Kwa wanaotaka kwenda jeshini kuna usaili unafanyika Morogoro

Samahan kaka naomba namba yako nitumie kwenye 0753939478 naomba kuongea na ww
 
Watu wanapenda jeshi sana sijui kwa sababu gani?? Watu wanapenda bure,dalaladala bure,vinywaji bei rahisi,electronics bei rahisi,,,ndio kinachowapeleka watu huko haaaa sijawahi waza kujiunga na jeshi.

1.wanapenda jeshi sababu ya uzalendo binafsi ndo naona ivyo
ulishawaza kujiunga na nn labda?
 
Watu wanapenda jeshi sana sijui kwa sababu gani?? Watu wanapenda bure,dalaladala bure,vinywaji bei rahisi,electronics bei rahisi,,,ndio kinachowapeleka watu huko haaaa sijawahi waza kujiunga na jeshi.

Mind ur language mkuu!
 
Back
Top Bottom