?
 
Watu wanapenda jeshi sana sijui kwa sababu gani?? Watu wanapenda bure,dalaladala bure,vinywaji bei rahisi,electronics bei rahisi,,,ndio kinachowapeleka watu huko haaaa sijawahi waza kujiunga na jeshi.

Mimi pia napenda sana jeshi ingawa siyo field yangu,sasa mkuu kwa mawazo yako haya watu wote wangekuwa na mtazamo huu tusingekuwa na jeshi! Kila field ina umuhimu wake na tujifunze kuzipa heshima
 
intake mpya bado lakini hao niwaliomaliza mafunzo mwezi pili ndio wanaajiriwa sasa ama inakuwa vipi wadau
 
Siyo kupenda vya bure ila ugumu wa maisha na ukosefu wa ajira za kudumu ndilo tatizo, ukiangalia huna ajira na pa kwenda hakuna so mtu anaona bora ajiunga na jeshi. Kheri yako ww ambaye hujawah fikiria kujiunga na jeshi. Kuna mchana na usiku na shida haina mwalimu.
 
Back
Top Bottom